futikamba
JF-Expert Member
- Jan 18, 2010
- 243
- 13
Habari JF,
Promotion kabambe ya Crank Box inaendelea.
Crank Box ni jenereta ya ndogo mkono yenye uwezo wa kuwasha taa 3 aina ya LED.
Faida zake ni nyingi.
Crank box inaweza kutumuka:-
Promotion hii inaisha tarehe 30-11-2010.
Nunua zawadi ya x-mass upeleke nyumbani kwani TZS 15,000/= tu inaweza kubadilisha maisha ya mtu.
Wahi sasa, kwani bidhaa ni chache mno!!
Crank Box - Kwa Mwanga Bora na wa Kudumu!!!
Tupo mbezi beach - samaki karibia na hoteli ya Gates of Paradise.
Wasiliana nasi 0715 997688/ 0785 997688
Tanzania Home Power Systems - Lighting the Nations.
Promotion kabambe ya Crank Box inaendelea.
Crank Box ni jenereta ya ndogo mkono yenye uwezo wa kuwasha taa 3 aina ya LED.
Faida zake ni nyingi.
- Haitumii mafuta ya taa/petroli/dizeli
- Haitumii betri
- Haitegemei mionzi ya jua
- Haitegemei umeme wa tanesco
- Ni nzuri kwa utunzaji wa mazingira
- Ni ndogo & inabebeka
- Tegemeo la maisha ni miaka kumi
- Waranti ya mwaka mmoja
Crank box inaweza kutumuka:-
- Mashuleni kwa kusomea
- Majumbani ikiwa ni mbadala wa mishumaa, koroboi & kandili
- Kambini
- Mijini & Vijijini