Raha lakin mbona naumia?

Habari zenu wana jF.Bila kuchelewa ngoja niwasilishe tatizo langu.Nina mpenz wangu nampenda sana
pia kutokana na usafi wake wa hali juu huwa ananifanya nijisikie hamu ya kushea nae mwili(kufanya) na huwa nasherekea sana coz ni mtamu sana tofauti na wasichana wengne ambao niliyekwishakuwa nae before.TATIZO LINAKUJA NI PALE NIKIAMKA KESHO YAKE YA SIKU AMBAYO TULIFANYA KICHWA KINANIUMA SANA NA HII hali ngeni kwangu.NISAIDIENI NICHUKUE HATUA GANI KUEPUKA tatizo hili ila NAMPENDA SANA.

Manshivo;
Nisikilize vizuri ... Kaa tafakari alafu nijibu swali hili ... Ni Nini kinakuplekea wewe kujihisi kukutana naye? Hapo kwenye nyekundu inachanganya AU hiyo ndio sababu yeneywe...?

Lete jibu sahihi ..mara moja...!!
 
Habari zenu wana jF.Bila kuchelewa ngoja niwasilishe tatizo langu.Nina mpenz wangu nampenda sana pia kutokana na usafi wake wa hali juu huwa ananifanya nijisikie hamu ya kushea nae mwili(kufanya) na huwa nasherekea sana coz ni mtamu sana tofauti na wasichana wengne ambao niliyekwishakuwa nae before.TATIZO LINAKUJA NI PALE NIKIAMKA KESHO YAKE YA SIKU AMBAYO TULIFANYA KICHWA KINANIUMA SANA NA HII hali ngeni kwangu.NISAIDIENI NICHUKUE HATUA GANI KUEPUKA tatizo hili ila NAMPENDA SANA.

Mkuu punguza kukaza misuli hasa ya kichwani unapo du, just relax unapo do it, ts an enjoyment.
 
ni umejiwekea kisaikolojia kuwa kichwa kitakuuma ndio maana kinakuuma,jitune tena kiambia kichwa chako hamna madhara hutasikia tena
 
ni kweli kuna vichwa viwili vinavyoweza kuuma, kichwa cha muhogo na kichwa chenye ubongo..kama ni kichwa chenye ubongo, aisee uyo mwanamke anakunyonya damu...utakoma,,,,atakuwa na majini mwilini yatakumaliza muda si mrefu...shauri yako....
 
Hi,
The cause of your headaches are as a result of loose nuts in your Medulla Oblongata(Brain).....it is clearly shown in your comments....
 
Kichwa cha juu jamani
ht km ni cha juu, au cha chini,,,we inaonekana unafanya sana.mi nakushauri uache hiyo tabia, subiri had uanatakapopata mke wako ndio utuambie yapi yanakusumbua ukiwa kwenye ndoa. sasa hii habari ya uzinzi unataka tukushauri nini?
 
Habari zenu wana jF.Bila kuchelewa ngoja niwasilishe tatizo langu.Nina mpenz wangu nampenda sana pia kutokana na usafi wake wa hali juu huwa ananifanya nijisikie hamu ya kushea nae mwili(kufanya) na huwa nasherekea sana coz ni mtamu sana tofauti na wasichana wengne ambao niliyekwishakuwa nae before.TATIZO LINAKUJA NI PALE NIKIAMKA KESHO YAKE YA SIKU AMBAYO TULIFANYA KICHWA KINANIUMA SANA NA HII hali ngeni kwangu.NISAIDIENI NICHUKUE HATUA GANI KUEPUKA tatizo hili ila NAMPENDA SANA.

kuna jamaa wengi wakitaka kwenda kucheza ule mchezo hunywa pombe hasa pombe kali kabla, kwahiyo asubuhi yake lazima hangovers ziwe kibao. kama uko jasiri, niambie, huwa hunywi kabla?. ahsante
 
ni kweli kuna vichwa viwili vinavyoweza kuuma, kichwa cha muhogo na kichwa chenye ubongo..kama ni kichwa chenye ubongo, aisee uyo mwanamke anakunyonya damu...utakoma,,,,atakuwa na majini mwilini yatakumaliza muda si mrefu...shauri yako....

mbona unanitisha tena
 
Muache atakua jin huyo anakunyonya damu...utakufa siku si nyingi....kule kwetu Pangani-Tanga hua tunawakimbia hao, tena ni msafi sana? ndio sifa yenyewe hiyo Mpwa, lete tumfanyie kafara

Ni kweli kaka au umeamua kutania?
 
Jamani hapa panaitwa JF home of the great thinkers...sasa usije hapa kukejeli wenzio mtu anakuja hapa anatoa shida zake kama hujui kaaa kimya, kama unaweza kumshauri msaidie sio kumkashifu na kumsemea vibya..huo ni utoto ukiona hujui kaa kimya ama laa nenda kule kwa watoto fb

Asante kaka kwa kuliona hili tatizo maana watu fulan wanageuza shida za watu comedy zone.Mbona kuna sehemu yao ya jokes/utani.
 
Pamoja ya kunywa maji hebu punguza dozi uwe unapiga 1-2 unalala,sasa wewe unataka mechi iishe saa8-9 usiku lazima kichwa kitaauma hujalala wala kupumzika vizuri.

Hili nalo ni jibu ntalifanyia kazi coz nilishaamua kutofanya ili nipate jibu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom