Qatar na Dubai ndio nchi bora kufanya kazi Uarabuni

Ukitaka kusafiri kwenda kusaka maisha huko Fanya yafuatayo

Check HIV and TB status kabla hata ya kuomba passport
Ukijikuta positive tulia bongo usubiri ufe otherwise ukienda watakudeport siku hiyo hiyo,
Tusubiri corona iisheee,
Kama kuna mtu anataka connection anichek ila hakikisha unae passport na ulishacheki afya yako
Mambo vp bro
 
vipi connection bado unazo mkuu
 
As am typing here nimepata kazi Saudia Miaka 2 mkataba, visa, ticket, accommodation,food,health kwao nikawa nasubiri tuu lockdown ziishe waruhusu ndege niondoke! Ila nafsi yangu haikuwa na furaha saana nimakazana kuendelea kutuma cvs kwingine but at hand nina iyo offer.
ulifanikiwa kwenda...?
 
Bado! Mi nahangaika tu hapa. Ajira za ualimu zimetoka. Lakini mimi nataka niende kufanya kazi Dubai. Urgent wangu kaniambia labda tarehe 15/9/2020 wanaweza kuruhusiwa kuingia DUBAI kwa Visa mpya za ajira (employment visa). Sasa sijui, nashindwa kuomba kazi ya ualimu kwanza. Lakini visit visa wanaingia, natafuta mwenyeji niende hata kwa visit visa. Nikatafute kazi huko huko!
ulifanikiwaga kwenda....?
 
Luna uwezekano kufanya kazi zaidi ya ajira moja kwa mwezi, je msomi mwenye vyeti kama Dr, CPA analipwaje
Kufanya kazi zaidi ya moja hairuhusiwi.
Kingine huwa hawaangalii mavyeti makubwa ya shule ni irrelevant wanaangalia skills.
Unaweza ukawa na Masters degree ukazidiwa mshahara na Fundi basikeli au dereva.Its not a joke!
 
Ukitaka kusafiri kwenda kusaka maisha huko Fanya yafuatayo

Check HIV and TB status kabla hata ya kuomba passport
Ukijikuta positive tulia bongo usubiri ufe otherwise ukienda watakudeport siku hiyo hiyo,
Tusubiri corona iisheee,
Kama kuna mtu anataka connection anichek ila hakikisha unae passport na ulishacheki afya yako
Habari naomba contacts zako. Niko na passport nahitaji kwenda huko
 
Haya kwa wale wanaotaka kufanya kazi Saudi Arabia kampuni ya Bravo imerudi na imetoa ajira kazi kwenu,,ticket na visa juu yao,,wana patikana Lumumba jengo la Rissa ghorofa ya tano
Uko hapafai aise ..watu wataenda kutolewa Figo 🤣🤣🤣🤣
 
Sasa anamdanganya nani huyo jamaa watu wanafikilia maendeleo yeye anafikilia uongo duh maisha haya ni hivi wakuu tuache kujidanga muda umefika tubadilike kwa ajali ya family zetu uongo ni sehemu ya umasikini.

Na kweli kabisa mficha maradhi kifo umuumbua
Tusaidiane jamani me nategemewa na ndugu na Sina kazi ya mana
 
Back
Top Bottom