R.I.P Gene Deitch (creator of Tom and Jerry)

Daaaah,kumbe mpaka Popeye ni yeye? huyu mzee atakua alikuwa na IQ kubwa sana
R.I.P....Popeye mzee wa spinach
 
  • Thanks
Reactions: amu
Rest in paradise nakumbuka utoto wang nilizipenda Sana hiz cartoon na ile pink panther sjui n nan creator
 
Nina miaka 28, pamoja na huu umri nimezimaliza tom and jerry zote na bado narudia rudia, huwa nacheka kama mtoto....RIP
 
Hii ni kwa watoto wa mboga saba,sie wa Buza kwa Lulenge hao wakina Tom and Jeri tumewajulia kwenye stori tu shuleni.R.I.P
haizuii kusema kuwa jamaa alikuwa genious, Kuna baadhi ya stories zinareflect kabisa haya ya uswahilini kwetu
kuna moja .inaitwa pet peeve (1955) fasihi ya humo ndio haya yanayotokea katika utawala huu,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1587967454455.png

1587967542263.png


RIP
 
Back
Top Bottom