rafiki wa gym

darasa ni jion fro saa 10 inategemea muda wako una kulipa membership ama kuingia ka kulipia kila siku. so unachagua wewe unataka nini.

teh teh teh...nimegundua sitaki kitu...ngoja niendelee na hii mambo ya gym. Kuangalia vile vinguo vya swimming akhu.
 
teh teh teh...nimegundua sitaki kitu...ngoja niendelee na hii mambo ya gym. Kuangalia vile vinguo vya swimming akhu.
kule ni stori tu kula kwa mkeo so hutakiw hata kuuliza siri ya urembo mnaoga ukimaliza mnapiga stori kisha waenda kwa bi mkubwa.
 
kule ni stori tu kula kwa mkeo so hutakiw hata kuuliza siri ya urembo mnaoga ukimaliza mnapiga stori kisha waenda kwa bi mkubwa.

hayo mambo ya apetite barabarani chakula nyumbani wanayaweza waafrika wachache sana. We fuatilia vizuri utaona. But I like swimming...ntaangalia which direction to take...chuo kikuu maana swimming pool yao iko vizuri sana
 
hata pae iko ila sina hakika kama inafanya kazi. usiogope bana ishu ni kujiamni lol! kama hutak kuwaza hizo apetite huwez kuwaza. miye huwa naoogelea na wakaka tena ni wazuri sana kwenye kukutia moyo ili ufanye vizuri zaid kama ulipiga lap moja watakutia moyo utapiga hata mbili.
 
Ulitaka nianguke kumbe ni kukupa hamasa mazoezi yaweze kuleta tija! Seriously if you have an option, swimming is one of the best exercises
 
Usiwe na wasiwasi...Mie naweza kuwa rafiki yako nikajilipia kila kitu mwenyewe... Sitakusumbua na hiyo lift yako, tukimaliza kuongea baada ya gym nitapanda zangu dala dala nirudi zangu MABWEPANDE ninakoishi!!
 
Madame, benefit hapo ni company ya gym. Unless ni mtu wa mazoezi huwezi elewa faida ya kuwa na company ya gym, inakushawishi kwenda mazoezini na kupunguza hiyo kitambi. Faida ni uzuri mwanawani na afya njema.

Ni sawa na company za beer zilizopo humu. Watu wanakutana stuli ndefu na wanafanya maisha more interesting.

Mkuu najua faida za mazoezi, mimi mwenyewe mazoezi mtu. Kwakweli sioni faida ya kwenda gym na kuchat coz I loose concentration. Labda nishazoea kuweka mp3 yangu masikioni na sijui faida za kuchat while exercising
 
khaaa! wewe na viswahili vyako vya tandale aya bana Erotica ndo anakuweza aisee kwa stail hiyo.

teh teh teh...hata Erotica amesalimu amri gfsonwin. Ila kwasababu nimealikwa masaki, ntaanza kujifunza lugha za kimasaki masaki. na nikijua kuogolea ndo kabisaaa...maana nina tumbo linavuka mlango wakati wakati ndo nasimama kwenye kiti nilichokaa.
 
Last edited by a moderator:
Ndahani....
hi-272x300.jpg
 
Last edited by a moderator:
Wishful thinking!!! if i were in dar would have loved that, as gym is my kinda lifestyle,,, well all the best in keeping in good shape then and good company as well
 
teh teh teh...hata Erotica amesalimu amri gfsonwin. Ila kwasababu nimealikwa masaki, ntaanza kujifunza lugha za kimasaki masaki. na nikijua kuogolea ndo kabisaaa...maana nina tumbo linavuka mlango wakati wakati ndo nasimama kwenye kiti nilichokaa.
hahahahaah! hilo tumbo aisee lifanyishe zoez manake linapunguza effiency ama hujui? babu kwa hiyo tuna mchungulia lol!
 
hahahahaah! hilo tumbo aisee lifanyishe zoez manake linapunguza effiency ama hujui? babu kwa hiyo tuna mchungulia lol!

Ndio maana nataka kuanza kuchezea maji kama samaki. Labda ntakuwa baby face, handsome boy tena. Kwahiyo nije lini tuanze madarasa wote?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom