Raha lakin mbona naumia?

Pole ndugu yangu ila next time kiambie hicho kichwa kisiume tena coz usipokiambia hakitajua kama kinakusumbua ukiwa mzigoni au jaribu kuking'ata uone itakuwaje asubuhi yake,nafikiri itakusaidia tatizo lako,ukipona toa shukurani zako kwa kuniPM.
 
1. acha uzinzi
2. acha uzinzi
3. kunywa maji mengi daily!!! (kwa afya yako pindi utakapooa)
 
pole sana inawezekana ni uchovu jitahidi kuwa unakunywa maji sana im sure t will help.
Ugonjwa ukizidi pata ushaur wa Daktari
 
Uzinzi Noma. Subiri hadi ukioa, mungu atalibariki hilo tendo na kichwa hakitouma.
 
bro unafunga goli nyingi kwanini usiamke umechoka(hangover ya K) kawaida acha kucomplicate mambo
 
Kichwa kipi chauma? fafanua.
OTIS.
tehetehe dushele una mambo nilikuwa sijafikiria kuwa kuna swali lingine litakuja. jaani unamaanisha kichwa hiki au kile kinachomfanya ahangaike kutafuta raha ya maumivu kha!:hug::redfaces:
 
Muache atakua jin huyo anakunyonya damu...utakufa siku si nyingi....kule kwetu Pangani-Tanga hua tunawakimbia hao, tena ni msafi sana? ndio sifa yenyewe hiyo Mpwa, lete tumfanyie kafara
 
Jamani hapa panaitwa JF home of the great thinkers...sasa usije hapa kukejeli wenzio mtu anakuja hapa anatoa shida zake kama hujui kaaa kimya, kama unaweza kumshauri msaidie sio kumkashifu na kumsemea vibya..huo ni utoto ukiona hujui kaa kimya ama laa nenda kule kwa watoto fb
 
kunywa maji mengi na chakula kizuri.....tatizo ni ni kwamba hunywi maji mengi...
 
Pamoja ya kunywa maji hebu punguza dozi uwe unapiga 1-2 unalala,sasa wewe unataka mechi iishe saa8-9 usiku lazima kichwa kitaauma hujalala wala kupumzika vizuri.
 
Jamani hapa panaitwa JF home of the great thinkers...sasa usije hapa kukejeli wenzio mtu anakuja hapa anatoa shida zake kama hujui kaaa kimya, kama unaweza kumshauri msaidie sio kumkashifu na kumsemea vibya..huo ni utoto ukiona hujui kaa kimya ama laa nenda kule kwa watoto fb
mmmh!! FB PAMEKUTOA KIJANA LEO HII UNAPAKASHIFU NA KUPAITA KWA WATOTO!! ILA KILA MWANADAMU ANA HAKI YA KUZUNGUMZA NA KUTOA MAONI YAKE UHURU WA KUZUNGUMZA NI KWA KILA MTU!
 
Isije ikawa unakunywa KONYAGI ili uchelewe kukojoa?kama unakunywa konyagi we ni hang'over itakuwa inakusumbua.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom