Elections 2010 Raia Mwema: Dk Slaa awataka Duni, Hamad wa CUF

If possible, let it be. Lakini kama itahitaji sana MUDA na pengine kuwalazimu CHADEMA ku-dilute baadhi ya mawazo yao, then waitupilie mbali. Naamini Zanzibar kuna wanaharakati wengi makini hata kama sio Mashuhuri...
 
Watakuwa wanafanya kosa lile walilofanya wazee wa Dar enzi za mkoloni za kumkaribisha mchonga baada hapo wakatengwa na safari ya kubatiza nchi ikaanza rasmi. CUF nendeni mkajipendekezi kwa padre itakuwa ni kosa ambalo hamtalisahau... BIG NO kwa padre kuwa rais.. Tumain, nahisi kuwa umekosa matumaini ndio maana unajibu kama mtu aliyekata tamaa ya kuishi. Maisha ni mapambano na SIASA NI JUKUMU LETU SOTE: WAO, WEWE, MIMI, kila mtu. Usilete mchezo wala utani. Siasa hugharimu maisha ya watu wasio na hatia kama sasa Watanzania wanajutia kuipa CCM nchi na SASA WANAHAHA ISIKU NA MCHANA NJAA TUPU NA KUIONDOA MADARAKANI IMEKUWA KAZI KWELI KWELI. Dk Slaa unamwita padri asiyefaa kitu: HAYO NI MAONI YAKO. Hakuna anayejua unafaidika vipi na CCM. Pengine hata mimi kama sina utaifa na uzalendo wa kweli na ningekuwa nafaidika moja kwa moja na CCM ningekuwa nafanya kama wewe. Si kosa lako ni NJAA NA KUTOFAHAMU. Huna uchungu na hii nchi. Kama ungekuwa nao basi usingethubutu kuleta suala la kutugawa Watz kwa misingi ya imani na itikadi zetu. Binafsi: Ninamwangalia mtu wala si chama, kabila wala dini anakotoka. Awe padri, askofu, mchungaji, ustadhi,imamu kwangu si tatizo. Mchungaji Mama Rwakatare alipochaguliwa/teuliwa kuwa mbunge wa viti maalum, waliofanya hivyo walikuwa wakristu? Au madhehebu ya Kikristu? Bila shaka jibu ni HAPANA. HUU UDINI wako unautoa wapi? Tukiwa tunawachagua watu kwa dini zetu nani atakuwa raisi wa nchi? Na watu wa imani fulani wakishinda, wa imani nyingine watakwenda wapi? Jiulize nini HATMA ya nchi yetu. Unaporopoka uangalie heshima uliyonayo, UMRI ulionao na Picha unayoacha. God bless DK SLAA. GOD BLESS TANZANIA
 
Kwa nini mnapoteza muda wenu kumjibu TUMAIN?

Hata Malaria Sugu kashamwambia AACHE KUROPOKA.

MS, Dr. Slaa anakusubiri wewe na KURA yako.
 
Kama kuwa Vice President ni kununuliwa kwa PIPI, Mhhhh!!!! Naona hilo ni tusi la nguoni kwa Dr. Bilal.

Kama kuwa Vice President ni kununuliwa kwa PIPI, mhhh!!!! Naona hilo ni tusi la nguoni kwa Dr. Shein.
hawajui wapemba dk slaa, hawanunuliki kwa pipi
 
Ivi uyu Tumaini wakati Dr Slaa anaibua hoja bungeni mbona ulikuwa haucommnet kuwa hizi hoja ni za padre.
Stop being MYOPIC kama umetumwa basi waambie waliokutuma kuwa umelamba galasa.
Big up muungano wa Chadema na CUF cha msingi ni kuchukua nchi bse currently tunaishi maisha ambayo hatustaili kama watanzania.
Mungu ibariki Tanzania na uwaongoze watu wake wachague RAISI mwenye uzalendo na anaekerwa na umaskini wa watanzania.
 
muelewe kuwa CUF na CCM wana ndoa changa huko Zenji. Sasa huu uhawara unaotaka kuchipua hapa MH! yahitaji daktari bingwa kufanya huu upasuaji na kuwatenganisha. suala hapa mi nadhani CUF wawaunge CHADEMA huku Bara na CHADEMA wawaunge CUF Zenji. Hili la mgombea mwenza wa Slaa kwa mtu wa CUF ni ngumu sana. Wamtafute CHADEMA mwenzao toka Zenji.
 
Ivi uyu Tumaini wakati Dr Slaa anaibua hoja bungeni mbona ulikuwa haucommnet kuwa hizi hoja ni za padre.
Stop being MYOPIC kama umetumwa basi waambie waliokutuma kuwa umelamba galasa.
Big up muungano wa Chadema na CUF cha msingi ni kuchukua nchi bse currently tunaishi maisha ambayo hatustaili kama watanzania.
Mungu ibariki Tanzania na uwaongoze watu wake wachague RAISI mwenye uzalendo na anaekerwa na umaskini wa watanzania.

Huyu Tumain ni kati ya wale mashushushu wa serikali wanapandikiza mbegu za chuki kuhusu dini iwapo chama fulani cha upinzani kitaonyesha kuwa tishio kwa CCM katika uchaguzi. Leo katika Mwanahalisi uk wa 3 kuna makala nzuri ya Ndimara "Msimu wa Mashushushu huu hapa" makala ambayo inaeleza ninachokisema na kinachotokea -- mfano ni Tumain na MS. Kwa sababu ya kukosa hoja za nguvu basi hukimbilia dini -- kama vile CUF ilivyobambikiziwa kuwa ni chama cha Kiisilamu mwaka 2000 wakati kilipokuwa tishio kubwa kwa CCM.

Ni hakika msimu wa mashushushu na tutaona na kusikia mengi sana jinsi taasisi hiyo ilivyojikita upande wa mafisadi na kusahau umasikini wa Wananchi walio wengi.
 
why not? lakini mimi nataka nipingane japo kidogo tu.......sioni sababu sana ya kuamua kuwa pamoja yaani kumwingiza cuf kwenye chadema badala yake mimi nawataka cuf waachane na mpango wa kuweka mgombea urais ambaye kiukweli zama zake zilishapita mpaka lipumba yeye mwenyewe anaona aibu......mi nadhani watumie tu busara kama ambnavyo chadema walifanya siku za nyuma kwa kuwaunga mkono kwani ameshapatikana ''TUMAINI JIPYA LA WATZ MAKINI''..DR.SLAA
 
Huyu Tumain ni kati ya wale mashushushu wa serikali wanapandikiza mbegu za chuki kuhusu dini iwapo chama fulani cha upinzani kitaonyesha kuwa tishio kwa CCM katika uchaguzi. Leo katika Mwanahalisi uk wa 3 kuna makala nzuri ya Ndimara "Msimu wa Mashushushu huu hapa" makala ambayo inaeleza ninachokisema na kinachotokea -- mfano ni Tumain na MS. Kwa sababu ya kukosa hoja za nguvu basi hukimbilia dini -- kama vile CUF ilivyobambikiziwa kuwa ni chama cha Kiisilamu mwaka 2000 wakati kilipokuwa tishio kubwa kwa CCM.

Ni hakika msimu wa mashushushu na tutaona na kusikia mengi sana jinsi taasisi hiyo ilivyojikita upande wa mafisadi na kusahau umasikini wa Wananchi walio wengi.

Mimi nadhani JK binafsi amewatuma kupandikiza chuki ya udini kwa Dr Slaa kwani ni sasa hakika kabisa ni tishio kwa utawala wake wa kisanii. Kwa mfano hadi sasa Tumain anashindwa kujibu hoja iliyotolewa kwa nini Dr Slaa hakuonekana ni Padre alipokuwa anaichachafya serikali ya JK Bungeni kuhusu masuala ya ufisadi. Amekuwa "Padre" tu kwa sababu ni tishio kwa JK! Ama kweli!
 
Na kinachowauma zaidi na zaidi ni kwamba Dk Slaa anaendeleza vumbi lake la kukwangua wanasiasa mashuhuri kutoka vya upinzani -- au tuseme vyama vinavyojitambulisha CCM-B -- pamoja na CUF.
 
Hadi sasa katika wachangiaji 12 waliochangia topic hii ni mmoja tu -- Tumain -- bila shaka nduguye MS -- ndiye mwenye mawazo tofauti. Hana aliyemuunga mkono. Mchafuzi tu huyu -- hata kama ni demokrasia -- kashindwa vibaya sana! Haoni hata aibu! Anatala kutuchafulia mpiganaji wetu kwa tuhuma za kidini! Bila shaka ametumwa na CCM ambao Dr Slaa amewasha moto ndani ya chupi zao!

Mkuu naungana na wewe nachukia sana sias za dini. Tunahitaji mtanzania anayeweza kuipigania Tanzania na sio mtu anayepigania dini. Pamoja na kuwa tuna waislamu, wapagani na wakristo, sisi kwanza ni watanzania, dini zetu na makabila yetu baadaye. Kama alhaji Lipumba anagombea na tunaona anafaa, kwa nini tusimchague? kama Padre Kukulu anagombea na anafaa kwanini tusimchague, au hata kama Kingunge anagombea na anafaa kwanini tusimchague? Siasa za udini ni ujinga na ufinyu wa akili.
 
