Rafiki yangu (34) anataka nimwambie binti yangu wa dukani (22) kwamba anampenda, hii ni sawa?

sky soldier

JF-Expert Member
Mar 30, 2020
5,408
19,033
Wala sina tatizo lolote binti wa dukani kuwa na mahusiano ya kimapenzi maana nae ni mtu mzima tayari mwenye kila sifa ya kupata haki yake ya kimahusiano.

wala sina tatizo hata ikitokea rafiki yangu huyo anatoka na binti, ilimradi tu biashara iendelee.

Tatizo linakuja kwamba huyu jamaa simuelewi, mtu mwenye 34 kashapitia mengi na ana uzoefu mkubwa wa maisha kuzidi hao watoto wa 2000, ni vp mwanaume mwenye 34 alielamba chumvi ya kutosha anashindwa kumkalisha chini binti wa juzi juzi hapo.

Binafsi nina 32, binti familia yao tunaheshimiana sana, naanzaje kukaa nae kwamba kuna rafiki yangu mwenye 34 anakupenda, duh!

alafu nikimwambia anaweza akakubali kishingo uoande kwa ule uoga wa bosi, kudhani akikataa nitakasirika nimfukuze kazi.

Kiufupi nimeona si sawa jamaa kwenda kumdalalia kwa binti, mwanaume wa miaka 34 anatakiwa ajikusanye amwambie mwenyewe...
 
Msaidie
Yeye mpaka akuambie ujue kagonga mwamba na kwa jambo hilo kakuheshimisha umsaidie yawezekana ukawa kwenye historia ya kuanzishwa kwa familia mpya
Msaidie mwanao
Halafu uanaume ni kusaidiaba sio kuanikana
Umekua mvulana sio mwanaume
Binti tunaheshimiana sana na familia yao, hapo nae jamaa unakuta anataka aonje tu, mambo ya kuangushiwa jumba bovu haya
 
Wala sina tatizo lolote binti wa dukani kuwa na mahusiano ya kimapenzi maana nae ni mtu mzima tayari mwenye kila sifa ya kupata haki yake ya kimahusiano.

wala sina tatizo hata ikitokea rafiki yangu huyo anatoka na binti, ilimradi tu biashara iendelee.

Tatizo linakuja kwamba huyu jamaa simuelewi, mtu mwenye 34 kashapitia mengi na ana uzoefu mkubwa wa maisha kuzidi hao watoto wa 2000, ni vp mwanaume mwenye 34 alielamba chumvi ya kutosha anashindwa kumkalisha chini binti wa juzi juzi hapo.

Binafsi nina 32, binti familia yao tunaheshimiana sana, ananiamkia, naanzaje kukaa nae kwamba kuna rafiki yangu mwenye 34 anakupenda, duh
Inaonekana wew ni kuwad mzur na ndio maana jamaa ameona akupe hayo majukumu
 
Wala sina tatizo lolote binti wa dukani kuwa na mahusiano ya kimapenzi maana nae ni mtu mzima tayari mwenye kila sifa ya kupata haki yake ya kimahusiano.

wala sina tatizo hata ikitokea rafiki yangu huyo anatoka na binti, ilimradi tu biashara iendelee.

Tatizo linakuja kwamba huyu jamaa simuelewi, mtu mwenye 34 kashapitia mengi na ana uzoefu mkubwa wa maisha kuzidi hao watoto wa 2000, ni vp mwanaume mwenye 34 alielamba chumvi ya kutosha anashindwa kumkalisha chini binti wa juzi juzi hapo.

Binafsi nina 32, binti familia yao tunaheshimiana sana, naanzaje kukaa nae kwamba kuna rafiki yangu mwenye 34 anakupenda, duh!

alafu nikimwambia anaweza akakubali kishingo uoande kwa ule uoga wa bosi na kudhani akikataa nitakasirika nimfukuze kazi.
Si useme ni wewe tu
 
Kiufupi wewe ndio unamjua rafiki yako vizuri in and out, Kama hajaoa na ana nia ya kweli sio mbaya ukimuonganishia maana itakuwa yeye binafsi alijaribu akashindwa. Kama nia ni kuchezea SIKUSHAURI ufanye hivyo maana huyo binti atakapoumizwa jua chuki juu ya hiyo mwanaume nawe itakuhusu.
 
Msaidie
Yeye mpaka akuambie ujue kagonga mwamba na kwa jambo hilo kakuheshimisha umsaidie yawezekana ukawa kwenye historia ya kuanzishwa kwa familia mpya
Msaidie mwanao
Halafu uanaume ni kusaidiaba sio kuanikana
Umekua mvulana sio mwanaume
sawa amezingua kumuanika....

lakini binafsi naona si sawa jamaa kwenda kumdalalia kwa huyo binti, mwanaume wa miaka 34 anatakiwa ajikusanye amwambie mwenyewe...

sky soldier
 
Wakishaanza kutiana, wanakugeuka wanaanza mipango ya kukufilisi.
On a serious note, kama mwanaume wa miaka 34 ambaye umesema kapitia mwmgi, anashindwa kutongoza, bas huyo hafai hata kwa huyo binti yako.
MWambie jamaa aache mambo ya ki domo zege aende mwenyewe akamwage sera.
Plus mkuu, embu heshimu biashara yako, hiyo ni staff ambae anatakiwa akuheshim na kukuogopa, leo unaenda kumwambia mambo ya ki fala fala eti ooh, yule msela wangu anataka akupige miti blah blah hata huyo dem atakuona we nae msengemsenge tu..
Kaa chonjo.
 
34 mbona dogo sana mm nina 40+ nangonga watoto wa under 18 nawabadilisha nitakavyo, hata sasa namsubiri kuna mmoja anakuja ana 17 yrs anakuja saa 11. Vitoto vyenyewe hivi vimevurugwa ukikapa msimbazi tu unapewa kila kitu
Nyinyi ndo mnaowapa ngwengwe mademu wadogo ambao sisi ndo rika zetu hamna hata mongo wa kuwaoa wala nini shubaaamit msipowapa chuma mnawafumua tunawakuta wana mabwawa hayooo
 
Back
Top Bottom