darasa ni jion fro saa 10 inategemea muda wako una kulipa membership ama kuingia ka kulipia kila siku. so unachagua wewe unataka nini.
kule ni stori tu kula kwa mkeo so hutakiw hata kuuliza siri ya urembo mnaoga ukimaliza mnapiga stori kisha waenda kwa bi mkubwa.teh teh teh...nimegundua sitaki kitu...ngoja niendelee na hii mambo ya gym. Kuangalia vile vinguo vya swimming akhu.
kule ni stori tu kula kwa mkeo so hutakiw hata kuuliza siri ya urembo mnaoga ukimaliza mnapiga stori kisha waenda kwa bi mkubwa.
hayo mambo ya apetite barabarani chakula nyumbani wanayaweza waafrika wachache sana. We fuatilia vizuri utaona. But I like swimming...ntaangalia which direction to take...chuo kikuu maana swimming pool yao iko vizuri sana
hata pae iko ila sina hakika kama inafanya kazi. usiogope bana ishu ni kujiamni lol! kama hutak kuwaza hizo apetite huwez kuwaza. miye huwa naoogelea na wakaka tena ni wazuri sana kwenye kukutia moyo ili ufanye vizuri zaid kama ulipiga lap moja watakutia moyo utapiga hata mbili.
Ulitaka nianguke kumbe ni kukupa hamasa mazoezi yaweze kuleta tija! Seriously if you have an option, swimming is one of the best exercises
Madame, benefit hapo ni company ya gym. Unless ni mtu wa mazoezi huwezi elewa faida ya kuwa na company ya gym, inakushawishi kwenda mazoezini na kupunguza hiyo kitambi. Faida ni uzuri mwanawani na afya njema.
Ni sawa na company za beer zilizopo humu. Watu wanakutana stuli ndefu na wanafanya maisha more interesting.
khaaa! wewe na viswahili vyako vya tandale aya bana Erotica ndo anakuweza aisee kwa stail hiyo.
Erotica, hilo tumbo tumia kalolite ling'ae kidogo. Mbona limefubaa
kumbe ndio unipendi hivi? nitumie chemicals kwa twins wangu? ngoja nikalale!
hahahahaah! hilo tumbo aisee lifanyishe zoez manake linapunguza effiency ama hujui? babu kwa hiyo tuna mchungulia lol!
hahahahaah! hilo tumbo aisee lifanyishe zoez manake linapunguza effiency ama hujui? babu kwa hiyo tuna mchungulia lol!