Atakuwa ameungana na kanisa kuteketeza watanzania..kwa mgongo wa chama..padre kuwa rais is BIG NO!

Tumain,
Fikiria nchi, sio chama wala dini. Mimi ni mkristo lakini hata angetokea Shehe wa Kiislam mwenye kutetea maslahi ya nchi nitamuunga mkono. Tukumbuke kuwa hizi dini tumezipokea tu kutoka kwa watu walioufuata utajiri wetu. Tanzania ndiye mama yetu, huyu hakutoka popote, ni wetu, huyu ndiye wa kumtetea sio dini iliyoletwa ama na waarabu ama wazungu.

MUNGU IBARIKI TANZANIA
 
Kiswahili hiki mhhhh. Sijui yameshapanda kwenye ubongo?

Mkuu nina wasiwasi na uraia wa huyu MS, maana licha ya mawazo yake lakini pia hata hiki kiswahili chake kina walakini, asijekuwa raia wa Yemeni - Mwenye CV ya MS please atumwagie hapa tuidodose.
 
Ni mwakilishi wa Al-Qaeda hapa nchini. Huoni anavyotetea dini yake?
 
Yaani CHADEMA mnasikitisha sana sana ,nitaona ajabu kama badu kuna watu awajaistukia CHADEMA kuwa ni patupu ,nilitegemea mngetaka kuungwa mkono kumbe mnataka vigogo tena wakuu wa Chama cha Upinzani hapa Tanzania ,hivi akina LWAKATALE hakuwatosheni Shaibu Akwilombe mmempeleka wapi ????

Hivi huko hakuna watu wenye ushawishi ,nilitegemea mngehitaji CUF iwaunge mkono bila ya kuhitajia watu fulani ,? Hivi mnakumbuka kama mliungwa mkono kule Tarime na je mlipotakiwa muiunge mkono CUF pale Mbeya ,mlifanyaje ? Ni lini CHADEMA mlimuunga mkono CUF kupitia mgombea wake Lipumba ? Hivi ni akina nani wale waliojitoa katika dakika za mwisho ?

CUF ni chama chenye kuheshimika dunia nzima na hapa Tanzania amini usiamini bado ni Chama nambari moja katika kutoa upinzani mkali ,Chadema ndio mnahitajiwa kuiunga mkono CUF Chama kilichokamilika hakihitaji mtu kutoka sehemu yeyote ile.

Yaani tayari mmeonyesha kama mna kasoro tena kubwa sana ,au sijawaelewa ???
 
CUF mnashangaza: yaani chama chenu hakuna wanasiasa mashuhuri zaidi ya Profesa wenu wa Pumba na yule Maalim? Ni hao hao tu wanakikaba koo chama chenu kwa miaka 20 sasa bila kufurukuta, na eti mnawaona wanafaa kila uchaguzi pamoja na kwamba wanalizwa kila uchaguzi? Ndo maana Lwakatare aliwakimbia.
 
Kama wataungana ndiyo furaha yangu. Hata kama Wapinzani wakishindwa uchaguzi wa mwaka huu, mwaka 2015 Serikali itakayokuja itakuwa ya Mseto. Wembe huohuo and BIG UP mnaotuletea habari njema kama hizi.
 
Atakuwa ameungana na kanisa kuteketeza watanzania..kwa mgongo wa chama..padre kuwa rais is BIG NO!

Askofu Yuda Thadeus Rwaichi ambaye ni mwenyekiti wa Baraza la maaskofu katoliki Tanzania alishatoa tamko kuwa kanisa halina katoliki halihusiki na mgombea urais wa CHADEMA au chama kingine chochote cha kisiasa. Ni vizuri ukaacha kupotosha umma wa watanzania.

CUF ikikubali kuungana na CHADEMA katika kinyang'anyiro cha urais TZ, CCM itang'oka madarakani kwa aibu kuu. Lipumba alishagombea mara nyingi, hana mvuto tena.
 
Kama wataungana ndiyo furaha yangu. Hata kama Wapinzani wakishindwa uchaguzi wa mwaka huu, mwaka 2015 Serikali itakayokuja itakuwa ya Mseto. Wembe huohuo and BIG UP mnaotuletea habari njema kama hizi.

Hakuna kushindwa. Matarajio ni kushinda
 
Back
Top Bottom