Jamani.....mimi ni msikilizaji mzuri sana wa hii radio ila kuna wakati wananiudhi. Watangazaji wao sometimes they make some crazy sijui niziite mistakes au nini.....mfano sasa hivi Gardner alikuwa anaongea na Kibonde kwenye kipindi cha jahazi about michezo. Topic ilikuwa basket ball halafu wakajikuta wanaongelea ziara ya JK marekani......sasa Kibonde anamuambia mwenzake Gardner....."unajua JK anakutana na Obama "overhaul" office( naandika jinsi alivyoitamka)..." Na Gardner naye anachangia "ndio.."overhaul" office sio mchezo......" It is the OVAL OFFICE EPHRAIM AND GARDNER!!!!!!!!!. Si hawa tu wapo na watangazaji wao wengine wana insist kutamka maneno ya kiingereza ambayo hawayatendei haki basi inaudhi kweli maskioni. Si kwamba mimi ni champion wa kiingereza au kiswahili but i believe when you speak a language especially kwenye media kama radio, basi do justice to that language......au mnasemaje wana JF wenzangu?