Q-NET Company "biashara mtandao" ni utapeli unaoenea kwa kasi Tanzania. Serikali mko wapi?

Kwanza niseme hii QNET nshaenda hadi training zao kwa kiasi flani niseme sio utapeli bali wanachembe chembe za uongo mwingi sana tena sana.
Ofisi zao Dar es Salaam Sinza Makaburini,Ubungo Mawasiliano,Kinondoni Studio(Stereo Bar karibu na kwa TID) na mpya ya juzi ipo Mikocheni B.
Mtu wako wa karibu ana kupick anakukaribisha ooh njoo on time sehem flan,ukifika vaap unapigwa kitraining pale ukiona zile hesabu za hela hautamani kuondoka sawa eeh uende mchana asubuhi jioni salamu yao ni good morning(wierd)
Kesho yake wanakuonyesha hayo mapackage yao ya millions and millions Holiday,Education & saa etc.
afu ujiunge uingee training ila wao wanakuaminisha usijali sisi tutakusapoti hao watu wawil wa kuwaweka usijali,ila kwangu ilikuwa ndivyo sivyo mm ni mwajiriwa ambae asilimia kubwa ya kazi yang ni safiri nakosa nafasi za kupeleka watu ilinipa shida kila siku wananipigia simu leta watu leta watu nilikuwa kama chizi.
Shida aliyenipeleka ni ndugu nkashindwa kumwambia umenipeleka choo gani,ila yy bado anashabikia sana kuna faida,kwahiyo nililiwa hela yangu yote na nashindwa hata namna ya kufanya.(88BB,na paradigm shif zao na welcome proffesional zao zote nnazo)
USHAURI:
Kama unataka kujiunga jua haya:
1.Utatakiwa kudedicate all of your free time kwenda hapo ofisini.
2.Kwa wiki hakikisha unapeleka watu tano zikapigwe somo
3.ujifunze kuedify na show products.

Well there is no easy money,
ILA QNET KUWENI WA KWELI UNAJUA MTU MUAJIRIWA NA MSAFIRI SANA UKISHACHUKUA HELA NDO UNAANZA KUMNANGA OOH AJIRA INAKUPA HELA NDOGO SANA NJOO QNET.
KINGINE SAA YA KUCHUKUA HELA HATA UWAAMBIE UPO KIMBIJI WANAKUJA SUMBUANENI SASA NJOO OFISI NJOO KWA UPLINE NJOO KWENYE MEETING NJOO LEADERSHIP CAMP.
KWELI QNET NI YA KUANGALIA KWA JICHO LA TATU.
Ahsante mkuu kwa maelezo yako. Ofkoz, there is no easy money nor quick mny au asikwambie mtu kwamba thz z a fast get rich scheme. Ntaongeza kwa ulivyoweka bayana.Ila as long as umeielewa biashara na mfumo wake wakipato, kazi inabaki kwako.
Tufanye kitu very simple guys,tafuta mda, kapate info ukiridhika join, uspo ridhika endelea na kazi zako.hakuna atakaekuforce uingie. In life,we all have choices.
 
Nimekuelewa its not a fast get rich scheme,
Kwanini wanajua mtu ni mfanyakazi na bado wanaku insist ujoin? Hata baada ya kuelezea mazingira na safari ya kazi zangu,tayari nshawapa hela na wakanigeuka kuwa jiibe au kataa safari uje QNET?Kumbuka kupitia ile kazi ndo niliweza kulipa package yenu.
Pili,Saa ya kuchukua hela yangu they will go the ends of earth kuifuata,usiku wa manane na wakati nawapa hela niliwauliza ni sign wapi?hakukua na documents,ila pale nawaambia nataka hela yangu wananiambia njoo ofisini tusignishane.
Kweli ni kwa heshima ya ndugu yangu lakini the style QNET is using is so unethical,mkiwa camp zenu share na great upline wenu.
 
Ila kumbuka kwamba ths z an online company/biznec. Nina uhakika baada yakununua bidhaa ulipata risit kwenye email yako ikiendana na tshs ulizotoa.
Kuhusu kutafuta mda wa biashara, ni jinsi gani unajipanga. Naamini kwa kupania na baada kuielewa biashara na jins gani utajitengenezea kipato, basi utapgana kupata mda. Mda wote ukikipa kitu priority then utakitafutia tu mda.Challenge yetu bndam ni kuadjust to change.. ila as u knw everytn has a price.lakn mi nimeona watu wameajiliwa wanaifanya hi biashara. Infact asilimia kubwa ni waajiliwa.
 
Mimi ushauri wangu hizi biashara MTU alazimishwii kujiungaaa,unakuta MTU anajiunga mwenyewe kwa kupendaa,kwa hiyo aliwe pesa zake asiliwe ni yeye na maamuzi yake, wawaache wa invest at there own risk.

Kumbuka hats Facebook watu wanaitumia kuingiza pesa,sema watu hawafanyi matangazo.

Google inatumika kuingiza pesa,intagram pia inatumika kuingiza pesa.yani ukianza taja kampuni zinazoingiza pesa zitajaa kurasa.

Sema watu wengi hawafahamuu,google wanakulipa kupitia western union gani online business kwa nchi zetu bado ni ngeni,japo zina high risk,yani yakupasa Ku take risk.

Haya mambo wangewaacha wanaofanya wafanye kwa uamuzi wao,wakiliwaa watajuana na online zao
 
Kuna kampuni moja inaitwa Qnet ni kampuni tanzu ya Qi company,ni biashara ya mtandao makao yake makuu yapo Hong kong,wana deal na kuuza saa,vifaa tiba n.k.

ni hivi wanashawishi watu wakope na wanunue bidhaa mtandaoni km saa n.k kwa bei kubwa km milioni 5 then automatically unakua umeshakua member then unaambiwa utafute watu kadhaa nao wanunue bidhaa ili upate kamisheni cha ajabu ni kua hta km huna hela watatumia mbinu zote za kiulaghai kwamba utapata zaidi ya milioni 10 as a kamisheni kila mwezi na maisha yko yatakua mazuri ndani ya muda mfupi sasa na njaa zetu hizi ukipiga picha m10 kila mwezi unaweza kuingia mkenge .

Hii kampuni ilishapigwa marufuku kwa "fraud" nchi kibao kama India,australia n.k.hivi sasa hapa bongo ndo imeshika kasi na ofisi zao zipo hpa kinondoni Studio. serikali mko wapi?

kwa jinsi walivyo wajanja hpa walipoweka ofisi yao huwezi jua kinachoendelea humo ndani utaona tu watu wanaingia na kutoka ukiuliza kuna nini humo ndani huwezi ambiwa,nimejaribu kunyapia nyapia mpaka nimefanikiwa kuingia na kufanyiwa semina ndo nikagundua hawa ni matapeli.

Maisha magumu yasitufanye tuwe wepesi wa kuamini visivyo aminika.
Mauweee! Mwenye hiyo kitu juzi alikuja kwangu hapa hapa maeneo kinondon kunishwwishi niingie nikamwambia ntampa jibu kumbe n matapeli!

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Kuna kampuni moja inaitwa Qnet ni kampuni tanzu ya Qi company,ni biashara ya mtandao makao yake makuu yapo Hong kong,wana deal na kuuza saa,vifaa tiba n.k.

ni hivi wanashawishi watu wakope na wanunue bidhaa mtandaoni km saa n.k kwa bei kubwa km milioni 5 then automatically unakua umeshakua member then unaambiwa utafute watu kadhaa nao wanunue bidhaa ili upate kamisheni cha ajabu ni kua hta km huna hela watatumia mbinu zote za kiulaghai kwamba utapata zaidi ya milioni 10 as a kamisheni kila mwezi na maisha yko yatakua mazuri ndani ya muda mfupi sasa na njaa zetu hizi ukipiga picha m10 kila mwezi unaweza kuingia mkenge .

Hii kampuni ilishapigwa marufuku kwa "fraud" nchi kibao kama India,australia n.k.hivi sasa hapa bongo ndo imeshika kasi na ofisi zao zipo hpa kinondoni Studio. serikali mko wapi?

kwa jinsi walivyo wajanja hpa walipoweka ofisi yao huwezi jua kinachoendelea humo ndani utaona tu watu wanaingia na kutoka ukiuliza kuna nini humo ndani huwezi ambiwa,nimejaribu kunyapia nyapia mpaka nimefanikiwa kuingia na kufanyiwa semina ndo nikagundua hawa ni matapeli.

Maisha magumu yasitufanye tuwe wepesi wa kuamini visivyo aminika.
Nani alikuambia ujiungeee?madharani MTU anajiunga kwaa akili yke mwenyewe haina shidaa.serikali haikuunganishi na biashara za mtandaoni,ili kiepuka nao usijiunge.
 
Qnet sio utapeli balli ni makerting network amboyo wewe mtaji wako ni kununu package tu na sio kingine. na hiyo lazima kikkufikie sasa kuanznia hapo ni uwezo wako wa kuleta watu waje kununu bidha ili uweze pata pesa yako. mara mbili ila nawashauri mwende ila mimi siendi maana ni parefu japo pesa ipo kama una juhudi
 
Mkuu forever living wanalipa kodi na kampuni ambayo INA zaidi ya miaka 40 sokoni......nadhani kabla hujapost chochote...ni bora ufanye research kidogo..hizi za qnet..rifaro..zote...no kwamba hazina product!!!
Walewale

sent from my senderx9 lite using jamiiforums mobile app
 
Me nimejoin and i am getting paid each week ikifa nshapata pesa yangu nlowekesha.. if you want to join make sure your awere that your taking risk anything might happen
Walewale

sent from my senderx9 lite using jamiiforums mobile app
 
Acheni mambo yenu ya ajabu..serikali ifanye nini???kila mtu ana akili zake...

Post sent using JamiiForums mobile app
 
dah nilishapigwa first training ndo nasubiri ya pili apa ila kuna mdau Mischa kanifungua macho sna nishachanganya na za kuzaliwa najua cha kufanya sasa!

Sent from my SM-T116 using JamiiForums mobile app
Ze showstopper
The most passive agressive people ndo utawakuta huko,Psychology is the best weapon.
What they do is tear you and scare you kuhusu umasikini,madeni na mikopo then build you up to believe in QNET OR The V.
My friend dont be fooled easily choose wisely,it was not a good business for me i hope it will work for you.Cheers
 
Back
Top Bottom