q11 g imenigomea msaada jamaa

umatemate

JF-Expert Member
Jul 19, 2013
755
138
naomba msaada mwenye kujua sipati picha tatizo lilianza nilipobadili line ya simu nikiwasha inaandika netwek saccses lakin picha inagoma msaada wenu tafazali nimesubili kwa dk 20 chanell zimeludi nashukuru
 
naomba msaada mwenye kujua sipati picha tatizo lilianza nilipobadili line ya simu nikiwasha inaandika netwek saccses lakin picha inagoma msaada wenu tafazali

Owning QSAT means you have to be patient
Kama uwezi uvumilivu yakubidi utupe uvunguni kidude
sijajua kama imerejea lkn za baadhi ya watu ziko hewani na nyingine server zake ziko under maintainance
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom