Qatar na Dubai ndio nchi bora kufanya kazi Uarabuni

Mkuu kuhusu kuzuiliwa kwa Visa sijajua vizuri ila kwa TETESI tu ni kuwa watu weusi wengi w anaishi huku wakiwa wana OVERSTAY, na Vurugu ndio maana hata baadhi ya nchi za Afrika ikiwa unataka visa yako ifanywe upya inabidi uwaletee police Clearance na kingine ni kuwa waafrika wengi kazi hawana so wanafanya hivyo kupunguza idadi y’a watu kuja huku na kutegemea kuajiriwa kwa maana hata ajira zimekuwa chache siku hizi huku pia hasa kwa Rangi nyeusi kwa watu wanaopewa kipaumbele kuajiriwa ni watu wa Asia.

Kuhusu mchakato wa Visa nahisi unaweza kwenda ubalozi wao wakakueleWesha ila pia nilisikia kama kuna baadhi ya pesa inabid uwe nayo kabla ujaingia huku japo hiyo sio lazima sana kwa maana kuna jamaa wa Cameroon nilikuwa nae last week aliniambia akuulizwa chochote amekuja na Visit visa ambayo ni miezi miwili tu hakuna miezi mitatu kama zaman.

Hopefully nimekujibu maswali yako.
Safi sana Mr Pirate umetema madini yote muhimu.
Ila nataka niongezee kidogo hapo kwenye inshu ya Visa.
Kwa sheria za sasa Dubai zimebadilika na zipo complicated sana.
Mosi ili ukubaliwe kusafiri kuja dubai sasa hivi mbali na kulipia visa wanataka uwe na benki statement inayoonyesha kiwango fulani cha pesa ili kumudu matumizi mbalimbali ukiwa Dubai sikumbuki amount yake but nadhani ni milioni 3 ya kitanzania kwa wastani.
Pili sheria inakutaka uwe na mkataba wa pango wa nyumba au hotel utakayofikia wakati wote utakaokuwa Dubai yaani kama visa yako ni ya miezi 2 basi uonyeshe mkataba wa malipo ya hotel kwa miezi 2 utakayokaa Dubai,hapa kuwa makini unapodeal na travel agents mara nyingine huwa wanaficha hawakuweki wazi kuhusu hizi conditions anakuacha ulipie tiketi na visa unapata kisha unapanda ndege ukitua Dubai Airport unazuiliwa hutoki,hii ilishawahi kuwatokea waNigeria walipanda ndege walivyotua Dubai Airport wakazuiliwa hawakutoboa.
Tatu kwa wale wanaokuja kwa ajili ya kutafuta kazi sheria mpya inasema ukija kwa Visit/Tourist visa hutaweza kupata working Visa,hata ukipata kazi mwajiri wako hatokuwa na uwezo wa kukutengenezea work visa/work permit then utakuwa unafanya kazi za temporary kimagendo.
Hii inamaanisha kwamba sheria inataka kampuni wanayotaka kukuajiri wanatakiwa kukulipia working visa/work permit ukiwa bado uko nchini kwako kabla hujasafiri.
Ni hayo tu kuweni makini wandugu msije kukurupuka mkaangukia pua.
 
Asante sana kwa hilo.
 
Sio kwamba nchi za Bahrain, Dubai na nyinginezo ndo zimeunda United Arab Emirates?

Mie ninachojua Dubai ni nchi ila ipo kwenye muungano wa UAE ambapo makao makuu ndo yapo Abu Dhabi.
Dubai sio nchi ni state/City kwenye nchi inayoitwa United Arab Emirates(UAE).
Nchi ya UAE ina states 7 ambazo ni
1.Abudhabi
2.Dubai
3.Sharjah
4.Ajman
5.Ras Alkhaima
6.Ummu alquwein
7.Fujairah

Bahrain ni nch tofauti kabisa yaani ni kama ilivyo Tanzania na Burundi au Tanzania na malawi haziingiliani.
 
Sawa mkuu nimekupata.
 
Safi sana Mr Pirate umetema madini yote muhimu.
Ila nataka niongezee kidogo hapo kwenye inshu ya Visa.
Kwa sheria za sasa Dubai zimebadilika na zipo complicated sana.
Mosi ili ukubaliwe kusafiri kuja dubai sasa hivi mbali na kulipia visa wanataka uwe na benki statement inayoonyesha kiwango fulani cha pesa ili kumudu matumizi mbalimbali ukiwa Dubai sikumbuki amount yake but nadhani ni milioni 3 ya kitanzania kwa wastani.
Pili sheria inakutaka uwe na mkataba wa pango wa nyumba au hotel utakayofikia wakati wote utakaokuwa Dubai yaani kama visa yako ni ya miezi 2 basi uonyeshe mkataba wa malipo ya hotel kwa miezi 2 utakayokaa Dubai,hapa kuwa makini unapodeal na travel agents mara nyingine huwa wanaficha hawakuweki wazi kuhusu hizi conditions anakuacha ulipie tiketi na visa unapata kisha unapanda ndege ukitua Dubai Airport unazuiliwa hutoki,hii ilishawahi kuwatokea waNigeria walipanda ndege walivyotua Dubai Airport wakazuiliwa hawakutoboa.
Tatu kwa wale wanaokuja kwa ajili ya kutafuta kazi sheria mpya inasema ukija kwa Visit/Tourist visa hutaweza kupata working Visa,hata ukipata kazi mwajiri wako hatokuwa na uwezo wa kukutengenezea work visa/work permit then utakuwa unafanya kazi za temporary kimagendo.
Hii inamaanisha kwamba sheria inataka kampuni wanayotaka kukuajiri wanatakiwa kukulipia working visa/work permit ukiwa bado uko nchini kwako kabla hujasafiri.
Ni hayo tu kuweni makini wandugu msije kukurupuka mkaangukia pua.

Ni kweli mkuu naona watu wanapewa Habari tofauti juzi nilikuwa na jamaa wa Cameroon amekuja huku kutafuta kazi imekuwa ishu na amejilaum sana kwa maana pesa aliotumia ni nyingi na Dalali aliomleta alimpa information za Uongo.
 
Yes agents hawasemi ukweli wanataka tu wakusanye pesa kutoka kwako baada ya hapo litakalokutokea mbele ya safari shauri yako.
Na kwa vile watu wanakuwa na wenge tu la kuja Dubai hawafuatilii details,na hata ukiweka wazi details zote bado kuna watu watakaoendelea kulizwa.

Sent from my SM-C7000 using JamiiForums mobile app
 
Habari zenu wadau wapambania fursa?Nikiwa mmoja wa wafuatiliaji wa uzi huu na fursa za kazi nje ya Tanzania,
Naomba mwenye kujua taratibu za kupata kazi nchi ya Qatar kwa watanzania. Wakala wa kuaminika asiye na longolongo na kazi zinazopatikana nchini Qatar zote professional na non professional. Nimekuwa nikifuatilia kwa karibu waafrika mashariki wengi wanaofanya kazi nchini Qatar ni wakenya hasa za security, cleaning na helping.Kazi hizi zina mawakala wengi sana nchini Kenya wana office za kueleweka na kufikika, commission fee zao ziko wazi na wanaunganisha wakenya na fursa hizo. Hali ni tofauti hapa Tanzania..ni wakati sasa wakuifungua Tanzania na fursa hizi kupunguza wimbi la ukosefu wa ajira na kipato; watanzania tutafuteni hizi fursa tukafanye kazi tutachopata turudi tuwekeze nyumbani. Shime mwenye kujua wakala wa ajira hizi hasa Qatar atuelekeze.
N:B kwa utafiti wangu mdogo fursa za kufanya kazi nje hasa kwa mataifa ya mashariki ya kati ni si ghali na complicated ukilinganisha na kupata kazi mataifa ya Ulaya na Marekani. Japo pia hata mishahara kwa mataifa ya mashariki ya kati ni midogo ukilinganisha na Ulaya na Marekani.
Lakini kwa kijana mwenye ndoto ya kufanya kazi Ulaya na Marekani kwenda kufanya kazi mashariki ya kati inaweza kuwa gate Way nzuri maana kwa mwenye lengo hilo anaweza fanya kazi kwa muda akawa amejikusanyia kiasi kitachomwezesha kufanikisha gharama na michakato ya kufika Ulaya au Marekani.

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Ndugu
Safi sana Mr Pirate umetema madini yote muhimu.
Ila nataka niongezee kidogo hapo kwenye inshu ya Visa.
Kwa sheria za sasa Dubai zimebadilika na zipo complicated sana.
Mosi ili ukubaliwe kusafiri kuja dubai sasa hivi mbali na kulipia visa wanataka uwe na benki statement inayoonyesha kiwango fulani cha pesa ili kumudu matumizi mbalimbali ukiwa Dubai sikumbuki amount yake but nadhani ni milioni 3 ya kitanzania kwa wastani.
Pili sheria inakutaka uwe na mkataba wa pango wa nyumba au hotel utakayofikia wakati wote utakaokuwa Dubai yaani kama visa yako ni ya miezi 2 basi uonyeshe mkataba wa malipo ya hotel kwa miezi 2 utakayokaa Dubai,hapa kuwa makini unapodeal na travel agents mara nyingine huwa wanaficha hawakuweki wazi kuhusu hizi conditions anakuacha ulipie tiketi na visa unapata kisha unapanda ndege ukitua Dubai Airport unazuiliwa hutoki,hii ilishawahi kuwatokea waNigeria walipanda ndege walivyotua Dubai Airport wakazuiliwa hawakutoboa.
Tatu kwa wale wanaokuja kwa ajili ya kutafuta kazi sheria mpya inasema ukija kwa Visit/Tourist visa hutaweza kupata working Visa,hata ukipata kazi mwajiri wako hatokuwa na uwezo wa kukutengenezea work visa/work permit then utakuwa unafanya kazi za temporary kimagendo.
Hii inamaanisha kwamba sheria inataka kampuni wanayotaka kukuajiri wanatakiwa kukulipia working visa/work permit ukiwa bado uko nchini kwako kabla hujasafiri.
Ni hayo tu kuweni makini wandugu msije kukurupuka mkaangukia pua.
Naomba namba yako ya wasap tuongee,nataka nije uko?
 
Habari zenu wadau wapambania fursa?Nikiwa mmoja wa wafuatiliaji wa uzi huu na fursa za kazi nje ya Tanzania,
Naomba mwenye kujua taratibu za kupata kazi nchi ya Qatar kwa watanzania. Wakala wa kuaminika asiye na longolongo na kazi zinazopatikana nchini Qatar zote professional na non professional. Nimekuwa nikifuatilia kwa karibu waafrika mashariki wengi wanaofanya kazi nchini Qatar ni wakenya hasa za security, cleaning na helping.Kazi hizi zina mawakala wengi sana nchini Kenya wana office za kueleweka na kufikika, commission fee zao ziko wazi na wanaunganisha wakenya na fursa hizo. Hali ni tofauti hapa Tanzania..ni wakati sasa wakuifungua Tanzania na fursa hizi kupunguza wimbi la ukosefu wa ajira na kipato; watanzania tutafuteni hizi fursa tukafanye kazi tutachopata turudi tuwekeze nyumbani. Shime mwenye kujua wakala wa ajira hizi hasa Qatar atuelekeze.
N:B kwa utafiti wangu mdogo fursa za kufanya kazi nje hasa kwa mataifa ya mashariki ya kati ni si ghali na complicated ukilinganisha na kupata kazi mataifa ya Ulaya na Marekani. Japo pia hata mishahara kwa mataifa ya mashariki ya kati ni midogo ukilinganisha na Ulaya na Marekani.
Lakini kwa kijana mwenye ndoto ya kufanya kazi Ulaya na Marekani kwenda kufanya kazi mashariki ya kati inaweza kuwa gate Way nzuri maana kwa mwenye lengo hilo anaweza fanya kazi kwa muda akawa amejikusanyia kiasi kitachomwezesha kufanikisha gharama na michakato ya kufika Ulaya au Marekani.

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Ndugu ushaondoka bongo?Mimi bado nahangaika 2,nimewajaribu wakina Jack wa USA,d nyota,Ebm wote nimwendo wakuuchuna tu.mpk magesa ivyoivyo.ila bado natafuta nafasi,najua nitatoka tu hii tz
 
Wakuu Habari Zenu, Embu tuelewashane kitu baadhi ya watu wanaonitafuta kutaka kuja Kufanya Nje wengi wao uwa ukiwauliza unataka uje ufanye kazi gani WATAKWAMBIA YOYOTE, yes ni kweli kazi Ngumu kupata huku UAE lakini Tafadhali usipange kwenda kufanya kazi Nje ya Nchi ukiwa ujakuwa ujajua unaenda kutafuta kazi gani fanya uchunguzi kidogo kwa hiyo nchi unakokwenda kuna kazi zipi na mishahara ilivyo ya hiyo kazi unayokwenda kufanya itakusaidia sana, Kwa ushauri ukiwa unakwenda Nje angalia Mshahara umepanga kupata Kiasi gani?, na Kazi ipi ambayo utafanya?, Watu wengi tukifika huku tukikutana na wenyeji wetu au watu wazoefu wa huku watakwambia anzia popote tu kisha baada ya miez sita utabadilisha lakini nakuhakikishia Kwa UAE ni Ngumu sana kubadili kazi na kutoka unayoifanya Kwa wakati uo kwenda nyingine na watu wengi uishia kubaki kwenye kazi hiyo hiyo hadi wanarudi makwao, Mimi kuna kazi ambazo nilipanga kuzipata kutokana Professional niliokuwa Yes nilipofika nilipata offer mbili ya hizo kazi lakin Mshahara ulikuwa mdogo kuliko niliokuwa nikiupata Tz although hiyo aikuwa Dubai ilikuwa Sharjah so niliikataa hiyo kazi kwasababu ni bora nirudi nyumbani kufanya kazi kuliko kufanya kazi Nje kisha ukifika mwisho wa mwezi una kitu, maana huku hakuna kitu kina gharama kubwa kama sehemu ya kulala, So nikaja kutafuta kazi ambayo nahiitaj Yes kipindi nakuja zilikuwa nyingi Kwa maana nikifanya maombi ya kazi mtandaoni kwenye maombi 10 ntapigiwa 7 na 3 -4 nilikuwa nikienda Kwenye usahili, Changamoto kubwa ikawa wengi wanataka Uzoefu wa Dubai na wengine wakawa wananipa ofa lakin Kwa masharti ya kunipa miezi mitatu ya kuniangalia kwanza kisha ndio wanipe ajira ambapo hapo baadhi ya makampuni ambayo nilipata yalikuwa yanakuhudumia usafiri tu labda na mlo mmoja.
So baada ya kuona mambo yanazidi kuwa magumu nikahamua kubadili mawazo ya kuwa nipate kazi ambayo Mshahara utakuwa zaidi ya niliokuwa nikiupata Tz na hapo, Ndio pia aikuwa kazi Rahisi lakini ukizingatia maisha ya Dubai yapo juu Kwa kila kitu kuliko nyumbani, kufupisha maelezo ndio nilipata kazi japo nilikuwa na overstay ya kama mwezi hivi na kampuni walisaidia kulipa 1/2 kwasababu Pia ulikuwa uzembe wao kuniuliza mwanzoni. Kwahiyo Wakuu unapotaka kwenda kufanya kazi Nje jaribu kufatilia kidogo hiyo Nchi na kazi zilivyo na Mishahara, na kumbuka Ukisema uchukue kazi yoyote tu kuna uwezekano kusiwe na Nyongeza ya Mshahara au hata usiwe na Siku ya pumzika na hiyo ipo sana huku Dubai pia. Kima cha chini cha Mshahara Dubai ni 800AED na hapo unaweza ukakuta kila kitu kipo kwenye hiyo Mshahara. Ahsanteni
 
Mkuu bado nipo, napambana niondoke nikipata visa nitarudi hapa kutoa mrejesho,japo kwa sisi wanaume safari zetu ni za gharama sana.Pia hii kitu haihitaji kukata tamaa maana michakato inakuwa migumu unaweza kacha.

Sent from my TECNO BF7 using JamiiForums mobile app
 
Wakuu Habari Zenu, Embu tuelewashane kitu baadhi ya watu wanaonitafuta kutaka kuja Kufanya Nje wengi wao uwa ukiwauliza unataka uje ufanye kazi gani WATAKWAMBIA YOYOTE, yes ni kweli kazi Ngumu kupata huku UAE lakini Tafadhali usipange kwenda kufanya kazi Nje ya Nchi ukiwa ujakuwa ujajua unaenda kutafuta kazi gani fanya uchunguzi kidogo kwa hiyo nchi unakokwenda kuna kazi zipi na mishahara ilivyo ya hiyo kazi unayokwenda kufanya itakusaidia sana, Kwa ushauri ukiwa unakwenda Nje angalia Mshahara umepanga kupata Kiasi gani?, na Kazi ipi ambayo utafanya?, Watu wengi tukifika huku tukikutana na wenyeji wetu au watu wazoefu wa huku watakwambia anzia popote tu kisha baada ya miez sita utabadilisha lakini nakuhakikishia Kwa UAE ni Ngumu sana kubadili kazi na kutoka unayoifanya Kwa wakati uo kwenda nyingine na watu wengi uishia kubaki kwenye kazi hiyo hiyo hadi wanarudi makwao, Mimi kuna kazi ambazo nilipanga kuzipata kutokana Professional niliokuwa Yes nilipofika nilipata offer mbili ya hizo kazi lakin Mshahara ulikuwa mdogo kuliko niliokuwa nikiupata Tz although hiyo aikuwa Dubai ilikuwa Sharjah so niliikataa hiyo kazi kwasababu ni bora nirudi nyumbani kufanya kazi kuliko kufanya kazi Nje kisha ukifika mwisho wa mwezi una kitu, maana huku hakuna kitu kina gharama kubwa kama sehemu ya kulala, So nikaja kutafuta kazi ambayo nahiitaj Yes kipindi nakuja zilikuwa nyingi Kwa maana nikifanya maombi ya kazi mtandaoni kwenye maombi 10 ntapigiwa 7 na 3 -4 nilikuwa nikienda Kwenye usahili, Changamoto kubwa ikawa wengi wanataka Uzoefu wa Dubai na wengine wakawa wananipa ofa lakin Kwa masharti ya kunipa miezi mitatu ya kuniangalia kwanza kisha ndio wanipe ajira ambapo hapo baadhi ya makampuni ambayo nilipata yalikuwa yanakuhudumia usafiri tu labda na mlo mmoja.
So baada ya kuona mambo yanazidi kuwa magumu nikahamua kubadili mawazo ya kuwa nipate kazi ambayo Mshahara utakuwa zaidi ya niliokuwa nikiupata Tz na hapo, Ndio pia aikuwa kazi Rahisi lakini ukizingatia maisha ya Dubai yapo juu Kwa kila kitu kuliko nyumbani, kufupisha maelezo ndio nilipata kazi japo nilikuwa na overstay ya kama mwezi hivi na kampuni walisaidia kulipa 1/2 kwasababu Pia ulikuwa uzembe wao kuniuliza mwanzoni. Kwahiyo Wakuu unapotaka kwenda kufanya kazi Nje jaribu kufatilia kidogo hiyo Nchi na kazi zilivyo na Mishahara, na kumbuka Ukisema uchukue kazi yoyote tu kuna uwezekano kusiwe na Nyongeza ya Mshahara au hata usiwe na Siku ya pumzika na hiyo ipo sana huku Dubai pia. Kima cha chini cha Mshahara Dubai ni 800AED na hapo unaweza ukakuta kila kitu kipo kwenye hiyo Mshahara. Ahsanteni
Naomba Namba yako ya wasap tuwasiliane
 
Back
Top Bottom