Rafiki wa kiume

aah kumbe green mi sijui bwana hela ninayo usjali so jmosi sio?
 
Asa huko kuku PM ndo nin? Si wajua tunaotokea mndenyi mambo mengine mageni...... Usukumani wanasema Mashikolo maghenyi! Kuwa siriazi bana!
Na huo Umdenyi wako ndo umenifanya niamue kwenda kwa Msukuma...maana siku moja unaweza ukapotelea mjini nisikuone tena.
 
aah kumbe green mi sijui bwana hela ninayo usjali so jmosi sio?

Bomba tu asa Lizz kanitema Bebii na amri zake 12 Ish!! Cost sharing haina noma mie ntakuja na ka RAV 4 si utaweka wese?
 
Na huo Umdenyi wako ndo umenifanya niamue kwenda kwa Msukuma...maana siku moja unaweza ukapotelea mjini nisikuone tena.

Hahahahaaaa!! ujajibu swali langu niambie bas ku PM ndo nin Bebii asijentosa tena ... Alaf lazima tufanye Send off!
 
It is ver interesting having a man ambaye mnashare hobby na mnatoka bila kudo! I used to ila almost wote wamekula kona. Mmoja aliniuliza ' Dear unadhani mm si rijali?? Yaani twende beach uvae beach wear nakuangalia tu, then we swim, turudi home unachange nguo mbele yangu nakutamaza tu noop me naenda' Was fun looking him akiwa hot n still hakuna kudo, kaoa sasa ila heshima bado ipo na nadhani was best thing hatukujuana! He will be my best friend forevr
 
mimi ni mwanamke nina miaka 30 NIKO LONELY SANA JAMANI I WISH NIWE NA RAFIKI WA KUINJOY JAMANI.AWE SIRIAS JAMANI ninatafuta rafiki wa kiume sio mpenzi wa mambo yafuatayo1-jmosi tunaenda mlimani city kucheki movie2-jpili kuogelea beach yeyote na kwenda church asubuhi3-kushauriana mambo ya maisha4-asilieleze mambo ya kungonoka5-asiwe na mpenzi awe single kiukweli kama mimi6-cost tutashare 7-awe na ka mvuto mrefu black mimi siko mzuri wala mbaya8-awe na akili ya maisha9-awe mstaarabu mpole10- mimi elimu yangu ni ya chuo kikuu11-awe available wkend zaid cause nafanya kazi12 -napenda sana soka awe mpenzi wa arsenal na simba thanx wana jf
kumbuka jana nilikukaribisha kwa ukaribisho wa upendo, mimi nina miaka 75, ni mweusi mrefu, sina demu, sitaki mambo ya kungonoka, na kwa ufupi hiyo avatar yangu ndo picha yangu. Vipi uko tayari?
 
It is ver interesting having a man ambaye mnashare hobby na mnatoka bila kudo! I used to ila almost wote wamekula kona. Mmoja aliniuliza ' Dear unadhani mm si rijali?? Yaani twende beach uvae beach wear nakuangalia tu, then we swim, turudi home unachange nguo mbele yangu nakutamaza tu noop me naenda' Was fun looking him akiwa hot n still hakuna kudo, kaoa sasa ila heshima bado ipo na nadhani was best thing hatukujuana! He will be my best friend forevr
halafu usisahau kumwambia mkewe kuwa mlikuwa mnavuliana nguo na kubaki uchi lakini hamkudo na mumewe
 
mh mna mambo wana jf so mmenitosa siooooooooooo poa ngoja niende fb au badoo nikatafute waarabu

Tumekutosa wapi mtu mwenyewe masharti kibaoooooo!!!!!,
Hueleweki unataka mume, boyfriend, shugadadi, mshikaji, wakuzugia n.k.
We usawa huu nani utampata eti awe single halafu hapohapo eti akiwa na wewe asizungumzie mambo flani, ushaona wapi hiyo??!!
We nenda zako tu huko fb & badoo, wacha watu tu-discuss issue muhimu hapa
 
Nimesononeka sana kwani nijuavyo mimi unaweza orodhesha sifa milioni moja na kesho interest zako zikagota kwa m2 usotaraji, Ok kila rakheri bebiiiiiiiiiiii..........
 
mimi ni mwanamke nina miaka 30 NIKO LONELY SANA JAMANI I WISH NIWE NA RAFIKI WA KUINJOY JAMANI.AWE SIRIAS JAMANI ninatafuta rafiki wa kiume sio mpenzi wa mambo yafuatayo
1-jmosi tunaenda mlimani city kucheki movie
2-jpili kuogelea beach yeyote na kwenda church asubuhi
3-kushauriana mambo ya maisha
4-asilieleze mambo ya kungonoka
5-asiwe na mpenzi awe single kiukweli kama mimi
6-cost tutashare
7-awe na ka mvuto mrefu black mimi siko mzuri wala mbaya
8-awe na akili ya maisha
9-awe mstaarabu mpole
10- mimi elimu yangu ni ya chuo kikuu
11-awe available wkend zaid cause nafanya kazi
12 -napenda sana soka awe mpenzi wa arsenal na simba
thanx wana jf

Hapo kwenye red arsenal ikifungwa mbona mtaboana. Stress tupu. Hamtaenda kuangalia movie kuogelea beach. Tafuta wa Man Utd atakuchangamsha.
 
mimi ni mwanamke nina miaka 30 NIKO LONELY SANA JAMANI I WISH NIWE NA RAFIKI WA KUINJOY JAMANI.AWE SIRIAS JAMANI ninatafuta rafiki wa kiume sio mpenzi wa mambo yafuatayo
1-jmosi tunaenda mlimani city kucheki movie
2-jpili kuogelea beach yeyote na kwenda church asubuhi
3-kushauriana mambo ya maisha
4-asilieleze mambo ya kungonoka
5-asiwe na mpenzi awe single kiukweli kama mimi
6-cost tutashare
7-awe na ka mvuto mrefu black mimi siko mzuri wala mbaya
8-awe na akili ya maisha
9-awe mstaarabu mpole
10- mimi elimu yangu ni ya chuo kikuu
11-awe available wkend zaid cause nafanya kazi
12 -napenda sana soka awe mpenzi wa arsenal na simba
thanx wana jf

Mm nipo tayari ila nina masharti yangu na siwezi nakayatoa jamvini, kama vp ni PM tuingie mkataba!
 
leo nafunga application asanteni kwa kujitokeza matokeo nitatangaza hapahapa jamvini
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom