Nzokanhyilu
JF-Expert Member
- Feb 19, 2007
- 1,078
- 93
Wewe unafahamu silabasi ya madrasa?
Hapana, naomba uielezee. Am dying to learn. Wanatoa PhD pia? Nielimishe na usiingie mitini.
Wewe unafahamu silabasi ya madrasa?
Jibu ni Yes wanatoa Lakini lazima ufahamu nini maana ya PhD?Hapana, naomba uielezee. Am dying to learn. Wanatoa PhD pia? Nielimishe na usiingie mitini.
Niko objective mara nyingi kama siyo zote...embu wewe fikiria sheikh kundecha katibu wa shura ya waislamu awe rais wa Tanzania?
Kwasababu qualification za Slaa zinafanana na za huyo Kundecha..lakini kwa mambo ya Kiislamu..
Mnao hangaika na elimu ya dk. Slaa mnajua ni nini kinasomwa ktk seminari nilizoziorodhesha hapa chini?
Kipalapala Seminary Certificate in Theology 1974-1977
Kibosho Seminary School Certificate in Philosophy 1972-1973
kwa kuwasaidia tu kwani naona hamuijui elimu ya seminari kuu. ukimaliza form 6 unaingia course ya mwaka 1 (certificate in philosophy). Then ukifaulu unaanza certificate in theology for 3 yrs na kwa mfumo wa seminary this is more than master degree.
Kwa hiyo kama unasoma ktk mfumo wa shule za kawaida ndo utakuta hizo masters n.k. na wapo mapadre waliosoma pia ktk mfumo wa shule za kawaida.
Kwa dk. Slaa hiyo ni system ya kiseminari kwa hiyo baada ya kusoma miaka 4 after A-level, you go straight to doctorate. Kama mtu anashaka na chuo alicho soma check kwenye mtandao ujiridhishe.
Usilojua usiku wa giza?
Wewe unafahamu silabasi ya madrasa?
Sasa kujisifia wewe mwenyewe hainisaidii mimi ambaye sioni faida ya elimu ya kanisani aliyosoma Slaa?
Slaa amefaulu mambo ya kanisa akae huko huko kanisani kwenye jamii hana lolote
Waraka unamsumbua nani waliouanda na kuubariki si ndio hao hao waliosema JK ni "chagua la Mungu" vilaza wakubwa na mafisadi wakubwa lol
Hii tumeitoa hapo.
Retrieved on 13/7/2006 - www.parliament.go.tz
sasa labda utueleze wapi kuna latest CV yake tuichambue.
My grandmother!!! Una-compare kipi hapa wewe?? Hawa hu-kokotoa Hesabu zote, physics, chemistry na kwenda zaidi ya hapo; kama ni uchumi na politics zipo vile vile unaongea dunia ipi??Inasaidia nini nchi kufanya utafiti katika kuongoza kanisa katoliki?
Inasaidia nini nchi kufanya utafiti kuhusu historia ya kanisa katoliki na kanuni zake?
Slaa ana-fit huko huko kanisani siyo watanzania wenye dini mbalimbali..
Labda wenzangu mnifafanulie kidogo kwa mtazamo wenu.
1. Dr W Slaa anafaa kuitwa Doctor.
wapi kafanya Post Graduate, Masters?
2. najua bila kuna wengi sana humu wa CHADEMA labda wamfikishie ujumbe huu kuwa Utafiti wake katika PhD alifanya khusu nini?
3.mnazionaje hizi degree za st.st.st?
Hii tumeitoa hapo.
Retrieved on 13/7/2006 - www.parliament.go.tz
sasa labda utueleze wapi kuna latest CV yake tuichambue.
Vipi Jk......anafaa eh!
EDUCATION
International Eye H. Centre Certificate in Eye Health 1993-1993
TransWorld Tutorial College, London Certificate in Management 1985-1985
St. Thomas Aquinas University Advanced Diploma in Rural Development 1980-1981
St. Urban University, Rome PhD (JCD) Law 1977-1981 [Doctor of Canon Law (Latin: Juris Canonici Doctor or JCD)]
Kipalapala Seminary Certificate in Theology 1974-1977
Kibosho Seminary School Certificate in Philosophy 1972-1973
Itaga Seminary School A-Level Education 1970-1971
Dung'unyi Seminary School O-Level Education 1966-1969
Karatu Primary School Primary Education 1962-1965
Daudi Primary School Primary Education 1961-1961
Kwermusl Primary School (Mbulu) Primary Education 1958-1960
EMPLOYMENT HISTORY
Tanzania Society for Blind Managing Director 1992-1998
Tanzania Episcopal Conference Secretary General 1985-1991
Diocese of Mbulu Development Director 1982-1985
Diocese of Mbulu Vicar General 1982-1985
Diocese of Mbulu Development Director 1977-1979
Diocese of Mbulu - Roman Catholic Church Padre 1977-1991
POLITICAL EXPERIENCE
CHADEMA Principal Secretary 2002
CHADEMA Vice Chairman 1998 2002
CHADEMA Member of Parliament (Karatu Constituency) 1995 To date
CHADEMA Member of National Executive Committee 1995 -
Chama Cha Mapinduzi - CCM Secretary Foreign Branch (Rome) 1980 1982
Youth Union -TANU Secretary 1974 1977
TANU Chairman (Kipalapala Branch) 1974 1977
Retrieved on 13/7/2006 - www.parliament.go.tz
Labda wenzangu mnifafanulie kidogo kwa mtazamo wenu.
1. Dr W Slaa anafaa kuitwa Doctor.
wapi kafanya Post Graduate, Masters?
2. najua bila kuna wengi sana humu wa CHADEMA labda wamfikishie ujumbe huu kuwa Utafiti wake katika PhD alifanya khusu nini?
3.mnazionaje hizi degree za st.st.st?
Usilojua usiku wa giza?
Wewe unafahamu silabasi ya madrasa?
Sasa kujisifia wewe mwenyewe hainisaidii mimi ambaye sioni faida ya elimu ya kanisani aliyosoma Slaa?
Slaa amefaulu mambo ya kanisa akae huko huko kanisani kwenye jamii hana lolote
Waraka unamsumbua nani waliouanda na kuubariki si ndio hao hao waliosema JK ni "chagua la Mungu" vilaza wakubwa na mafisadi wakubwa lol
sasa kwa nini sehemu ambazo kanisa katoliki limeishi kwa muda mrefu maendeleo ya binadamu hamuna hasa Ruvuma,Tabora,Morogoro n.k na kule kwenye makanisa mengine (Lutheran) kama kili,Arusha n.k mambo bambam...msiisifie sana hiyo philosophy mi kwa upande wangu sitaki kusogeleana na watu wenye filosofia nyiniingi kuna kitu wanakosa ambacho kinawasababishia kukosa vitamin fulani inayohusika na ukweli kuhusu maendeleo ya watu...haya makanisa kama dini zote kuna walichotafuta wakapata; tumsifie yeyote mwenye philosophy inayoweza kuongoza nchi yetu..historia ya yesu tumechoka na ya mtume hatutaki hata kuisikia tena... DAMN
Mnazungusha zungusha na kupaka rangi ili ipendeze lakiini hakuna kitu certificate will remain to be certificate tu.
U Dr wa Slaa ni sawa na wa Dr Remmy, Dr Cheni, Nchimbi, Kamala, Nagu nk
Kwani sehemu hizo ulizozitaja hakuna wakazi wa huko ambao walisoma kwenye vyuo vikuu kama UDSM? Mbona hawajaleta maendeleo wenyewe sehemu zao au nao walisoma hiyo falsafa nyingi na kukosa vitamins?
hujafika huko na kuelewa maana halisi ya kanisa katoliki na influence ni kwamba hawakujenga shule zaidi ya seminari na huko kaskazini kuna seminari za katoliki na shule za lutherani ambazo ndo zimetoa wasomi hao unaowasikia na vinara wa wizara zote za serikali na deal zote za nchi,huko nilikotaja mwanzo ndiko wamejaa hao wenye philosophy na wanaomjua sana yesu na mafundisho yake and mind you wanaowahubiri 98%(RUVUMA,N.K) ni illitrates ambao hawawezi kulinganisha kati ya maendeleo na umaskini...infact hawa mafalsafa kila walipojenga missionery pana madini hivyo hawakutaka ku-educate wazawa watagundua nenda mkoa wa Ruvuma huone Helkoptas zinavyopishana kutafuta madini ndo nawe utafuta huo ujinga ulionao...philosophy..philosophy kama hazileti ufumbuzi wa matatizo zinasababu gani kukuzwaaa..!!!