quiz:tafuta mtu anayelala kwenye hii picha

Aisee..Siasa kweli si hasa, kwa mbwembwe zote hizi bado wakaangukia pua
 
Na ​ukiangalia expressions zao kwa makini utaona Sioi ka vile yuko shocked
 
.
................mtajeView attachment 50758
hawa ccm wana tabia mbaya sana, kwenye mikutano yao ya kampeni huwa wanabeba raia wa majimbo mengine kuja kuhudhuria mikutano ya majimbo mengine ili kuongeza idadi ona sasa walivyoishiwa mpaka wanamchukua na raia wa Gombe naye ahudhurie mkutano wa kampeni LOL... halafu huyo aliye jukwaani hawezi kuwa anahubiri sera maana swaga zake ni kama vile juma nature anashusha mistari!
 
963360_gorilla_sleeping.jpg




Hapo umenimaliza kabisa mkuu hasa nikikumbuka post yako moja uliyowahi kusema,"mnamuonea hawafanani hata kidogo labda midomo tu"
 
Pamoja na kelele za matusi yeye anakoroma? Imefika wakati magamba yapumzishwe kwani yamechoka kiakili sana. Sijui wanang'ang'ania mpaka lini. Pamoja na ugamba wao mimi nawapa big up :shut-mouth: Sumaye, Mzindikaya wako kimya:shut-mouth:
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom