KakindoMaster
JF-Expert Member
- Dec 5, 2006
- 1,356
- 88
Hii thread inanishangaza kuongelea CDM v/S CCM aliyetamka ni mwenyekiti wa CCM akipanga safu yake na nafikiri alikuwa akitafuta vigezo vinavyo hitajika CCM kwa sasa ili iende na wakati.
Mimi sioni tatizo kama amefanya utafiti na kuona kuwa sasa chama chao kinahitaji vijana waliosoma. Ikumbukwe kuwa ulimwengu wa sasa ni ulimwengu wa sayansi na technologia.
Chama chochote kinacho pata ridhaa ya kuongoza nchi ndo kina kuwa na ridhaa ya kuongoza serikali. Katika viongozi wachaguliwao ndipo kunatoka mawaziri(kama katiba haitaondoa hili).
Hivyo ni vizuri kama mwenyekiti wa chama chao amegundua kuwa amepata vijana(ambao bado damu inachemuka) ambao wana mbinu za kisasa katika kuleta mabadiliko.
Huyu anapiga kampeni ndani ya chama chake hili wajumbe wachague vijana wenye uwezo. Sasa sijui katika hili CDM inahusikaje?
Unless kama CDM wamehamua kuwa wapigadebe wa wagombea wazee na wasio na elimu ndani ya CCM. Ambacho nafikiri si kweli.
Ya ngoswe mwachie Ngoswe.