Profile ya Dr Slaa

Status
Not open for further replies.
Hapana, naomba uielezee. Am dying to learn. Wanatoa PhD pia? Nielimishe na usiingie mitini.
Jibu ni Yes wanatoa Lakini lazima ufahamu nini maana ya PhD?

Je hizo PhD za historia za historia zazkanisa katoliki na kanuni zake (PhD ya Slaa) zina silabasi za aina gani?

Ukitaka kufahamu zaidi nenda Islamic seminary iliyo karibu na kwako ...
 
Niko objective mara nyingi kama siyo zote...embu wewe fikiria sheikh kundecha katibu wa shura ya waislamu awe rais wa Tanzania?

Kwasababu qualification za Slaa zinafanana na za huyo Kundecha..lakini kwa mambo ya Kiislamu..

Mazee kufananisha elimu ya Slaa na Kundesha ni kutomtendea haki Dr.Slaa.Huyo Kundecha sidhani kama hata hiyo F4 yenyewe kafika.F6 ya Slaa na certificate ya philosophy miaka 2+certificate in management na ile Advanced diploma in rural development ni elimu dunia nzuri tu ukiacha theology yake na PhD ya canon law.
Kundesha inawezekana ni mtu wa darasa la saba na baada ya hapo akaenda madrasa.
 
Mnao hangaika na elimu ya dk. Slaa mnajua ni nini kinasomwa ktk seminari nilizoziorodhesha hapa chini?

Kipalapala Seminary Certificate in Theology 1974-1977

Kibosho Seminary School Certificate in Philosophy 1972-1973

kwa kuwasaidia tu kwani naona hamuijui elimu ya seminari kuu. ukimaliza form 6 unaingia course ya mwaka 1 (certificate in philosophy). Then ukifaulu unaanza certificate in theology for 3 yrs na kwa mfumo wa seminary this is more than master degree.

Kwa hiyo kama unasoma ktk mfumo wa shule za kawaida ndo utakuta hizo masters n.k. na wapo mapadre waliosoma pia ktk mfumo wa shule za kawaida.

Kwa dk. Slaa hiyo ni system ya kiseminari kwa hiyo baada ya kusoma miaka 4 after A-level, you go straight to doctorate. Kama mtu anashaka na chuo alicho soma check kwenye mtandao ujiridhishe.

Ndugu zangu, naomba nichangie yafuatayo ili kila mwana JF ajue masomo ya Seminari Ndogo/Seminari Kuu ni yapi na yanahusu nini ndipo tunaweza kutoa hukumu sahihi whether alicho nacho Dr Slaa ni feki au la. Nimefanya hivi kwa vile naufahamu fika mfumo huo na kama mtu yeyote atapenda niendelee kutoa mwanga zaidi nipo tayari kuliko kujadili kitu ambacho mtu hajui anajadili nini.

Mpaka miaka ya 1980s, Seminari Kuu nyingi hapa Tanzania zilikuwa zinatumia mfumo wa Certificate/Diploma (nadhani idea ilikuwa kwa wakati huo kuwa 'faza' hahitaji degree 'kuchunga kondoo wa Bwana' - haya ni mawazo yangu lakini).

Ila kama mtu alienda kusoma nje, ilitegemea chuo husika kilihitaji nini. Hata hivyo, kutokana na kutaka kuleta usawa hasa baada ya kuona Seminari Kuu zinafundisha falsafa na theolojia kwa muda wa mrefu sana - miaka 8-10 - basi ilibidi kufanyike mabadiliko fulani fulani.

Baadhi ya vyuo viiliona kama baadhi ya nchi za Kiafrika zina masharti magumu mno kwa watu wao. Yaani, mtu asome miaka 10 halafu umpe tu Leaving Certificate na wakati amefaulu vizuri... Siku hizi kuna mfumo mzuri zaidi wa kupata BA baada ya mtu kumaliza masomo ya falsafa na kuendelea na Masters/PhD wakati wa Theology na Licence kama anaonyesha kipaji cha pekee na jimbo au shirika lake linamhitaji kwa huduma fulani ya kijamii inayohitaji utaalamu zaidi.

Kwa wastani, maksi zinazohitajika ziko juu sana: mfano, katika chuo fulani pass mark (C) ni 60% na ukipata chini ya hapo Bye! Bye! Kingine ninachokifahamu Upper Second inaanzia 70% na ukipata chini ya hapo wanaku'grade' kama 'average student'.

Inawezekana baadhi ya Seminari Kuu nchini bado zinaendeleza mfumo wa zamani lakini katika nchi nyingi Seminari Kuu zote zinafuata mfumo wa Vyuo Vikuu au by affiliation kwa Chuo Kikuu cha nchi yao au vyuo vikuu vingine duniani vinavyoridhika na ubora wa elimu utolewao na Seminari Kuu husika au mfumo wa elimu ya juu ya nchi husika. Malawi Seminari Kuu ziko affiliated kwa University of Malawi (Chancellor College) kwa vile Chuo chao Kikuu wana Faculty of Philosophy & Theology.

1. Seminari Ndogo 'basically' ni elimu ya Form I-VI (+ moral education) - masomo ni yaleyale: Mathematics, Biology etc. Ili ujiunge na Seminari Kuu kwa baadhi ya mashirika (kama Jesuits, Missionaries of Africa, Franciscans etc)/majimbo (kama vile Mwanza, Dar es Salaam, Singida etc) lazima candidate apate at least Division 2 (kwa wale waliochukua masomo ya Arts na Division 3 kwa waliochukua masomo ya Sayansi).

Inawezekana wamelegeza masharti lakini hadi 1990 (walau najua shirika mojawapo la Kanisa Katoliki (Missionaries of Africa/White Fathers) walikuwa wana masharti kama hayo Divisions 1 & 2 na kwa shingo upande Division 3).

2. Seminari KUU:
a) Kuna masomo ya FALSAFA - 3 years: Hapa nimejaribu kutoa tu baadhi ya masomo muhimu ambayo 'priestly candidates' wanayasoma na inabidi wayafaulu vizuri kabla ya kuendelea na hatua nyingine.

i. A History of Philosophy: unajifunza kuanzia poets (kama vile Homer & Hesiod), Cosmologists, Sophists, Epicureaans, Stoics, Sceptics, Ecclectics, Cynics, Pythagoreans, Pluralists, Muslim Philosophers, Atomists etc hadi contemporary philosophers (including Wiredu, David White, John Rawls, Claude Sumner, John Mbiti, Kwame Nkrumah, Nyerere, Patrice Lumumba, Jomo Kenyatta, Dr Kamuzu Banda, Frantz Fanon, Kwasi Wiredu, Chukwudi Eze, W.E.B Du Bois, Placide Tempels, Kaunda etc). Yaani, nani, maisha yake na amechangia nini katika philosophy ya wakati wake.

Yaani: Ancient Philosophy - Medieval Philosophy - Modern Philosophy - Contemporary Philosophy

ii. Systematic Philosophy: Metaphysics/Ontology, Epistemology,
Logic: i. Formal Logic ii. Material Logic,

Philosophy of Language: i. Linguistics ii. Semantics iii. Linguistic Analysis iv. Hermeneutics,

Philosophical Ethics/Moral Philosophy, Philosophy of Sciencies (Nature & Method of Sciencies, Mathematics, Natural Sciencies,

Experimental Method: i. Observation of facts ii. Explanation of facts iii. Verification,

Causes - Laws - Determinism - Chance: i. Scientific & Metaphysical Causality ii. Scientific Causality, Unifying Theories, Problems of Method Specific to Biology,

Human Sciencies: i. History ii. Social Sciencies and Branches: Rationalist Sociology, Phenomenological Sociology, Functionalist and Historical Sociology iii. Political Economy vi. Modern Scientific Spirit: i. Some Theories on the Beginning of the Universe: a. The 'Steady State' Theory b. The 'Big Bang' Theory c. The 'Pulsating' Theory d. Evolution e. Recent Trends, Notions of Space & Time: Is there absolute space/time?),

Philosophical Anthropology, Philosophy of Religions, Theodicy, Social & Political Philosophy and Pyschology: Child Psychology, Developmental Psychology, Industrial Psychology, Social Psychology, Experimental Psychology etc.

b) Kuna masomo ya Theology 3 or 4 years: depending on the university one is attached or affiliated to:

Natural Theology: i. Relation to Metaphysics ii. Non-Philosophical Assumptions iii. Participation & the Act of Being iv. Divine Causality vi. The Problem of Evil,

Human Growth & Development, Social & Cultural Anthropology, Pastoral & Spiritual Psychology, Counselling, African Traditional Religions,

Theology of World Religions (Christianity, Islam, Hinduism, Shintoism, Confucianism, etc), Canon Law (Introduction),

Sexual Ethics & Marriage (Sexual Love, Intimacy, Fertility vs Impotence & Sterility, Masturbation, Divorce, Abuses, Premarital Intercourse, Extramarital Intercourse, Homosexuality, Sex & Sexuality, HIV/Aids, Celibacy vs Single life, Single Parenthood, Abortion, Rape etc),

Contexual Theologies (Liberation Theology, Marxism, Black/African Theology, Feminism),

Social Theology (Non-Violence, Social Justice, Conflict Management, Peace Building & Human Rights),

Economic Theology (Investment, Economic structures, Exploitation & Poverty, Social Order, Option for the Poor, Marginalisation), Political Theology, Environmental Theology (Environmental Protection & Conservasion vs Pollusion),

Liturgical Presidency & Preaching (Good Communication & Public Speaking Skills), Pastoral Care of the Sick, Fundamental Moral Theology (Bioethics, moral dilemmas: Suicide, Euthanasia, Capital Punishment, War/Just War, Genetic Engineering), Christology, Church & Ministry, Reconciliation etc.

Baada ya kumaliza mwaka 8/9 au 10 kutegemea na chuo mtu alipo, anaweza kwenda kufanya PhD - mfano, Dr Slaa yeye amechukua PhD yake katika Canon Law.

Hii ina maana kwamba pengine amechukua area moja wapo au problem moja wapo katika jamii - mfano: marriage, divorce, abortion, sexual abuse, homosexuality, single parenthood, custody of children, pros & cons of monogamy & polygamy, poverty & marriage/family stability, concubanage, divorce & street children, infidelity, illegality, customary marriage vs Church marriage, legitimate & illegitimate children, void & voidable marriage according to Canon Law & law of one's country, family responsibility etc na kufanya utafiti katika area hiyo. Ni mambo mengi mno.

Na research methods ni zilezile: Problem conception and background information, sources and identification of research problems, literature review, other background information, varibales & hypothesis formulation, etc.

Hivyo, baada ya kuona ni masomo gani padre kama Dr Slaa amesoma na kwa muda gani ndipo tunaweza kuona je PhD yake ni feki kweli au tungetaka iwe feki?
 
Usilojua usiku wa giza?

Wewe unafahamu silabasi ya madrasa?

Sasa kujisifia wewe mwenyewe hainisaidii mimi ambaye sioni faida ya elimu ya kanisani aliyosoma Slaa?

Slaa amefaulu mambo ya kanisa akae huko huko kanisani kwenye jamii hana lolote

Waraka unamsumbua nani waliouanda na kuubariki si ndio hao hao waliosema JK ni "chagua la Mungu" vilaza wakubwa na mafisadi wakubwa lol

Tumaini, wewe unafikiri padre ni sawa na mtu aliyesoma madrasa eti? Ngoja nikuonjeshe baadhi tu vitu mapadre wanavyojifunza kuanzia Elimu ya Sekondari hadi Seminari Kuu:

Naomba nichangie yafuatayo ili kila mwana JF ajue masomo ya Seminari Ndogo/Seminari Kuu ni yapi na yanahusu nini ndipo tunaweza kutoa hukumu sahihi whether alicho nacho Dr Slaa ni feki au la. Nimefanya hivi kwa vile naufahamu fika mfumo huo na kama mtu yeyote atapenda niendelee kutoa mwanga zaidi nipo tayari kuliko kujadili kitu ambacho mtu hajui anajadili nini.

Hii tumeitoa hapo.
Retrieved on 13/7/2006 - www.parliament.go.tz
sasa labda utueleze wapi kuna latest CV yake tuichambue.

CURICULUM VITAE(BIODATA)
Full Name: Willibord Peter Slaa.
Date and Place of Birth: 29.10.1948,Kwermusl,Mbulu,Tanzania.
EDUCATION:
PRIMARY: 1958-1961 Kwermusl
1962-1965 Karatu Middle School.
SECONDARY: 1966-1969 Dunguyi Seminary
1970-1971 Itaga Seminary
PHILOSOPHY:
1972-1973 Kibosho Seminary
THEOLOGY:
1974-1977 Kipalapala Seminary
1974-1976 Makerere University,Diploma,Theology
HIGHER EDUCATION:
1979-1981 Pontifical Urba University,Rome,JCD(summa cum laude)
1980-1980 ADV.Diploma-Socio-Political Studies,Koln,Germany(KAF)
1981-1981 St.Thomas Aquinas University,Rome,AD.Diploma Rural Development
1985-1985 London COR.College, Principles and Practice of Management Certificate.
WORK EXPERIENCE:
2000-Todate Member of Parliament(MP),Karatu
1995-2000 Member of Parliament(MP),Karatu.
1991-1995 Executive Director,Tanzania Society for The Blind.
1986-1991 Secretary General,Tanzania Episcopal Conference(TEC)
1982-1986 Development Director,Diocese of Mbulu
1982-1986 Vicar General,Diocese of Mbulu
1977-1979 Development Director,Diocese of Mbulu (Catholic Priest 1977-1991)
MEMBERSHIP IN LOCAL AND INTERNATIONAL BODIES
2006-Todate: Deputy Leader,Official Opposition, Parliament of Tanzania
2000- Todate: Vice President, Forum of African Parliamentarians on Education( FAPED)
2004-Todate: Secretary General,CHADEMA.
2001-Todate: Member,Special Education Committee,MOEC/SADC.
2000-Todate: Shadow Minister,Legal and Constitutional Affairs.
1998-2004 Vice Chairman,CHADEMA
1998-2003 Chairman, Inter-Parliamentary Forum (SADC-PF)
1996-2000 Member,ACP-EU Joint Parliamentary Assembly
1994-Todate: Chairman,Comprehensive Community Based Rehabilitation Tanzania (CCBRT)
1992-1995 Secretart,National Prevention of Blindness Programs,MOH
1992-1995 Director,SLS General Trading Co.Ltd
INTERNATIONAL CONFERENCES
Attended numerous national and international conferences and workshops,presented papers and facilitated in a number of them including,IPU,SADC-PF and CPA organized workshops and conferences.
Attended numerous short courses and seminars both within and outside the country

Source: http://bongocelebrity.com/2008/01/27/tuukatae-ufisadi-drslaa/
 
Inasaidia nini nchi kufanya utafiti katika kuongoza kanisa katoliki?

Inasaidia nini nchi kufanya utafiti kuhusu historia ya kanisa katoliki na kanuni zake?

Slaa ana-fit huko huko kanisani siyo watanzania wenye dini mbalimbali..
My grandmother!!! Una-compare kipi hapa wewe?? Hawa hu-kokotoa Hesabu zote, physics, chemistry na kwenda zaidi ya hapo; kama ni uchumi na politics zipo vile vile unaongea dunia ipi??
 
Mheshimiwa chenge ni harvard graduate, mtendaji kata angeweza kusoma mkataba na kuuelewa vizuri kuliko chenge. What is this nonsense we are talking about academic degrees. Je kapuya si profesor? Lipumba si profesor? Balali hakusoma? Je unadhani hawa wote wameelimika? No, no, no.
 
Labda wenzangu mnifafanulie kidogo kwa mtazamo wenu.

1. Dr W Slaa anafaa kuitwa Doctor.
wapi kafanya Post Graduate, Masters?

2. najua bila kuna wengi sana humu wa CHADEMA labda wamfikishie ujumbe huu kuwa Utafiti wake katika PhD alifanya khusu nini?

3.mnazionaje hizi degree za st.st.st?

Kama huelewi uliza uelimishwe

St. Urban University, Rome PhD (JCD) Law 1977-1981 [Doctor of Canon Law (Latin: Juris Canonici Doctor or JCD)] - 5 YEARS

umeunga unga shule yako nini
 
Vipi Jk......anafaa eh!

Tukianza kufuatiliana C.V hapa kuna wengine wamesoma shule za ajabu ajabu secondary wakatoka na Four, Zero then wakaunga sasa hizi ni ma DR.

Hasa CCM wapo kibao, achaneni na DR Slaa, mmetumwa nini? Nitoe CV ya makamba?
 
EDUCATION
International Eye H. Centre Certificate in Eye Health 1993-1993

TransWorld Tutorial College, London Certificate in Management 1985-1985

St. Thomas Aquinas University Advanced Diploma in Rural Development 1980-1981

St. Urban University, Rome PhD (JCD) Law 1977-1981 [Doctor of Canon Law (Latin: Juris Canonici Doctor or JCD)]

Kipalapala Seminary Certificate in Theology 1974-1977
Kibosho Seminary School Certificate in Philosophy 1972-1973

Itaga Seminary School A-Level Education 1970-1971
Dung'unyi Seminary School O-Level Education 1966-1969

Karatu Primary School Primary Education 1962-1965
Daudi Primary School Primary Education 1961-1961
Kwermusl Primary School (Mbulu) Primary Education 1958-1960

EMPLOYMENT HISTORY
Tanzania Society for Blind Managing Director 1992-1998
Tanzania Episcopal Conference Secretary General 1985-1991
Diocese of Mbulu Development Director 1982-1985
Diocese of Mbulu Vicar General 1982-1985
Diocese of Mbulu Development Director 1977-1979
Diocese of Mbulu - Roman Catholic Church Padre 1977-1991

POLITICAL EXPERIENCE

CHADEMA Principal Secretary 2002
CHADEMA Vice Chairman 1998 2002
CHADEMA Member of Parliament (Karatu Constituency) 1995 To date
CHADEMA Member of National Executive Committee 1995 -
Chama Cha Mapinduzi - CCM Secretary Foreign Branch (Rome) 1980 1982
Youth Union -TANU Secretary 1974 1977
TANU Chairman (Kipalapala Branch) 1974 1977

Retrieved on 13/7/2006 - www.parliament.go.tz

mkuu naona we mtaalamu ya C.V's, hebu nipe ya MAKAMBA
 
Nendeni Karatu mkawaulize wakazi wa huko kama Slaa anafaa kuwa Rais wa nchi hii. Nimepata taarifa kamtaliki yule mkewe ambaye ni diwani wa CCM kule mkoa wa Manyara jina lake ROSE KAMILI na ameoa mke mwingine kutoka Shinyanga. Hayo ni matayarisho ya kuwa na First Lady wa chama kisichokuwa CCM. Huyo Rose Kamili ameamua kugombea ubunge kupambana na Dr Mary Nagu. It will be quite interesting.

Of course akigombea Urais hatashinda lakini ataisaidia CHADEMA kuiongezea ruzuku kwa vile itapata kura ambazo hazitakuwa haba.

Too bad Watz wengi hawamjui huyo jamaa ni FreeMason. Hii ni istitution ya ulimwengu wa kiroho wa giza. Ninafahamu wengine mnaelewa nasema nini.
 
Labda wenzangu mnifafanulie kidogo kwa mtazamo wenu.

1. Dr W Slaa anafaa kuitwa Doctor.
wapi kafanya Post Graduate, Masters?

2. najua bila kuna wengi sana humu wa CHADEMA labda wamfikishie ujumbe huu kuwa Utafiti wake katika PhD alifanya khusu nini?

3.mnazionaje hizi degree za st.st.st?

Je hizo unazoziita degree za st.st.st umechunguza nakuona zikoje?
 
sasa kwa nini sehemu ambazo kanisa katoliki limeishi kwa muda mrefu maendeleo ya binadamu hamuna hasa Ruvuma,Tabora,Morogoro n.k na kule kwenye makanisa mengine (Lutheran) kama kili,Arusha n.k mambo bambam...msiisifie sana hiyo philosophy mi kwa upande wangu sitaki kusogeleana na watu wenye filosofia nyiniingi kuna kitu wanakosa ambacho kinawasababishia kukosa vitamin fulani inayohusika na ukweli kuhusu maendeleo ya watu...haya makanisa kama dini zote kuna walichotafuta wakapata; tumsifie yeyote mwenye philosophy inayoweza kuongoza nchi yetu..historia ya yesu tumechoka na ya mtume hatutaki hata kuisikia tena... DAMN
 
Usilojua usiku wa giza?

Wewe unafahamu silabasi ya madrasa?

Sasa kujisifia wewe mwenyewe hainisaidii mimi ambaye sioni faida ya elimu ya kanisani aliyosoma Slaa?

Slaa amefaulu mambo ya kanisa akae huko huko kanisani kwenye jamii hana lolote

Waraka unamsumbua nani waliouanda na kuubariki si ndio hao hao waliosema JK ni "chagua la Mungu" vilaza wakubwa na mafisadi wakubwa lol

Hebu letene na CV za akina Ponda nazo tuzipitie ili tuone kama ana ubavu wa kuhubiri anachohubiri na kama si kupotosha watu tu. Je, Ponda amesoma Logic au Philosophy of Sciencies na anajua Metaphysics? Au ni madrasa tu? Sasa Dr Slaa anamechapa elimu ya sekondari yote, kakuchapia ya Chuo Kikuu plus na hiyo ilimu yenu humtoi - kasoma pia Islamology - ambyo nimesahau kukuwekea kwenye post yangu.
 
sasa kwa nini sehemu ambazo kanisa katoliki limeishi kwa muda mrefu maendeleo ya binadamu hamuna hasa Ruvuma,Tabora,Morogoro n.k na kule kwenye makanisa mengine (Lutheran) kama kili,Arusha n.k mambo bambam...msiisifie sana hiyo philosophy mi kwa upande wangu sitaki kusogeleana na watu wenye filosofia nyiniingi kuna kitu wanakosa ambacho kinawasababishia kukosa vitamin fulani inayohusika na ukweli kuhusu maendeleo ya watu...haya makanisa kama dini zote kuna walichotafuta wakapata; tumsifie yeyote mwenye philosophy inayoweza kuongoza nchi yetu..historia ya yesu tumechoka na ya mtume hatutaki hata kuisikia tena... DAMN

Kwani sehemu hizo ulizozitaja hakuna wakazi wa huko waliohitimu kwenye vyuo vikuu kama UDSM na Sokoine? Mbona hawajaleta hayo maendeleo kwao au nao walisoma hiyo falsafa nyingi na kukosa vitamins?. Na je, ukiwa padre umepangwa Ruvuma, Tabora, Morogoro nk utafanyaje miujiza kumaliza umaskini? Mbona Tanzania kuna waomi wengi tu ukilinganisha na idadi ya mapadre na wenye digrii kuzidi hao mapadre lakini nchi bado maskini? Je, Kanisa halijasaidia chochote kuondoa umaskini Tanzania?
 
Mnazungusha zungusha na kupaka rangi ili ipendeze lakiini hakuna kitu certificate will remain to be certificate tu.

U Dr wa Slaa ni sawa na wa Dr Remmy, Dr Cheni, Nchimbi, Kamala, Nagu nk

Hongera sana "the great Thinker" Naamini hapo umetumia akili yako yote uliyo nayo kichwani! Hata wanaojaribu kukuelimisha wanahangaika bure!!
goodmorning
 
Kwani sehemu hizo ulizozitaja hakuna wakazi wa huko ambao walisoma kwenye vyuo vikuu kama UDSM? Mbona hawajaleta maendeleo wenyewe sehemu zao au nao walisoma hiyo falsafa nyingi na kukosa vitamins?

hujafika huko na kuelewa maana halisi ya kanisa katoliki na influence ni kwamba hawakujenga shule zaidi ya seminari na huko kaskazini kuna seminari za katoliki na shule za lutherani ambazo ndo zimetoa wasomi hao unaowasikia na vinara wa wizara zote za serikali na deal zote za nchi,huko nilikotaja mwanzo ndiko wamejaa hao wenye philosophy na wanaomjua sana yesu na mafundisho yake and mind you wanaowahubiri 98%(RUVUMA,N.K) ni illitrates ambao hawawezi kulinganisha kati ya maendeleo na umaskini...infact hawa mafalsafa kila walipojenga missionery pana madini hivyo hawakutaka ku-educate wazawa watagundua nenda mkoa wa Ruvuma huone Helkoptas zinavyopishana kutafuta madini ndo nawe utafuta huo ujinga ulionao...philosophy..philosophy kama hazileti ufumbuzi wa matatizo zinasababu gani kukuzwaaa..!!!
 
Kwa hiyo, huko serikali ilikataza walutherani wasipeleke elimu au hata serikali yenyewe? Kwani Mafia, Kilwa, Pemba, Zanzibar nk Wakatoliki walizuia hayo maendeleo au hata dini au dhehebu lao lenyewe kwa nini halikwenda huko kama Wakatoliki walishindwa kuleta maendeleo?
 
Status
Not open for further replies.
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom