quele quele love!

Beibe ujue umeanza kunipa hisia!

Bishanga uzuri wako mi nakupendea kitu kimoja, kua hisia zako hua haziji mpaka uwe uko kilaji , afu hazichagui pa kutua !
"kilumbila Mungu cha kumemena"
so bby wangu nilishamtoa hofu kwamba akijibishana nawe ajue anaongea na glasi .
Naamini siku ukiacha ulabu mke hukosi .
 
Kwake ntake nin jaman wakati kwa usingz wangu judgement napata pumziko lamaana my jg kisses to u mwaaaaaah
Dedication:nichum by bob juniour
 
Me ndiyo nasarandiwa, na mpango wa mi kusarandia haujagusa vijishipa vyangu vya fahamu.
Kwa huyu Nasty kata kauli garimoshi limefika Ujiji.

Bby hivi hawa hawajui eeeh kuwa hapa mi na wewe sawasawa na jangwa na oasis. hakaukiwi mtuu
 
Back
Top Bottom