Rafiki zangu wawili walifukuzwa chuo mwaka jana 2021, kesi ipo mahakamani

Wapare kwa kesi mfano haki yenu iko wapi hapo mnaleta ujuaji simtetei madam ila je sheria ya mtihani inasemaje kama wanaruhusiwa kupeana kama four figure mi nakumbuka act kama izo kwenye mtihani wa law of business carriage walikataa kabisa kumpa mtu kila mtu awe na yake

Kwa sababu rahsi kuattach ata kikaratsi mule ndani au kumark kifungu mtu akija anaquotes tu

MUM mtajuta wana masharti labda ni ingekuwa kule kweny siasa udsm
 
Hakuna waliposema wameonewa na sijasema hivyo lakini pia kama kitu kimeruhusiwa kuingia nacho kwenye mitihani inamaana ni legal sasa kwanini msiazimane? Na by then no exam principles zinakataza watu wasiazimane even pen

Hairuhusiwi kubadilishana act kweny chumba cha mitihani sio four figure zile kwisha bora wangemalizan kimya wtakuja kuharibiwa vyeti kila chuo wakiapply wanakataliwa wataweka mark kwenye system za number za vyeti vyao

Wangeachana na kesi then wakubali hat kudisco waeende vyuo vingine
 
Wapare kwa kesi mfano haki yenu iko wapi hapo mnaleta ujuaji simtetei madam ila je sheria ya mtihani inasemaje kama wanaruhusiwa kupeana kama four figure mi nakumbuka act kama izo kwenye mtihani wa law of business carriage walikataa kabisa kumpa mtu kila mtu awe na yake

Kwa sababu rahsi kuattach ata kikaratsi mule ndani au kumark kifungu mtu akija anaquotes tu

MUM mtajuta wana masharti labda ni ingekuwa kule kweny siasa udsm
Ahsante sana brother
 
Wamejaribu lakini haiwezekani kwenda vyuo vingine
Mkuu hapo busara ichukue nafasi waelewane ila washaanza kutibua mambo ya kesi cheating ni hatar kesi yake bora alipata zero na nje kama china ni hatar zaidi kwamba ni gundu hapo wakimark kosa kusoma nje pia watakataliwa

Wamechelewa wangemalizana juu juu wana kibao wamashikwa na vibomu wamekubali wamaanza vyuo vipya walikubali kosa wakaitwa wakakiri kosa
 
Brother yawezekana hujajua kwanini wamefikia huko na hii inasababishwa na mimi kutoandika story yote kikamilifu kila kitu kilifanyika lakini hakuna kilichowezekana

Ni bad parception tu kuwa mwanafunzi wa sheria ni mkorofi mbona wengine wanakamatwa hadi na vibomu wanasamehewa, then maadam aliombwa na wakamuahidi hawatorudia kuazimana Acts then akakaza

Na za chini chini inasemekana kwa mwalimu atakayepeleka mwanafunzi aliyecheat basi anapewa kiasi cha pesa

That's All
 
Nilisikia hata lecturer anapiga watu sup za kutosha eti anapewa pesa wakicarry

Wamepambana ikishindikana wamuachie muumba sio rizki tena
 
hao madogo mistake waloifanya ni kukubali kuandika barua ya kukili huo tayar ni ushahidi tayari wamekubali walitenda kosa though sheria ni msemo kunauwezekano mkubwa wakuzipinga hizo barua na madai yao yakawa na mashiko hilo linawezekana kabsa kwa upande wa huyo madam pia anaonekana sheria haijui japo ni mwl wa sheria unapomkamata mtu na irregularities ni lazma ubaki na kile kidhibiti ulichomkamatanacho mtu either kwa kukipiga picha ama kukishikilia abaki nacho ama kama hvo kumuita shahidi mwl mwenzie kama sheria ya chuo chenu kinavodai japo hilinalo sioni kama lina mashiko sab nae ni bnadam anaezakua na chuki bnafuc lkn yote haya huyo madam hakuyafanya! conclusion hao madogo hii kesi wanaishinda mapema 2 ila endapo wataweza kuutegua mtego wa zile barua walizoandika mwanzo. Kesi haina ushahidi wowote zaidi ya hzo barua na barua zenyew wanaweza kusema tulilazmishwa kuandika ama walitulaghai kwa maneno ya uongo tukaandika ila wasikatae hawakuandika wao wakat sahihi zao wameweka
 
Nilisikia hata lecturer anapiga watu sup za kutosha eti anapewa pesa wakicarry

Wamepambana ikishindikana wamuachie muumba sio rizki tena
Hiyo ya lecturer kufelisha watu ili alipwe naisikia kwingine. Pia kuna ile lecturer anauza machapisho yake na ananakiri walionunua, unakuta walio na sup wengi wao hawakununua yale machapisho
 
Kwa kweli POLE yao sana , ubinadamu unahitajika ktk mambo yote la sivyo ieleweke kila mtu hana ukamilifu wowote.
Jambo la pili ni UKWELI kuwa walikuwa wana cheat, halafu ni wanasheria wategemewa, ina maana taifa lilikuwa linatengeneza watu wasio competence.

La tatu ni kuwa kama wanasheria wakiandika barua ya kwanza ambayobwangesitiki hapo wasingefukuzwa kirahisi, lkn kwa kudanganywa watengeneze ushahidi tena wa MAANDISHI walihadaika walitakiwa wakatae wakisimamia barua yao.

La MWISHO , kuzima koleo sio mwisho wa uhunzi, kama hapo MUM wanao ni heshima basi bado zipo fursa za kusoma tena sehemu nyingine

Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
 
Hiyo ya lecturer kufelisha watu ili alipwe naisikia kwingine. Pia kuna ile lecturer anauza machapisho yake na ananakiri walionunua, unakuta walio na sup wengi wao hawakununua yale machapisho
Bongo umafia sana elimu hii watu wakitoboa ndo maana wanakuwa wezi serikalini
 
Back
Top Bottom