RADIO WAPO na Madaktari Feki. Mnaudhi mno!

mkuu nackiliza sana hata leo yule wa tanzaone nimemckia lakini mm ata nikipiga cna hoja ya kupingana nao juu yao mana sina utaalamu wa mitishamba mkuu cjui nn kifanyike na wanaojua kweli wanakaaga kmya w2 wanaendelea kuliwa na hawa wote tunaowajadili wamesajiliwa mkuu fanya utafiti kwa nilokwambia hapa nimefika mwenyewe kwaiyo tatizo sio wapo tatizo bado nilile jinamizi la uozo linalotafuna taifa na w2 wake kuwapa vibali wasio na uwezo
acha kuchanganyachanganya herufi bana, hii sio fc !
 
Back
Top Bottom