RAI: Mustakabal wa CHADEMA - CHADEMA and the way forward

sijui kwa nn naamini katika usuluhishi.

nadhani ni kwa sababu imani yangu inanambia kunapo mgogoro wowote ule iwe familia, kanisani, msikitini, chama na sehemu nyingine yeyote ile ukomavu unaonekana pale watu wanapomaliza tofauti zao na kuendelea kuwa pamoja

lakini kufukuzana ina maana inaonyesha waliofukuzwa, na waliofukuza wote wamefeli. kwa maana naamini fikra sahihi siku zote zinazima fikra potofu kama mwenye fikra sahihi atazihubiri kwa mwenye fikra potofu kwa lugha sahihi.

haya mambo ya zzk na management ya CDM yananifanya niamini kabisa kuwa pande zote zimefeli tena vibaya sana na mimi siamini na sitakaa niamini eti CDM ni zzk au hao slaa na mbowe inaonekana wote wamefeli kwa hiyo mimi naamini ni wakati mwingine wa kuwapisha watu wengine watu wapya kabisa

chama ni tumaini la watanzania kama wana CDM wenyewe mnavokiita. sasa unataka kuniambia haki ya watanzania milioni 45 inawekwa rehani kwa hao watu watatu tu?

mnataka kunambia chama hiki tegemeo la watanzania hakuna watu wengine wanaoweza kukiongoza zaidi ya hao watu? yaani chama hiki tegemeo la watz ni watu watatu tu?

hawa watu wanaopiga kelele humu jamii forums sijui team zzk na team mbowe ni wachache sana ni less than 0.000% ya watz tuacheni ushabiki tuangalie mstakabali wa chama hiki tegemeo

sipendi mtu eti anacoment si uhamie ccm? kweli jamani? hayo ni majibu sahihi ya kutolewa na mwanademokrasia? inakatisha tamaa sana kuna siku mtasema hama nchi which is not acceptable sasa kwa sababu zzk, slaa na mbowe wamefeli naomba wapishe tu naamini watu wanakiamini CDM si kwa sababu ya hao watu watatu tu

wapo wengi tu wanauwezo acheni ushabiki usokuwa na hata chembe ya democracy yani you have to agree ti disagree hiyo ndiyo democracy mawazo huru yanapingwa na fikra huru na sahihi na si kufukuzana.
 
Mara nyingi nimeona maoni ya watu wachache kama si wengi wakishiniza kujiuzuru kwa viongozk wa juu cdm (Dr. Slaa, Mh Mbowe). Hawa wenye malengo ya hivi hoja zao ni zipi? na wafikaje itimisho ili? Lengo lao ni nini?

Kwamba hawajaona nguvu na ushawishi wa viongozi hawa ktk chama? Kwamba si watendaji hawawezi kukivukisha chama 2015 ili kishike dola?

Nimepitia maoni ya watu hawa ni kabaini janja yao. Wanachotafuta ni kurudisha chama back to zero, wapate mtelemko 2015 wakuingia magogoni kwa uchafu uleule na waendeleee kutawala 'as business as usual'.....
 
Hili sikubaliani nalo, kabla ya majadiliano yoyote Slaa na Mbowe waachie ngazi kwanza then reconciliation meeting

Sasa mkuu, katika usuluhusho (TRUTH & RECONCILIATION) hakuna adhabu (RETRIBUTIONS). Swala la waheshimiwa Mbowe na Slaa ambao bado ni viongozi stahiki wa chama hiki lisijadiliwe katika huu mkutano wa usuluhishi.

HII NDIO RAI YANGU.
 
Uwezo wako wa ufahamu wa siasa za tanzania naamini ni mdogo.


Yawezekana kweli ukawa mwana chadema,ila fikiria mfano; una mke halafu unahisi anakusaliti lakini katika hali isiyo ya kawaida jamaa unaye muhisi kilasiku likitokea dogo tu la kifamily, yeye ndiye wa kwanza kufika na kumtetea.


Je huwezi kugeneralize nakutoa hukumu ya moka kwa moja?

Ni maajabu eti c.c.m ndio watetezi wa chadema isianguke! Maajabu.


"hawa vijana uliowataja ni wakaidi,nawakaidi hawa faidi hadi siku ya iddi"

1:Umemhisi mkeo- huna ushahidi. Sio
kila unalosikia au kuliona lina ukweli.
2:Mfano wa mke usiulinganishe na
vyama vya siasa. Mke/ Mme wanalala
bila nguo na wanashiriki tendo. Wanasiasa hawalali kitanda kimoja.
3: Kifyatu katoa ushauri wake ambao
Mkiufanyia kazi; chadema kitarudi na kuzidi kuwa imara zaidi.
4: Mnajidanganya kudhani mgogoro
haupo. "NAMSUBIRI MBOWE MAHAKAMANI" huko patachimbuliwa kila kitu kilichojificha kwa maana ya ushahidi. Kesi itavuta hisia za watu wengi na wakati huo muda wa uchaguzi unakaribia. CCM kwao ni Kicheko.
 
chadema ni kikundi kidogo cha wapiga dili kinachojificha kwenye mwamvuli wa chama cha siasa.dr slaa hana shida ya urais, shida yake ni ruzuku tu. ndio maana ruzuku haifiki mikoani inaishia makao makuu tu

Mkuu, tuchukulie kuwa unachokisema ni sahihi. Lakini, kwa kipindi kifupi sana CDM kimejenga mvuto mkubwa sana kwa waTanzania wengi wakikiona kama chama mbadala (mkombozi) kwa CCM. Kama ni kweli hiki chama kina mapungufu unayosema basi haya ni mapungufu ya kiutawala ndani ya chama na sio SERA za chama kwa waTanzania.

Tukibaini haya, hiki "kikundi kidogo cha wapiga dili" tunaweza kukitumia kama nyenzo (leverage) ya kuikwamua Tanzania.
 
WanaCCM wanaomba chadema waitishe mkutano wa usuluhishi ili wasameheane, tena nje ya katiba ya chama!!! Makubwa!!!
 
Kuna vitu vya kuongelea lakini siyo jambo kama hili ....eti kusuluhisha? Kuna ugomvi kati ya wanachama au viongozi hadi wahitaji usuluhishi?

Watu wamejiunga na maadui na kutaka kuzamisha chama halafu eti wasuluhishwe? Waende huko wanakolipwa hivyo vipande vya pesa!

Jaribio kama hili itakuwa ni kujifunga kitanzi....hakuna anayehitaji upuuzi huo!


Asante mkuu. Wazungu wanasema "Be careful what you ask for" - tahadhari na unachokiomba.

Kila la Kheri.
 
ni kweli kabisa Naghenjwa, hawa watu wanajifanya wema kweli kumbe hakuna kitu. unafiki mtupu.

Ni kweli mkuu.

Kuna watu watakuja kukupa ushauri huu na ule. Nani utakaemkubali ni juu yako. Kama unaona mimi ni mburula sawa. Time will tell.
 
hatuna muda wa kucheka na vibaraka vya magamba,
mleta mada naona katumwa na wasaliti kusikilizai ati? nyankundo!!!???

Pengine ni hivyo, na pengine sio hivyo.

Uko tayari kulipia gharama za makosa kama niko sahihi?
 
Ndugu wawili wakigombana chukua jembe ukalime.
Wakipatana chukua kapu ukavune. Njaa ikiwakaba watakufuata uwape chakula. Ukiwa Muungwana utawapa bila masharti. Ukiwa Jahili utawapa kwa masharti na kuwabeza " Mie nilikuwa nalima nyie mnagombana haya nipeni mifugo yenu. "
Chadema pataneni.
 
Usuluhishi wa nini! na ni kwanini wajinga wanahusisha viongozi na Zito! kwani kamati kuu ni Mbowe na Dr Slaa! Ni ujinga kutaka suluhu ktk hili mbona liko wazi! Hivi nani atakubali ccm iwaapangie cha kufanya CDM!


Haya mkuu.
 
umekosa lakufanya? ccm yako huioni? unaweza sema nawewe unaakili timamu kwa huu upuzi wako ulioandika? kaishauli ccm ifanye hayo ili iendelee kutawala.
 
Hawa kila cku mnaokuja na sera za suruhu mbona huw hamgusi makosa halis ya zzk?
mnaongelea ju juu tu ooh cdm co mbowe,zzk wala slaa, ndo mana weng wanawaona ni wa lumumba wenye muono huo coz hamtak kuzama deep na kuanika usumbuf wa zzk tangu 2007 mpk leo.
zzk na nyendo za mashaka ktambo xn hata ambao hatupo ktk siasa tunayaona hayo.
hajishughulish na wenzake ama ndo kwmb yey jesh la mtu mmoja? hii n dhambi pia ktk chama,
bt pia amekuw haish chokochoko hasa akitumia social networks wakt yey ni kiongoz wa juu kabsa ktk chama.
na wala hajal chama knakufa ama hakifi, anajiita msomi kijana na hanunuliki lakn matendo yake hayaakis hata kdogo sifa anazojpambanua nazo!
ufike wakt 2mwambie ukwel kwamba anawavuruga wapenda mabadiliko.
ni kpnd cha kujiandaa na chaguz mbalmbal bt yy ni kil cku fb kuwananga wenzie.
bnafs namuona ni zaidi ya msaliti,na dawa pekee ni kumuondoa kwny safina,kama kukanywa kakanywa sana wala hajawah kukoma.
yey ni msomi,ana misimamo,ni kijana bas aunde chama chake ama ahamie kwingne anakoitwa!
 
Back
Top Bottom