Rage ameshindwa kabisa kuifunga yanga

BONGOLALA

JF-Expert Member
Sep 14, 2009
16,507
11,883
Pamoja na kelele zake zisizo za tija wala msingi Rage hana uwezo kabisa wa kuifunga Yanga,tangu ameingia madarakani hajawahi kuifunga yanga.Nawashauri wana Simba mumfukuze kisha Mrudisheni Kassim Dewji au Matunda.Poleni wana Simba
 
Yeye ni mwenyekiti tuuu,hata simba wangeshinda si kazi yake ni ya wachezaji.....NAWAPONGEZA YANGA
Pamoja na kelele zake zisizo za tija wala msingi Rage hana uwezo kabisa wa kuifunga Yanga,tangu ameingia madarakani hajawahi kuifunga yanga.Nawashauri wana Simba mumfukuze kisha Mrudisheni Kassim Dewji au Matunda.Poleni wana Simba
 
Pamoja na kelele zake zisizo za tija wala msingi Rage hana uwezo kabisa wa kuifunga Yanga,tangu ameingia madarakani hajawahi kuifunga yanga.Nawashauri wana Simba mumfukuze kisha Mrudisheni Kassim Dewji au Matunda.Poleni wana Simba
Wamrudishe Alhaji Hassan Dallali
 
Nainga mkono hoja kuwa kwa yanga hana ubavuna pia hata internayional games!
Hoja yangu mpya kwa simba wenzangu : Free header goal! Nakumbuka mbrazil leonardo akiwa bado mchezaji wa juu pale milan alifanya kosa lilifanywa na beki wa simba aliyemruhusu asamoah kufunga goli ktk style ile! Nisaidieni kujua yule kijana wa simba anaitwa nani? Baada ya kuucheza mpira kwa kichwa akainama kumpisha mfungaji apige free header goal !! Ninamtaja leonardo kwani naye alifanya kosa hilo mara 2 world cup 1998 final france vs brazil na matokeo zidane alifunga 2 free header goals hatima ya leonardo ni kufukuzwa national team ya brazil kwani hakuitwa tena.kijana simba si mahali pake aondoke na rage aendelee na siasa mpira urudi kwa watu wa mpira
 
Pamoja na kelele zake zisizo za tija wala msingi Rage hana uwezo kabisa wa kuifunga Yanga,tangu ameingia madarakani hajawahi kuifunga yanga.Nawashauri wana Simba mumfukuze kisha Mrudisheni Kassim Dewji au Matunda.Poleni wana Simba

Wewe na wenzako mnaojiita FRIENDS OF SIMBA acheni unafiki, mmepanga matokeo ya game ya leo ili mpate sababu ya kumtimua Rage, tunajua mnachojali ni maslahi yenu na si kuisaidia simba.
 
kwani kila ashindwae kati ya simba na yanga lazima kufukuzana kufuatie? so mchawi wa mechi ya jana ni Rage au friends of simba? wao ndo waliwazuia wachezaji wao wasipate bao? mbona walianza vizuri sana na kosakosa zilikuwa nyingi na za hatari? au yoote ile ilikuwa danganya toto?
 
Back
Top Bottom