Ave Ave Maria
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 10,707
- 5,664
Kipipi upo best??? kha! sikusomi kabisa pande hizi!
Nipo ndugu yangu, sema tu twapishana wakti! Halafu mbona we na Kaizer mnasogeleana sana, kulikoni best?
Last edited by a moderator:
Kipipi upo best??? kha! sikusomi kabisa pande hizi!
Mie nasikitika sana mtu akipendwa alafu anaanza uchenjeu wa kutengeneza distributaries zisizo rasmi!! Sio vizuri kabisa.......utanisoma tu Kaizer, manake nitakuganda mpaka nafsi yako ikusute!!
Umemsoma Kipipi apo juu eti
Ananituhumu mi fataki shemeji? Nimtendeje?
We nyendo zako unazionaje, au umekuwa mrithi wa ukaguzi?
Haya, hebu nambie, tangazo la wewe kunipenda kiais hiki uliliweka ubao upi wa matangazo, MMU, chit chat, siasa au jukwaa pendwa? Huo mgando wako mbona sijaufeel kabisa?
Nipo ndugu yangu, sema tu twapishana wakti! Halafu mbona we na Kaizer mnasogeleana sana, kulikoni best?
Tenda babaa......tenda miujizaa! Lol
Hahah........dah sikujua kama sijaeleweka!! Kaizer siko kwa mapenzi na wewe, but how do you consider my big sisy akupendae kwa dhati kabisa?? Huyo ndiye ninaemzungumzia....sio mimi binafsi! Lol (we jitoe tu ufahamu)
Tehteh
Yako wapii mapenzi wouwooo dunianii...bella ooh ooh njoo nikupendeee
hata nikifa usije msibani kwa sababu una rohoo mbaya...we mubayaa (source Christian Bella - Akudo sound)
Yetu macho
He! Kipipi mi nilidhani mi
Na wewe tunaongelea
Mapenzi yetu kumbe! Mjadala umefungwa kama si mapenzi na mimi baaaas. Kha!
Asee umenikumbusha mbali sana
Huyo ndo Jg ! A man of action, utamtaka tu! Upende usipende! Nache nitumbue coz niliwahi kutoa jasho jingi at the peace period, so far napoteza damu chache wakati wa vita.
Utaniambia ulikuwa hujavunja balehe!!!!!!
Mempenda jg with no conditions dats why najionea raha na laaziz wangu judgement mieee
Wow!! Moja kati ya nyimbo nizipendazo......Bishanga upoo??
Bishanga zat dalili ni dhahir sasa unahitaji nikuhamishie tulipokutoa fcbk! Aidha ni kama vile unatafuta shipa (simtank ltr 50)
Tahadhari mkuu ikiwa huhitaji tena kuvaa jeanz na suruali zako za vitambaa endelea! Utamaliza muda wako sayarini ukidumu na msuli.
Upande wa rare nadhani utakua umebugi step , sasa hivi nna hela mpaka najitamani nijiteke mie mwenyewe!
Kipipi thumb up huyo bishanga mashauz tuu