Rafiki wa CHADEMA Uganda ashindwa uchaguzi

Mi nadhani kuna wapuuzi wamesambazwa na JK kwa ajili tu ya kupoteza muda wa watu kwa makusudi..ili waache kujadili vitu vya maana na kujadili upuuzi ili mafisadi waendelee kupeta. Huyu mtoa mada hii GeniusBum a.ka. "Tino" ni mmoja wapo.
 
Na wanafikiri kwa kutumia tigo
 
MO-AKICHEZA-KIDUKU.jpg

huyu ana nia kweli ya kuchezangoma au ufisadi kujificha kwenye kichaka cha CCM tusimgundue mapema?
 
Hatimaye uchaguzi wa Uganda umekwisha na Mh. Rais Museveni kutangazwa mshindi kwa 68%, na kumuacha mbali mshindani wake Ndg. Besigye kwa kupata 26%. Ndg. Besigye ni rafiki mkubwa wa CHADEMA na Dkt. Slaa , ambae pia kwa uchaguzi mkuu wa Tanzania uliopita alishindwa vibaya na Dkt. Kikwete.

Hili ni pigo kubwa kwa CHADEMA kwani inawakumbushia machungu ya wao kushindwa kwenye uchaguzi uliopita na hivyo basi vilio na majonzi vimewakumba tena wafuasi na wanachama wa CDM.

Kumbe Dictator Museven ni rafiki wa CCM!...CHANGANYA NA ZAKO MBAYU WAYU WEE!
 
Ni bora Besigye anayependa amani kuwa rafiki wa Chadema kuliko Gaddafi wa Libya kuwa rafiki wa CCM pamoja na Museveni. It's just matter of time hayo yanayotokea Libya utayasikia yanatokea Uganda, Tanzania, Ethiopia na kwingineko ambako hawaheshimu Human Rights.
 
achaneni na huyu chizi anatupotezea muda bure .kwanza katoroka milembe huyo.
 
Ignore this person.
Huna sababu na mtu wa aina hiyo, sisi tuna mambo muhimu ya kujadili si upuuzi huo
 
Hatimaye uchaguzi wa Uganda umekwisha na Mh. Rais Museveni kutangazwa mshindi kwa 68%, na kumuacha mbali mshindani wake Ndg. Besigye kwa kupata 26%. Ndg. Besigye ni rafiki mkubwa wa CHADEMA na Dkt. Slaa , ambae pia kwa uchaguzi mkuu wa Tanzania uliopita alishindwa vibaya na Dkt. Kikwete.

Hili ni pigo kubwa kwa CHADEMA kwani inawakumbushia machungu ya wao kushindwa kwenye uchaguzi uliopita na hivyo basi vilio na majonzi vimewakumba tena wafuasi na wanachama wa CDM.
Mi mbona sina kilio wala majonzi yeyote sasa!! ***** nini..!!
 
Je wajua kuwa rafiki wa CHADEMA NDIYE anaongoza serikali ya usa,na Kingdom.Je hapo wasemaje

Hili ni jambo la kujisifia au la kuonea aibu? babu zetu walikufa ili kuikomboa nchi mikononi mwa haohao, sasa dots zote zimeunganishwa unless waje wenye chama chao kutoa ufafanuzi
 
Hatimaye uchaguzi wa Uganda umekwisha na Mh. Rais Museveni kutangazwa mshindi kwa 68%, na kumuacha mbali mshindani wake Ndg. Besigye kwa kupata 26%. Ndg. Besigye ni rafiki mkubwa wa CHADEMA na Dkt. Slaa , ambae pia kwa uchaguzi mkuu wa Tanzania uliopita alishindwa vibaya na Dkt. Kikwete.

Hili ni pigo kubwa kwa CHADEMA kwani inawakumbushia machungu ya wao kushindwa kwenye uchaguzi uliopita na hivyo basi vilio na majonzi vimewakumba tena wafuasi na wanachama wa CDM.
kichwa maji wewe huwezi kufikiri hata kidogo
 
Hivi shida hapa ni nini? Kushindwa kwa Besigye au ni urafiki wake na Slaa? Kama ni kushindwa kwa Besigye au upinzani huko Uganda kama unavyotaka kusema; mbona huzungumzii KANU ilipopigwa mweleka huko Kenya. Nani asiyejua jinsi ambavyo wakati huo Capt komba alivyokwenda na timu yake huko Kenya lakini wakapigwa chini. Kingine kinachoonekana katika ushindi wa Mseveni ni hasa kushindwa kwake kama ambavyo JK aliporomoka. Ushindi wa 68% kwa raisi aliyeko madarakani akiwa na nguvu zote za dola si wa kujivunia. Na hivyo ndivyo alivyoporomoka JK hadi 61%.

Hapo kwenye red ni sawa? maana CDM wana version ya Dr. W.Slaa 64% hebu hakikisha kwanza kisha tuambie maana bado msimamo wa CDM ni Slaa 64% kwa hiyo there is no way JK akawa na 61% maana kina Lipumba, Peter Mziray, Dovutwa wanashare yao ya kura!
 
Sera zile zile za CHADEMA ambazo watanzania walizikataa mkaenda kumpa Besigye azipeleke uganda, hatimaye waganda nao wamezikataa. Hii yaonyesha kabisa sera za CDM zilikuwa si za kutekelezeka, ni za kibubusa zaidi

Huna kazi za kufanya? au umevizia bosi hayupo ofisini ukaanza kutumia computer yake na kuacha kazi yako ya kumwagilia maua ya huyo mhindi
 
Back
Top Bottom