quele quele love!

Bishanga, ebu nyoosha kidole chako cha kati cha mkono wa kulia, kichovye kwenye asali then kirambe uone! Kama hutorudia kuchovya tena, basi ni lazima utarudia kukiramba kidole mara kumi kumi!! Lol

Umempa mfano muafaka na mahsusi , lakini usijeshangaa na wala mie sitomshangaa wakati anafanya zoezi hilo la kuramba asali, atalambia kidole cha kushoto!
 
si unajua mi mtu wa kuruka viwanja! leo kwa Young_Master, kesho kwa Asprin, keshokutwa kwa Erickb52, mara tena Kaizer basi ilimradi tu raha!
Kwahiyo kwa kifupi unataka kunambia unaisaliti ndoa yetu?

attachment.php
 
hayo maneno tu bby wangu, hata kwenye kanga yapo, am only yours luv!
 
Bishanga, ebu nyoosha kidole chako cha kati cha mkono wa kulia, kichovye kwenye asali then kirambe uone! Kama hutorudia kuchovya tena, basi ni lazima utarudia kukiramba kidole mara kumi kumi!! Lol

am too young for this!!
 
Kwa hiyo nawe unasarandia yupi anaekupa mtihani, mbali na my wife wako??

Me ndiyo nasarandiwa, na mpango wa mi kusarandia haujagusa vijishipa vyangu vya fahamu.
Kwa huyu Nasty kata kauli garimoshi limefika Ujiji.
 
nimeridhika na banda la Asprinito! lako hilo peleka kwa The secretary! khaaaa!

huyu yetooo nimeshamzoea ndo maana ya open marriage ye agonganishe vikojoleo anakotaka mi nimejituliza kwa yeye kasuku sitaki maneno sitaki matata anachonipa kinanitosha.kuwa na Bishanga ni mtihani
 
Last edited by a moderator:
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom