Raha jipe mwenyewe!!

Mwenzenu kapewa adhabu nyie mnajua anaoga kwa jakuz, mngejua mngemuonea huruma
 
huyu jamaa atakuwa amekunywa kisusio cha nguruwe huyu!! moyo unaenda mbio anapoza injini!!

au amechanganya mbege, chibuko, gongo...joto limempanda kwa sababu ya stim kupanda, jamaa zake wameamua kumpoza kwenye maji.
 
Kwa mazingira hayo, huenda yuko kwa Mtalaam wa Mambo; anatengenezwa hapo. Akitoka anapewa masharti ya kumbaka mtoto mwenye umri wa mwezi mmoja. Matokeo yake ni kunyongwaau kufungwa maisha yake yote.
 
Kwa mazingira hayo, huenda yuko kwa Mtalaam wa Mambo; anatengenezwa hapo. Akitoka anapewa masharti ya kumbaka mtoto mwenye umri wa mwezi mmoja. Matokeo yake ni kunyongwaau kufungwa maisha yake yote.
inawezekana anapikwa kwa mtaalamu!
 
hayupo kwa babu anachemshwa hapo? naona kama anapikwa kwa dawa hizi zetu za kiswahili?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom