RoadLofa
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 1,347
- 2,957
Hivi TBS wapo kweli Tanzania?
Maana sio kwa ujinga huu niliokutana nao, yaani nimeenda dukani nikaagiza nipewe kipande cha sabuni cha white wash cha tsh 700 nikapewa bila kuangalia vizuri kufika ghetto nikakifungua na kuanza kufua baada ya kuitumia kama nusu saa sioni povu lolote wala kutakatisha vizuri.
Nikaona ebu ngoja nicheck ganda lake lililofungiwa nililolitupa aisee ni utapeli mtupu ganda limeandikwa super wash na linamuonekano wa white wash kabisa hadi sabuni imewekwa kama white wash kabisa ndio kitu kilichomchanganya muuzaji badala ya kunipa white wash akanipa soft wash kutoka kampuni ya Mo Dwejji, Metal aisee Mo anachokifanya sio kizuri na ni utapeli kwa wateja na kuijumu kampuni inayozalisha white wash.
Bora hata sabuni anayozalisha kwa kutumia advantage ya white wash ingekuwa ni nzuri basi ila ni utapeli mtupu.
Mo kwa muda mrefu amekuwa atumii fair competition kwa kampuni nyingine kwa kwa kampuni yake Kutumia mbinu ovu za kuvizia wenzake watumie mbinu na gharama kuteka soko Kisha yeye kuwacopy na kutoa bidhaa zenye sura kama za wenzake ili awachanganye wateja wanunue zake kitu kinachopelekea kampuni nyingine kuwa na market share ndogo
Metl walishapelekwa mahakamani mara kadhaa kwa kucopy brand products za watu mara kadhaa kama vile kleesoft nk na hii naomba iwe case yake nyingine
Metl wajitafakari kwa Kutumia mbinu za kitapeli na kihuni kuwaumiza walaji wa Tanzania, hivi TBS wapo kweli Tanzania au wanakazi ya kupokea rushwa kupitisha bidhaa fake Tanzania, hii si mara yangu ya kwanza kukutana na mkasa wa bidhaa ambazo hazifai kuwepo sokoni, kuna siku pia niliwahi kununua mswaki ambao haufai kushafishia kinywa yaani ukipigia tu unaweza umiza fizi.
Uwa najiuliza hivi TBS uwa wanajaribu kuzitumia bidhaa kabla ya kuzipitisha?
Na kama uwa wanazipitisha wanazifuatilia mtaani na kupata maoni ya watumiaji?