blueprint.
JF-Expert Member
- May 26, 2013
- 220
- 62
sijui kwa nn naamini katika usuluhishi.
nadhani ni kwa sababu imani yangu inanambia kunapo mgogoro wowote ule iwe familia, kanisani, msikitini, chama na sehemu nyingine yeyote ile ukomavu unaonekana pale watu wanapomaliza tofauti zao na kuendelea kuwa pamoja
lakini kufukuzana ina maana inaonyesha waliofukuzwa, na waliofukuza wote wamefeli. kwa maana naamini fikra sahihi siku zote zinazima fikra potofu kama mwenye fikra sahihi atazihubiri kwa mwenye fikra potofu kwa lugha sahihi.
haya mambo ya zzk na management ya CDM yananifanya niamini kabisa kuwa pande zote zimefeli tena vibaya sana na mimi siamini na sitakaa niamini eti CDM ni zzk au hao slaa na mbowe inaonekana wote wamefeli kwa hiyo mimi naamini ni wakati mwingine wa kuwapisha watu wengine watu wapya kabisa
chama ni tumaini la watanzania kama wana CDM wenyewe mnavokiita. sasa unataka kuniambia haki ya watanzania milioni 45 inawekwa rehani kwa hao watu watatu tu?
mnataka kunambia chama hiki tegemeo la watanzania hakuna watu wengine wanaoweza kukiongoza zaidi ya hao watu? yaani chama hiki tegemeo la watz ni watu watatu tu?
hawa watu wanaopiga kelele humu jamii forums sijui team zzk na team mbowe ni wachache sana ni less than 0.000% ya watz tuacheni ushabiki tuangalie mstakabali wa chama hiki tegemeo
sipendi mtu eti anacoment si uhamie ccm? kweli jamani? hayo ni majibu sahihi ya kutolewa na mwanademokrasia? inakatisha tamaa sana kuna siku mtasema hama nchi which is not acceptable sasa kwa sababu zzk, slaa na mbowe wamefeli naomba wapishe tu naamini watu wanakiamini CDM si kwa sababu ya hao watu watatu tu
wapo wengi tu wanauwezo acheni ushabiki usokuwa na hata chembe ya democracy yani you have to agree ti disagree hiyo ndiyo democracy mawazo huru yanapingwa na fikra huru na sahihi na si kufukuzana.