Brooklyn
JF-Expert Member
- Mar 17, 2009
- 1,459
- 284
..
NB:
..Prof.Mwandosya naye alichukua PhD bila kufanya Masters.
Hii inakuweje wadau??? Prof. Mwandosya naambiwa ni kichwa sana, ilikuwaje akaruka Masters degree???
..
NB:
..Prof.Mwandosya naye alichukua PhD bila kufanya Masters.
labda wenzangu mnifafanulie kidogo kwa mtazamo wenu.
1. Dr w slaa anafaa kuitwa doctor.
wapi kafanya post graduate, masters?
2. Najua bila kuna wengi sana humu wa chadema labda wamfikishie ujumbe huu kuwa utafiti wake katika phd alifanya khusu nini?
3.mnazionaje hizi degree za st.st.st?
Hii inakuweje wadau??? Prof. Mwandosya naambiwa ni kichwa sana, ilikuwaje akaruka Masters degree???
Mnazungusha zungusha na kupaka rangi ili ipendeze lakiini hakuna kitu certificate will remain to be certificate tu.
U Dr wa Slaa ni sawa na wa Dr Remmy, Dr Cheni, Nchimbi, Kamala, Nagu nk
i don't understand the meaning of this! i think is high time now to display cvs of politicians who people prefer best. to who you want to compare because is just a cv nothing more or less.
USELESS LIKE ANY OTHER USELESS
Mnazungusha zungusha na kupaka rangi ili ipendeze lakiini hakuna kitu certificate will remain to be certificate tu.
U Dr wa Slaa ni sawa na wa Dr Remmy, Dr Cheni, Nchimbi, Kamala, Nagu nk
International Eye H. Centre Certificate in Eye Health 1993-1993
Labda wenzangu mnifafanulie kidogo kwa mtazamo wenu.
1. Dr W Slaa anafaa kuitwa Doctor.
wapi kafanya Post Graduate, Masters?
2. najua bila kuna wengi sana humu wa CHADEMA labda wamfikishie ujumbe huu kuwa Utafiti wake katika PhD alifanya khusu nini?
3.mnazionaje hizi degree za st.st.st?
. Pili, hivi ni masomo gani mtu anatakiwa asome ili aweze kuwa Rais Tanzania ambayo Dr Slaa hakusoma kabisa?
Wanafikiri Seminary ni lelemama.Kule ni cream of the crop.Kitabu chake ni kama ulivyoelezea Mkuu SIYO KAMA SEKONDARI ZA KAWAIDA FORM 4 NA 6
You are very wrong, jaribu kujifunza usichokijua sio unabusha tu.
Nendeni Karatu mkawaulize wakazi wa huko kama Slaa anafaa kuwa Rais wa nchi hii. Nimepata taarifa kamtaliki yule mkewe ambaye ni diwani wa CCM kule mkoa wa Manyara jina lake ROSE KAMILI na ameoa mke mwingine kutoka Shinyanga. Hayo ni matayarisho ya kuwa na First Lady wa chama kisichokuwa CCM. Huyo Rose Kamili ameamua kugombea ubunge kupambana na Dr Mary Nagu. It will be quite interesting.
Of course akigombea Urais hatashinda lakini ataisaidia CHADEMA kuiongezea ruzuku kwa vile itapata kura ambazo hazitakuwa haba.
Too bad Watz wengi hawamjui huyo jamaa ni FreeMason. Hii ni istitution ya ulimwengu wa kiroho wa giza. Ninafahamu wengine mnaelewa nasema nini.
Sifa mojawapo ya kiongozi ni kuweza kuwatumia waliochini yake kufanikisha malengo yaliyoainishwa kwa taifa!Kidole kimoja hakivunji chawa....kwa hiyo hata kama tutakuwa na raisi ambaye ana-PhD toka chuo chochote bora duniani hiyo peke yake haimfanyi yeye kuwa raisi bora.
Elimu aliyonayo Slaa,akili timamu na umri wake ni sifa tosha ya kumfanya aweze kugombea uraisi...sidhani kama katiba yetu inazungumzia raisi awe na PhD nzuriiiiii.
Na isichukuliwe kuwa napenda nione Slaa anakuwa raisi....hapana....ila sioni kama mjadala huu una mantiki yoyote!
Labda wenzangu mnifafanulie kidogo kwa mtazamo wenu.
1. Dr W Slaa anafaa kuitwa Doctor.
wapi kafanya Post Graduate, Masters?
2. najua bila kuna wengi sana humu wa CHADEMA labda wamfikishie ujumbe huu kuwa Utafiti wake katika PhD alifanya khusu nini?
3.mnazionaje hizi degree za st.st.st?
Niko objective mara nyingi kama siyo zote...embu wewe fikiria sheikh kundecha katibu wa shura ya waislamu awe rais wa Tanzania?
Kwasababu qualification za Slaa zinafanana na za huyo Kundecha..lakini kwa mambo ya Kiislamu..