Hahahahasasa wanaotibu kwa kuoteshwa dawa nao ndo kundi lipi hapo
Unaonekana unaringa sana wewe, halafu ni much know na mjuaji mjuaji hivi, pia huna heshima na ni jeuri! Sasa ulimkataa wa nini na wakati ulimnenea kuwa unataka kumtambulisha?Daaaaaah ais
aisee! Mkuu pasco kwa mara ya kwanza nilimuona mume wangu akiwa kijana nikasema huyu kaka ndio nimpeleke nyumbani kumtambulisha!! Aiseee nikapotezea, yeye akaanza kuja kwa kasi kwangu nilimkataa kbs ni nikawaambia rafiki zangu yani Mimi simtaki kabisa!! Tulipitia changamoto nyingi ila tumeoana na tunaishi vizuri.
Mara ya pili ilikuwa destruction Dada aliniuzi sana kwa kunyanyasa mtoto mmoja hivi nikamnenea kuwa atazaa na hatoolewa na mwanae atapitia hayahaya!! Miezi michache baadae akpata mimba jamaa akaingia mitini!
Ya tatu niliwaangalia wanawake wajawazito nikasema mhhh watazaa watoto Ila kuna atakaekufa!!!!! Lahaula
Mtoto mmoja akafia tumboni kwa mamake!!
Siku za karibuni wish zangu nzuri zuri na za maana positive oriented hazitokei yani nashtukia tukio kabla halijatokea! Nifanyeje hivi vitu positive vitokee!
Sio mapepo kweli hayo?Sema tu sipendi kuzingatia ila naweza ongea na baba na mama yangu ambao walishatangulia na wakati mwingine wananipa maelekezo ambayo mara nyingine siyafanyii kazi.
Naweza kujuwa mahali nilipo like job panatokea msiba au hata ukaguzi n.k.
Naweza ona mtu ninayemjuwa kafa na kweli anakufa
Sipendi kuvizingatia.
Mi nimoWale walotabiri magufuli atakufa
Mama samia kuwa raisi
Hiki kitabu kama unacho soft mkuu nakiomba tafadhalNakubaliana kabisa na wewe Mkuu Pasco, kipindi fulani katika maisha yangu nilitamani sana kujifunza uchawi mwenye tija, nikajikuta nimeangukia kwenye temple moja south Africa iliyokuwa inafundisha Buddhism Yoga meditation na supernatural powers
Yalikuwa ni masomo magumu ya ajabu na yenye kushangaza kwa jinsi yake, kwa ufupi ni kwamba hakuna chenye nguvu duniani kama bongo(mind) ya binadamu, na tunachokitumia katika mind zetu ni theluthi tu ya kile chote kilichopo
Tunafundishwa kuwa kuna 5senses, lakini Zipo 8 ambapo mtu ukiweza kuzifanyia kazi utafanya maajabu mengi , mind ya mwanadamu imejazwa takataka nyingi mno, illusions na dillusions ukiweza kuziondoa kwenye bongo yako ukabaki na pure and stable mind unakuwa mtu mwingine kabisa mwenye maono na nguvu za ajabu mno
Medition ni kitu cha Mwanzo kabisa kuendea kwenye kudevelop supernatural powers, nilifanya meditation zote, chanting, yoga nikiwa vegitarian kwa miaka mitano nikajikuta nabadilika nikaogopa nikaacha , kwakuwa niliona wazimu kuna mafundisho yanapingana waziwazi na imani yangu
Nimeipenda mada yako sana. Nakaribisha maswali na ufafanuzi nimeisoma sana Buddhism, Taiosm, Satanism na Kshna consciousness
Mwenye kupenda hii mambo atafute kitabu kiitwacho Analects: Way and Its Power.
Hii kitu ninayo pia. Hapa nipo njiani natoka Mwanza na ndio mara ya kwanza kufika ila nafeel kwa baadhi ya sehemu kuwa nilishawahifika. Absursly enough hata kuna baadhi ya mazungumzo yetu ni kama nilishawahi kuyafanya kabisaaaaa. Nilipohisi hivyo kuna mada moja niliianzisha ila kabla hajarespond nikamalizia na response yake. Alishangaa sana dogo. Sasa leo ndio nikaona nianze kugoogle. Thank God nimeangukia jukwaa la nyumbani (JF)Mh hapa sasa ndio penyewe nimekua nikifanya kitu nahisi kama kuna siku nilishakifanya lakin tatizo sikumbuki ni wapi na lini kwa mfano naweza kukutana na mtu popote pale iwe njiani au kwenye gari na tukianza kupiga piga stori nakuwa kama napata picha ya hayo tunayozungumzia yalishapita lakini kiuhalisia haijawahi kutokea, hapa nitakua katika kundi gani mkuu Pasco
Hii ilinitokea wakati nafanya paper ya NECTA form 6 2002. Nilikaa na maswali 3 ya History Paper 2 nikawqfuata wabobezi wa History nikawaambia nina wasiwasi sana hayo maswali yatatoka. Tuliyasovu kwa umakini sana, huweziamini kesho yake tunayakuta maswali in the same order I sorted in my rough paper. Jamaa walihisi nilikuwa nina gaka. Ila it never happened again hadi namaliza chuo.Mimi umenigusa sana kuna nguvu na mimi ninazo hapo,kwa mfano unaweza ukanisimulia story kuhusu watu au mtu fulani siku nyingine kabla haujanitambulisha naweza kukisia majina yao kutokana na story yako na kweli inakua hivyo
Nguvu nyingine ni ile uswahilin inaitwa machale kwa mfano wakati nasoma nilikua naotea sana maswali kabla ya mtihani,vile vile naweza nikaunganisha matukio kwa mfano mtu anapiga misele sister nikimuona tu mtaani nilikua nikimuhis ni kweli au nikikaa karibu na mtu mbaya jiran sehemu kama bar huwa nahis na siku moja nilishawah hama meza kwa kuhis jiran si mtu mzur baadae mwenyej wangu alivyokuja kabla sijamuhadithia akaniambia "unamuona yule dada ukimtongoza ukakaa naye meza moja anakuwekea madawa kwenye bia au anakutengenezea fumaniz fake ili wakupore na masela wake"
Maajabu yule dada ni mzur na amekaa kistaarab na mimi ni mgeni hiyo mitaa hadi mwenyewe nilijiogopa yale machale
I was walking 7miles in each Sunday to get good meals at Kshna temple. Maneno ya stive jobs katika hotuba yake 2005 Stanford University.Nakubaliana kabisa na wewe Mkuu Pasco, kipindi fulani katika maisha yangu nilitamani sana kujifunza uchawi mwenye tija, nikajikuta nimeangukia kwenye temple moja south Africa iliyokuwa inafundisha Buddhism Yoga meditation na supernatural powers
Yalikuwa ni masomo magumu ya ajabu na yenye kushangaza kwa jinsi yake, kwa ufupi ni kwamba hakuna chenye nguvu duniani kama bongo(mind) ya binadamu, na tunachokitumia katika mind zetu ni theluthi tu ya kile chote kilichopo
Tunafundishwa kuwa kuna 5senses, lakini Zipo 8 ambapo mtu ukiweza kuzifanyia kazi utafanya maajabu mengi , mind ya mwanadamu imejazwa takataka nyingi mno, illusions na dillusions ukiweza kuziondoa kwenye bongo yako ukabaki na pure and stable mind unakuwa mtu mwingine kabisa mwenye maono na nguvu za ajabu mno
Medition ni kitu cha Mwanzo kabisa kuendea kwenye kudevelop supernatural powers, nilifanya meditation zote, chanting, yoga nikiwa vegitarian kwa miaka mitano nikajikuta nabadilika nikaogopa nikaacha , kwakuwa niliona wazimu kuna mafundisho yanapingana waziwazi na imani yangu
Nimeipenda mada yako sana. Nakaribisha maswali na ufafanuzi nimeisoma sana Buddhism, Taiosm, Satanism na Kshna consciousness
Mwenye kupenda hii mambo atafute kitabu kiitwacho Analects: Way and Its Power.
Hiki kitabu kama unacho soft mkuu nakiomba tafadhal
Ukisoma Bibilia kitabu Cha Yushua Sura yote ya 24 hasa Aya ya 2 na 15. Utaona ukweri kwamba Mambo ya Imani ni kitambo Sana Ibrahim aliitwa kuanzisha Imani ya Kristu. Hivyo aliitwa akatoka kwenye Imani na inazihilisha Imani zilikuwapo toka kitambo zaidi. Umenena vyema Kuwa Kuna two power and both work ( power of lightness and darkness). Sasa ishu ni kwamba power of darkness end yake ni mbaya na power of lightness Ina end nzuri. Kumbuka Mambo ya meditation yako hata katika ukritu hata kwa wakatoriki japokuwa wengi wetu hatujari kufatilia zaidi. Sasa dini ya kweri ni ipi ambayo ndiyo ya lightness?. Mimi mkatoriki muumini wa kawaida tu sijapitia hizo Imani zingine hivyo sizijui Sana but mkatoriki nilibahatika kusoma katekisimu bubwa ya wakatoriki Mambo mengi na misingi kidogo ya ukatoriki nikaifahamu.Mkuu Slow, Mungu alipomuumba Adam, alimpa uwezo!. Yesu alipokuja alifanya miujiza, na kila muujiza alisema "imani yako ndiyo imekuponya!", kasome Marko 10 : 52 - Yesu akamwambia, \"Nenda, imani yako imekuponya, na Mathayo 9:22 Yesu akageuka, akamwona, akamwambia, Jipe moyo mkuu, binti yangu;imani yako imekuponya. Yule mwanamke akapona tangu saa ile, au [h=3]Luka 17:19 "[/h]Akamwambia, ``Inuka, uende; imani yako imekuponya..hiyo imani yako ndio "powers from within!". Akasema laiti watu wangekuwa na imani kama punje ya haradali, wangeiambia milima ondoka!, na milima ikahama!", ina maana hizi imani tunazotumia ni ndogo tuu kama mbegu ya mchicha!.
Shetani pia ana powers, ikumbuke hapo mwanzo shetani ndiye aliyekuwa malaika mkuu, alipoasi, alifukuzwa ila hakunyang'anwa zile powers, ndiye aliyemrubuni Eva kule lile "tunda!". Nguvu za shetani hufanya maovu, nazo pia zimo ndani yetu kama hizo nguvu za Mungu!.
Kitendo cha kuamini, ni kufungua tuu milango. Mimi ni Mkristu Mkatoliki, kwa sababu nimezaliwa huku. Wengi hufuata imani fulani kwa kujikuta ndiko walikozaliwa na wanaendelea kujifungia humo humo kwa kuto look beyond!. Nilipokuwa India, nikasoma kidogo imani za Hindu ndipo nikagundua kumbe Christianity ni dini ya juzu juzi tuu, kwa taarifa tuu, dini za kale zaidi ni shamanism na animism, ambazo zilikuwepo miaka 300,000 kabla ya Kristu ila baadae zilifutika!. Kwa sasa dini ya kale zaidi iliyopo ni Hinduism ikifuatiwa na Buddhism zote za India ndipo ikaja Judaism ya Mashariki ya Kati, Israel, ikaja Taoism ya China na Shitoism ya Japan ndipo ikaja Christianity!. Hapo dini zetu za asili, hazitajiwi kabisa kwa sababu hazikuandikwa!.
Uki take time kutoka nje ya box la Ukristu au Uislamu ambamo ndiomo wengi wetu tumejifungia humo, ukachungulia ndani ya Hinduism au Buddhism, ndiko utakutana na real powers za "enlightenment!", kwa sababu dini hizi zinaamini kwenye "higher powers" bila kumtaja Mungu, Ukristu na Uislamu umezifungia milango, ili ukifuatilia uthabiti wa imani, discpline, na nguvu za kusali, utagundua sisi Wakristu na Waislamu tunatania tuu!.
Kiukweli ukizama sana kwenye hizi powers, unaweza kuingia kanisani na kujikuta unashutukia jinsi watu wanavyofungwa kamba, unaweza ukaacha kwenda!. Mimi bado ni Mkatoliki Die hard japo kuna mambo tunafanya ndivyo sivyo, ukishayangundua, unaachana nayo, bali unaendelea kuenenda kanisani kwa kufuata mafundisho ya Biblia na sio lazima yale yote ya kanisa ambayo umeisha yastukia kuwa sio!.
Wengi wakistuka, huamia makanisa ya wakovu, huko pia huwa nina hudhuria Mama yangu ni Esemblies og God, huko nako ndiko sio tuu unakuta kamba nene, bali watu wanapurushwa na kukamuliwa mpaka wanabaki mifupa!. Wale Wachungaji wameishajistukia jinsi ya kutumia hizi powers kucontrol waumini wao!. Wale wanaopataga mwanga hustuka na kujihamia kimya kimya, wengine wenye imani upofu, ni watumwa wa Wachungaji wao na wachungaji hao huwafanya lolote ikiwemo kuwa nani hii wake zao!, wao wakijua ndio baraka zenyewe kumhudumia mtumishi wa Mungu!.
Bwana wetu Yesu Krisu alisema wazi, watakuja watu, watahubiri kwa jina langu, watafanya miujiza ya uponyaji na kutoa mapepo kwa jina langu lakini sio wangu!. Ukifuatilia sana the working of powers, unaweza kuogopa kuendelea ku practice, ila ukiisoma vizuri Bibilia, utagundua mahali mengi pameandikwa "nguvu imo ndani yako"!. Mungu alituumba kwa mfano wake, na katupa nguvu ambazo ndizo hizo powers from "within".
Pasco.
Napateje hicho kitabu mkuu?
Rakims Spiritual
This website deals with spiritual Science with benefits. I promise you won't leave it without getting profits.rakimsspiritual.blogspot.com
Ukisoma yote iyo HUWEZ KUWA KAMA ULIVO SASA