Rais anaposhukuru 'wasomi' Kugombea CCM

MchunguZI

JF-Expert Member
Jun 14, 2008
4,006
2,166
M/kiti wa CCM, Rais wa nchi amesema CCM haitakufa. Moja ya ishara ya uhai wa CCM, alitaja ni ‘wasomi’ wanaogombea nafasi ndani ya CCM.

Shukrani hiyo inaonyesha wazi njaa ya wasomi ktk chama hiki tawala.

Nasubiri kuwaona hao wasomi ambao wanajiunga na CCM ni wa aina gani. Hisia zangu ni waalimu wa vyuo vikuu wanaokaribia kustaafu na wale wanaovizia kugombea ubunge mwaka 2015. Hawa hugombea ili wabahatishe uwaziri. CCM inawasahau vijana wanaomaliza vyuoni kwamba hao ndo wasomi muhimu ktk box la kura na ndiyo walio wengi.

Kwa mwenendo wa maoni tuyaonayo haionyeshi kama katiba yetu mpya itaruhusu mbunge kuwa waziri.

Namuomba Rais huyu pamoja na chama chake, wafurahie kuwaona wasomi wanaojiunga na CDM, CUF, TLP, n.k. Tatizo lao CCM wakiona hao wanaoitwa ‘wasomi’ wakijiunga na vyama vingine, huwageukia na kuanza kuwanyanyasa ktk ajira.
 
Ameenda mbali zaidi na kudai CCM haiwezi kufa wakati imejaa wasomi! hundred and one questions:
  1. Kanu ilipokufa ilikuwa haina wasomi?
  2. Haya yote yanayotokea CCM hakuna wasomi
Mwenyekiti Go back to drawing Board....:A S 39:
 
Sababu anazozitoa Rais wetu huwa nashindwa kuzielewa.
Mfano wakati anazindua mradi wa mabasi yaendayo kasi akasema disadvantages za foleni ni kwamba inasababisha ndoa zivunjike.
What abot economy? Mweh! inaweza ikawa disadvantage moja wapo lakini ni very 'maina'
 
Tumsamehe ndo upeo wake!
Suala la foleni badala ya kutuambia impact kwenye uchumi watu wanapodrive 12km/hr yeye anaongelea Ndoa kuvunjika
 
Anashukuru kuongeza makundi ya kuzibwa mdomo. Kama wasomi wanakimbilia huko ni kujichimbia shimo kwenye harakati.
 
I am surprised with JK statement as you have posted above since there is a very wise saying which says that Mosses could not control his people despite removing them from captivity....

I or you or anybody for that matter cannot really control people actions it is actually better for you to detach from issues like these since people are like that and it is not in your control so why stress yourself...It is just matter of time and people's power.
 
Here we go again!

Wasomi! Wasomi! Wasomi!

Usomi unawekwa mbele kuliko uwezo wa uongozi na sera bora.

Kuna tatizo kubwa la kifikra miongoni mwa watu wengi kwenye jamii yetu.
 
M/kiti wa CCM, Rais wa nchi amesema CCM haitakufa. Moja ya ishara ya uhai wa CCM, alitaja ni ‘wasomi' wanaogombea nafasi ndani ya CCM.

Shukrani hiyo inaonyesha wazi njaa ya wasomi ktk chama hiki tawala.

Nasubiri kuwaona hao wasomi ambao wanajiunga na CCM ni wa aina gani. Hisia zangu ni waalimu wa vyuo vikuu wanaokaribia kustaafu na wale wanaovizia kugombea ubunge mwaka 2015. Hawa hugombea ili wabahatishe uwaziri. CCM inawasahau vijana wanaomaliza vyuoni kwamba hao ndo wasomi muhimu ktk box la kura na ndiyo walio wengi.

Kwa mwenendo wa maoni tuyaonayo haionyeshi kama katiba yetu mpya itaruhusu mbunge kuwa waziri.

Namuomba Rais huyu pamoja na chama chake, wafurahie kuwaona wasomi wanaojiunga na CDM, CUF, TLP, n.k. Tatizo lao CCM wakiona hao wanaoitwa ‘wasomi' wakijiunga na vyama vingine, huwageukia na kuanza kuwanyanyasa ktk ajira.

Wasomi Wazee wa VYUO VIKUU kuingia CCM ni ULAFI na LOYALTY; Wamesomeshwa na Serikali ya CCM

Wengi wao toka form 1 hadi kupata Ph.D na wakati wa Serikali ya Nyerere wao hawakupatwa na

Matatizo wananchi wengi waliyapata; Wao walikuwa wanasafiri Nje hawajui SHIDA za NCHI walikuwa

wanafanya Research na kupata pesa... kwahiyo wao kwa CCM ni LOYALTY na ULAFI

Wameona yaliyompata Prof. Baregu... kwa kuingia Upinzani... NANI Atataka kufanya Hivyo ?

W
asomi wengi watoto wao wanasoma NJE; Na ni FEDHA wanazopata toka Serikali ya CCM inayowabeba...
 
Dah huyu ndiye raisi bhana ila kwa haya nina maswali kadhaa
1. kumbe chama kikiwa na wasomi hakiwezi kufa
2. Kwa hiyo kumbe CCM mwanzo haikuwa na wasomi ndo maana kilitaka kufa
3. Kumbe wasomi pekee ndio wenye kuingoza CCM

Poor thing Prisidaa
 
Nimeona jinsi wanavyo tapatapa Mtoto wake nae kila siku anatupia picha za ccm fb na caption za ajabu ajabu
 
ZIDUMU FIKRA ZA MWENYEKITI WA CCM.

ZIDUMUUUUUUU!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!HA ha ha ha ha itakula kwenu.
 
Kuna tofauti kubwa sana kati ya elimu na uongozi.Elimu ya baba wa taifa
haikuwa kubwa lakini busara na upeo wake ulikuwa mkubwa sana mpaka
mataifa ya nje walimuogopa.
 
Sababu anazozitoa Rais wetu huwa nashindwa kuzielewa.
Mfano wakati anazindua mradi wa mabasi yaendayo kasi akasema disadvantages za foleni ni kwamba inasababisha ndoa zivunjike.
What abot economy? Mweh! inaweza ikawa disadvantage moja wapo lakini ni very 'maina'


Ndibalema, huyu jamaa anachokiongea ndicho kilichopo kichwani mwake. Kukaa kwenye foleni muda mwingi hajaona swala la mafuta yanayotumika, muda wa wananchi unaopotea na tafsiri ya haya kwenye uchumi na maendeleo ya nchi! Anaamini lecturers wastaafu wanaweza kuiokoa CCM!
 
Kwa kawaida msomi anatakiwa awe huru kabisa kimaoni na kifikra.Sasa hawa wasomi kama kina michael kadeghe (dr.)huko kwenye ukuu wa wilaya walikochimbiwa sijui watakua huru.
 
Back
Top Bottom