Rafiki wa CHADEMA Uganda ashindwa uchaguzi

GeniusBrain

JF-Expert Member
Nov 3, 2010
4,315
306
Hatimaye uchaguzi wa Uganda umekwisha na Mh. Rais Museveni kutangazwa mshindi kwa 68%, na kumuacha mbali mshindani wake Ndg. Besigye kwa kupata 26%. Ndg. Besigye ni rafiki mkubwa wa CHADEMA na Dkt. Slaa , ambae pia kwa uchaguzi mkuu wa Tanzania uliopita alishindwa vibaya na Dkt. Kikwete.

Hili ni pigo kubwa kwa CHADEMA kwani inawakumbushia machungu ya wao kushindwa kwenye uchaguzi uliopita na hivyo basi vilio na majonzi vimewakumba tena wafuasi na wanachama wa CDM.
 
Mbona huongei kuhusu marafiki wa CCM ....kina Gadaffi, Mubaraka etc ....wanavyong'olewa na wananchi.

Tumia akili kuwa wapinzani haimanishi ni marafiki.
 
Mataputapu ya jana uliyokunywa bado yanakuzengua. Upuuzi mtupu

Ni ukweli usio fichika wa urafiki wa Besigye na Slaaa na CHADEMA pia, pole sana najua umekumbushwa machungu ila ndio demokrasia
 
Haya sasa!!!
 
Attachments

  • Kikwete.jpeg
    Kikwete.jpeg
    2.9 KB · Views: 264
Hatimaye uchaguzi wa Uganda umekwisha na Mh. Rais Museveni kutangazwa mshindi kwa 68%, na kumuacha mbali mshindani wake Ndg. Besigye kwa kupata 26%. Ndg. Besigye ni rafiki mkubwa wa CHADEMA na Dkt. Slaa , ambae pia kwa uchaguzi mkuu wa Tanzania uliopita alishindwa vibaya na Dkt. Kikwete.
JK and Mubarak.jpg

Huyu ndiye rafiki mkubwa wa JK na wala sio Besigye na CHADEMA!
 
Tunawaomba kamati kuu ya CHADEMA itoe tamko kuhusu uchaguzi wa Uganda na kuwaruhusu wabunge kutoka bungeni kupinga matokea hayo
Quadaff and JK.jpg

Vipi kuhusu huyu rafiki mkubwa wa CCM,haina haja ya Spika Mama Makinda kujadili people's power in Tripoli?
 
Back
Top Bottom