Radio clouds fm

...oyaaaa! mbona wengi tu bado wanasema daraja la 'salenda briji', au barabara ya morogoro 'rodi', au ukumbi wa Diamond jubilee 'hall', nk nk nk...

acheni 'wakiswanglish' wanavyotaka kama my -waifu wangu anavyosema.

Au chama cha 'Tanzania Labour Party'
 
Charlie Gibson, Katie Couric, Brian Williams, among the most knowledgeable broadcasters in America (la sivyo wasingepewa vile viti, I don't think) wana care kujua au wanatakiwa ku care kujua kutamka neno Ikulu?

No, but this is a hyperbole, and the twist in the tale is that Ikulu is a Swahili word for the presidential residency known in English as "State House". Ikulu, unlike Knesset, Duma or Kremlin has an English name dating back to colonial times.If we want the abovenamed journalists to identify Ikulu as Ikulu we will have to kill "State House".

In any case Ikulu and Oval Office are not on a par, Ikulu would be on a par with the White House.So stop devaluing that august, though soiled, residence in Tanzania.
 
I like this.

Naweka msisitizo from wikipedia-THE OVAL OFFICE
 
Au chama cha 'Tanzania Labour Party'

...ha ha ha, naaakweli!

BTW, hiyo Overhaul office si ndio hapo Ms Lewinsky alipoonyesha 'kalufundi' kwake kwa Mr.prezidaa? wala sio sehemu ya kuringia hivyo eti umepigia picha!
 
Do not say or write "anyway[FONT=Arial, Helvetica, adobe-helvetica, Arial Narrow]s[/FONT][FONT=Arial, Helvetica, adobe-helvetica, Arial Narrow]"--not ever. The word is "[/FONT][FONT=Arial, Helvetica, adobe-helvetica, Arial Narrow]anyway[/FONT][FONT=Arial, Helvetica, adobe-helvetica, Arial Narrow]."[/FONT]

[FONT=Arial, Helvetica, adobe-helvetica, Arial Narrow]The form "anyways" is found in some dialects in the United States, but it is not standard English, and it should never be used in any situation where you want to be considered reasonably well educated:).[/FONT]​

Ni mtizamo tu!

Unaona sasa kumbe watu wanataka kuwa considered well educated, thats what i thought. Asante!
 
Naye Dina Marios hajui kabisa kama vinegar husaidia kuua bacteria katika mbogamboga badala yake anang'ang'ania tu kuwa ina kazi ya ladha kama limao tu..kwi kwi kwi kwi. Wajifunze ANYWAYS, kwi kwi kwi..
 
Usijali ,mkuu watangazaji wenyewe wa Clouds Fm ni vibonde kwa elimu zao ,Hakuna elites hapo, vipindi vyao ni kwa macheck bob wa down town Dsm , nothing serious to get from there.
 
Ni kweli Hawa wtangazaji wa FM radios wengi wana hilo tatitizo. Wanaponikera zaidi ni pale ambapo hawatofautishi ''R'' na ''L'' N pia kama Kingereza hawajui bora waongee kiswahili chetu.
 
USHAURI WA BURE:
Endapo mmesikiliza na kutambua redio hizo zimekaa kimzaha mzaha au watangazaji wake wanawakera, KWANINI mwaendelea kusikiliza? Sikilizeni TBC amako hakuna mizaha wala utani, hasa kwenye matangazo ya mpira wa miguu!
 
Ha ha ha ha , utababatizwa na mafisadi bure!!!
 
Jamani.....mimi ni msikilizaji mzuri sana wa hii radio ila kuna wakati wananiudhi. Watangazaji wao sometimes they make some crazy sijui niziite mistakes au nini.....mfano sasa hivi Gardner alikuwa anaongea na Kibonde kwenye kipindi cha jahazi about michezo. Topic ilikuwa basket ball halafu wakajikuta wanaongelea ziara ya JK marekani......sasa Kibonde anamuambia mwenzake Gardner....."unajua JK anakutana na Obama "overhaul" office( naandika jinsi alivyoitamka)..." Na Gardner naye anachangia "ndio.."overhaul" office sio mchezo......" It is the OVAL OFFICE EPHRAIM AND GARDNER!!!!!!!!!. Si hawa tu wapo na watangazaji wao wengine wana insist kutamka maneno ya kiingereza ambayo hawayatendei haki basi inaudhi kweli maskioni. Si kwamba mimi ni champion wa kiingereza au kiswahili but i believe when you speak a language especially kwenye media kama radio, basi do justice to that language......au mnasemaje wana JF wenzangu?

Ha ha ha ha ha haaa
 
Back
Top Bottom