Rafiki wa mume wangu ananitaka

Ckuelewi huo ushauri unaoomba ni wa nn? Umesema anakushawishi. Je umeshashawishika? Jibu 1 tu,mpe makavu atangulie mbele. Cyo kila mwanaume utamwambia rafiki yako amenitongoza akaeleweza unavyotaka ww. Anaweza kujifanya ameelewa but hujui lililo moyoni mwake,like,....atakuwa ameshagongwa hy,anataka ku-justify alichokwisha kifanya n.k. Fuata waliyosema wadau juu hapo...
 
labda una sifa za ziada yaani mzigo safi, tabasamu nzuri, ukarimu etc etc Yaani wewe ni kifaa kumzidi misezi wake. kama hali ndiyo hiyo hata mimi ningeomba mzigo, hata ikimaanisha kukosana na Mr wako.
 
Jaman, hebu nisaidieni ktk hili, mimi nimeolewa na nnampenda sn mume wangu, sijawahi kumsaliti tokea nimekutana naye.

Hivi keribuni amenitambulisha kwa rafiki yk ambaye alionekana mstaarabu kumbe mnafiki. Rafiki yake huyo ameoa ila cha kushangaza ananitaka mimi wakati mi ni mke wa mtu. Amekuwa akinishawishi kwa kw mme wangu ni mtu wa safari na yeye mke wake anafanya kazi mkoani. Mi nimemgomea kabisaa.

Asa nisaidieni, je nimweleze mume wangu, ila naogopa kuharibu mahhusiano yao, na vlvl naogopa siku mume wangu akijua km jamaa ananitokea! Naombeni ushauri!

Jibu unalo moyoni mwako, ila huna ujasiri wa kulitoa kwa kuwa umepumbazwa na tamaa. Mwili wako u radhi, lakini moyo wakataa. Naamini kuna vitu huhitaji kuingia JF kuomba ushauri. Unatoa jibu hapo kwa papo. Mumeo hakumuoa rafiki yake hadi uogope kwamba urafiki wao utavunjika, ila alikuoa wewe. Mwanamke mjinga huivunja ndoa yake kwa mikono yake mwenyewe. Fanya makosa ukawe nungayembe.
 
Chukua hatua, mwambia mumeo! Potelea mbali ikiwa urafiki wa mumeo na rafiki yake utavunjika. Ugumu uko wapi auntie hadi uombe ushauri JF?
 
Achana nae na lazima umdokezee mme wako juu la hilo, bora urafikiwao uvunjike kulikoni wewe kuingia matatani, pindipo akijua mme wako bila ya kumwambia wewe.
 
Jaman, hebu nisaidieni ktk hili, mimi nimeolewa na nnampenda sn mume wangu, sijawahi kumsaliti tokea nimekutana naye.

Hivi keribuni amenitambulisha kwa rafiki yk ambaye alionekana mstaarabu kumbe mnafiki. Rafiki yake huyo ameoa ila cha kushangaza ananitaka mimi wakati mi ni mke wa mtu. Amekuwa akinishawishi kwa kw mme wangu ni mtu wa safari na yeye mke wake anafanya kazi mkoani. Mi nimemgomea kabisaa.

Asa nisaidieni, je nimweleze mume wangu, ila naogopa kuharibu mahhusiano yao, na vlvl naogopa siku mume wangu akijua km jamaa ananitokea! Naombeni ushauri!

Nikisoma posit yako naona kama umetunga story au umeshamkubali ila unatafuta mbinu za kukwepa mummeo. Anayekataa aleti uwezekano wa mjadala. We mpe tu agonge mume wa mtu na mke wa mtu.
 
keshakulegeza magoti???
Ukiona unashindwa mkataa mtu hadi usaidiwe, jua kuna tatizo mahali.
Kulegezwa magoti ndo inakuwaje tena? Mi nafikiri yeye anao uamuzi. Inatakiwa aseme ameamua nini na sio tumshauri. Kama anampenda au amemuonyesha shemeji yake dalili hizo, ushauri wa nini sasa?
 
unaogopa kuharibu uhusiano gani na umesha sema mwenyewe kua ni rafiki mnafiki?
Unataka waendelee kua marafiki ili iweje? Mwambie mume wako and get him out of your life.

safi sana bahatimbaya niko kazini vinginevyo ninge kukaribisha nyumbani kwa chakula cha mchana
 
Achana nae na lazima umdokezee mme wako juu la hilo, bora urafikiwao uvunjike kulikoni wewe kuingia matatani, pindipo akijua mme wako bila ya kumwambia wewe.

Uskute urafiki wao ndio unaomfanya huyo mumewe aendelee kuwepo mjini!! Angalia Cons and pros! Tunaishi kimjini mjini sasa!! Lako!
 
Poleni waoaji, kama wanawake wenyewe ndo hawa akitongozwa hadi umsemee hapana, mna kazi kweli kweli.
 
Pia ningeomba kabla ya kupata ushauri, ungejieleza labda appearence yako ikoje? Body, face, nyele, yaani full mzigo kiujumla, then tunaweza kusema ni haki yake kukutokea ama laa! Sisi wanawake kutongozwa ni kawaida! Na si kila anaekutongoza amekukosea heshima, laa!!
 
Hapo kinachofuata ni kumuonea huruma na kumpa mzigo. Kama umekataa katakata na bado anakung'ang'ania, huoni kuwa hajali kuhusu urafiki wake na mmeo? Ye yuko tayari kwa lolote, hata kam urafiki ukifa hatajali anachojali ni wewe kumpa anachotaka FULL STOP. So ni either kumpa ama kumweleza mmeo, ukikaa kimya atakusumbua tu mpk ukome.
 
Ulishawahi kamatwa na polisi wakakupiga magoti?
jinsi ambavyo unashindwa kusimama kwa miguu yako hadi watu wakusaidie ndio kama huyu dada.

Jamaa limemwimbisha weee, lishalegeza magoti ya ubongo hawezi kufikiri tena hadi asaidiwe.

Akchwali ameshakubali, ila ana ka wasi wasi kama mumewe akigundua itakuwaje. Ila ameshakubali 90%.

mume atafute rizki, akupende, na awe wa kufukuza wanaokutongoza?

Kulegezwa magoti ndo inakuwaje tena? Mi nafikiri yeye anao uamuzi. Inatakiwa aseme ameamua nini na sio tumshauri. Kama anampenda au amemuonyesha shemeji yake dalili hizo, ushauri wa nini sasa?
 
Mbona wote wanasema kaseme kwa mumeo? Msikilize vizuri labda anataka mtoto mkewe kashindwa.
 
Nafikiri jibu unalo na kama kweli we ni mwanandoa unajua nini cha kumjibu. Kukaa kwako kimyo na kutafuta ushauri si ajabu si ajabu mazingira uliyatengeneza mwenyewe mpalka akakutongoza. Nini cheny thanani kati ya ndoa na urefiki wa mumeo na huyo s hmj yako. IKIMBIE ZINAA NA wALA USIIKARIBIE.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom