Radio clouds fm

Kelelee

Senior Member
Apr 17, 2009
112
1
Jamani.....mimi ni msikilizaji mzuri sana wa hii radio ila kuna wakati wananiudhi. Watangazaji wao sometimes they make some crazy sijui niziite mistakes au nini.....mfano sasa hivi Gardner alikuwa anaongea na Kibonde kwenye kipindi cha jahazi about michezo. Topic ilikuwa basket ball halafu wakajikuta wanaongelea ziara ya JK marekani......sasa Kibonde anamuambia mwenzake Gardner....."unajua JK anakutana na Obama "overhaul" office( naandika jinsi alivyoitamka)..." Na Gardner naye anachangia "ndio.."overhaul" office sio mchezo......" It is the OVAL OFFICE EPHRAIM AND GARDNER!!!!!!!!!. Si hawa tu wapo na watangazaji wao wengine wana insist kutamka maneno ya kiingereza ambayo hawayatendei haki basi inaudhi kweli maskioni. Si kwamba mimi ni champion wa kiingereza au kiswahili but i believe when you speak a language especially kwenye media kama radio, basi do justice to that language......au mnasemaje wana JF wenzangu?
 
Ahahahahahahahaaa....ovahol office.....ahahahahahahaaa labda ni wewe tu uliyesikia vibaya
 
Uwe relaxed ukiwa unasikiliza Clods FM kama uko serious kiviilee....sikiliza TBC.Hizo ni redio za vijana ujana fulani...sio zile za kimaadiliiii kama TBC au radio tumaini.....utakuta wanatamka maneno kama demu..kuingia mitini tena kwenye taarifa habari...leo asubuhi saa 1 wametamka ....kaingia mitini...nikashangaa..ila nilipojua ni clouds aaahh nikajua kumbee...radio ya vijana
 
Hapa ndipo tunarudi kwenye kujiuliza, hivi ni kweli Gardner na Kibonde wote wafanye mistake hii pamoja?

Kibonde na Gardner wote ni watu wa mizaha, na inawezekana huo ulikuwa ni mzaha, the pun being ile office ina nguvu sana, hence "overhaul" office.Kwa hiyo kama wewe si mtu wa kuelewa sanaa unaweza usijue kwamba wanafanya mzaha, ni sawa sawa na Michuzi anavyosema "my wife wangu" halafu umkomalie wakati unajua Michuzi ni bonge la clown.

Ingekuwa Radio inayojulikana kwa u serious wake labda ningekuelewa, Clouds chata lao ni mizaha na kuwa informal, kwa hiyo inawezekana kabisa asiyeelewa hapa ni wewe msikilizaji, umeenda kusikiliza redio ya mizaha wakati wewe si mtu wa mzaha.

Siamini kwamba mtu kama Ephrahim Kibonde hajui tofauti ya "Oval Office" na "Overhaul Office" especially kama wameisema mara mbili mbili kuweka msisitizo unajua kabisa wana jive tu.
 
kweli ni redio ya mizaha kwa mtu makini nadhani haimfai..Gadner mara nyingi tu anasema ANYWAYS!!!! badala ya anyway..mmmh hii sijui imekaaje wakuu
 
kweli ni redio ya mizaha kwa mtu makini nadhani haimfai..Gadner mara nyingi tu anasema ANYWAYS!!!! badala ya anyway..mmmh hii sijui imekaaje wakuu

Kwani hao ni watu wa kuwachukulia serious? Ni sawa na mtu aje hapa halafu aanze kuchukulia kila kitu serious serious....
 
Kwenye blog ya michuzi, nimesoma comments kuhusu mkutano wa JK na BO:

Kuna mtoa comment mmoja, tena kwa authority kabisa, anamkosoa Michuzi, anamwambia:

michuzi unatuaibisha bwana office ya white house office inaitwa OVER ALL OFFICE siyo oval imekuwa maua hayo?
do your homework bro or use only swahili

check hapa
 
Kwenye blog ya michuzi, nimesoma comments kuhusu mkutano wa JK na BO:

Kuna mtoa comment mmoja, tena kwa authority kabisa, anamkosoa Michuzi, anamwambia:

check hapa

Either there is a widespread conspiracy to rename the oval office or this is the new pun in town.

Au kweli tuna hali mbaya hivi? haiiingii akilini.
 
Either there is a widespread conspiracy to rename the oval office or this is the new pun in town.

Au kweli tuna hali mbaya hivi? haiiingii akilini.

Mbona Michuzi anaiita blog globu?

Watu wako uptight na hawawki nafasi ya levity ktk maisha yao..
 
Either there is a widespread conspiracy to rename the oval office or this is the new pun in town.

Au kweli tuna hali mbaya hivi? haiiingii akilini.

Hali ni mbaya kwa sababu 1) wavivu wa kujifunza, 2) kuzoea kuamini ya kuambiwa, etc.

Hivyo basi, Gadner na Ephrahim sio kwamba walikuwa wakitania, walikuwa wakimaanisha, walidhani hiyo office ndio inaitwa hivyo. Kama kitu wanatania mara nyingi huwa wanasema ni UTANI.

Gardner eeh, inabidi huu mchemsho wako uuingize kwenye segment ya Jahazi ya
najua wajua kwamba wajua najua.
 
Ni kweli JK kakutana na Obama Overhaul House.Si unajua JK anahitaji ukarabati?We kuchati dakika 30 anaingia na DESSA.Yani yeye kama Rais hana mambo 7 ya wazi kabisa yanayomsumbua na kumuumiza kichwa kila uchao juu ya Watanzania???Mambo ambayo hata ukiamshwa saa 9 usiku unaweza kuyagani kwa lugha yeyote iwe Kikwere Kiswahili au Ki-Is-and-was????Rais hana Agenda yake mwenyewe mpka akina Salva wapenyeze mawazo ya Rostam?????Sasa akipewa 3 Hrs jamaa si anaweza anza omba aunganishiwe mademu wa kimarekani?( Udahifu wake namba 1) jamaa kaoza kwa hilo.
 
kweli ni redio ya mizaha kwa mtu makini nadhani haimfai..Gadner mara nyingi tu anasema ANYWAYS!!!! badala ya anyway..mmmh hii sijui imekaaje wakuu
Babu kwani anyways ina makosa nini?
 
trouble is, wajanja mnaoweza kuingia online ni rahisi kubainisha tofauti kati ya Oval na overhaul.

sasa niambie mamilioni ya watanzania wanaosikiliza redio hiyo kwa matumaini ya kujifunza......balaa tupu.

lakini kuna sheria inawazuia kutangaza kwa mtindo huo? kama jibu ni hapana, basi tunyamaze tu. tuache nguvu ya soko iamue. kama wanaongea pumba kwanini watu wanasikiliza.
 
...oyaaaa! mbona wengi tu bado wanasema daraja la 'salenda briji', au barabara ya morogoro 'rodi', au ukumbi wa Diamond jubilee 'hall', nk nk nk...

acheni 'wakiswanglish' wanavyotaka kama my -waifu wangu anavyosema.
 
Charlie Gibson, Katie Couric, Brian Williams, among the most knowledgeable broadcasters in America (la sivyo wasingepewa vile viti, I don't think) wana care kujua au wanatakiwa ku care kujua kutamka neno Ikulu?
 
Wafanyie investigation clouds fm.....
 
trouble is, wajanja mnaoweza kuingia online ni rahisi kubainisha tofauti kati ya Oval na overhaul.

sasa niambie mamilioni ya watanzania wanaosikiliza redio hiyo kwa matumaini ya kujifunza......balaa tupu.

lakini kuna sheria inawazuia kutangaza kwa mtindo huo? kama jibu ni hapana, basi tunyamaze tu. tuache nguvu ya soko iamue. kama wanaongea pumba kwanini watu wanasikiliza.

Pia inawezekana mtoa mada hakuwasikiliza watangazaji vizuri.
 
Babu kwani anyways ina makosa nini?

Do not say or write "anyway[FONT=Arial, Helvetica, adobe-helvetica, Arial Narrow]s[/FONT][FONT=Arial, Helvetica, adobe-helvetica, Arial Narrow]"--not ever. The word is "[/FONT][FONT=Arial, Helvetica, adobe-helvetica, Arial Narrow]anyway[/FONT][FONT=Arial, Helvetica, adobe-helvetica, Arial Narrow]."[/FONT]

[FONT=Arial, Helvetica, adobe-helvetica, Arial Narrow]The form "anyways" is found in some dialects in the United States, but it is not standard English, and it should never be used in any situation where you want to be considered reasonably well educated:).[/FONT]​

Ni mtizamo tu!
 
Utani wa mtu mmoja haufanyi kuiita timu nzima ni ya utani' hata hivyo utani ukishajulikana ni utani na ukapata mashiko mtaani basi hapo tunatengeneza msemo wa utani na baadaye waweza kuleta msimu au vilugha fulani' nitumiapo kiutani nawe ukachulia utani basi sie sote tunakuwa watani' hivyo basi kibonde,gadina na sie ni watani japo redio inawaweka hewani je? Hairuhusiwi utani jamani? Au kwakuwa ni mawinguni karibu na mbinguni' sitaki utani na stan
 
kweli kabisa nami nimesikia ikitamkwa ovahol office,huku wakielezana uwezekano wa Michuzi kuwa ndani au kupewa picha na mwandishi wa ikulu akiwa nje na kusimulia issue ya Makamu wa rais serkaili ya Bush alivyokuwa akichungulia ndani ya ovahol office kuona prisida afanyacho...Nimestushwa lakini nilipuuzia
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom