huyu jamaa atakuwa amekunywa kisusio cha nguruwe huyu!! moyo unaenda mbio anapoza injini!!
Jamaa hajafa hapo anavuta hisia za swimming pool la ukweli!!
Wabongo kwa ubunifu noma
Hahahaha...nimepata idea...
Au kapewa adhabu?hahaha,ukikaa humo nusu saa unatoka na maradhi ya mgongo na magoti!lol!
inawezekana anapikwa kwa mtaalamu!Kwa mazingira hayo, huenda yuko kwa Mtalaam wa Mambo; anatengenezwa hapo. Akitoka anapewa masharti ya kumbaka mtoto mwenye umri wa mwezi mmoja. Matokeo yake ni kunyongwaau kufungwa maisha yake yote.
Local jacuzzi!!
Hapo ni kwa Babu Msitu wa Tembo jamaa anapata dozi,itakuwa anatafuta mchumba