Professional PHYSICS teacher available -A LEVEL

MENISON

JF-Expert Member
Apr 26, 2013
726
622
Nina uzoefu na Physics ya A level ,kwahiyo kama una shule na unahitaji nitafute
0759 146483 au ni pm
 
MENISON:
Ebu tufanye interview kidogo tuone kama unaweza kujibu swali hili lenye vipengele a na b:

a) A train leaves Singida headed for Dodoma traveling at an average speed of 90 miles per hour. Another train leaves Dodoma headed for Singida at the same time as the first train. The train leaving Dodoma is traveling at an average speed of 60 miles per hour. Both trains are traveling along the same route (but in opposite directions). How far apart will the two trains be one hour before they meet?

b) Two air planes leave at the same time traveling in the same direction. After six hours they are 1,530 miles apart. If the first plane is 4 times faster than the second plane, how fast is each plane is going?

Goodluck
 
Jibu la kipengele b: Plane 1 ina speed ya 255miles/hour, n Plane 2 ina speed ya 64miles/hour
Kelvin; Kwa maswali ya namna hii, bora ukosee jibu ila uonyeshe njia, kuliko kutoa jibu (sahihi) bila njia. Jibu sahihi bila njia ni kosa kubwa, yaani sawa tu na kama vile hukujibu!
 
Last edited by a moderator:

ahaaah!, kwenye paper cwez kutoa jbu pekee, njia n lazma.
 
Last edited by a moderator:
MENISON:
Ebu tufanye interview kidogo tuone kama unaweza kujibu swali hili lenye vipengele a na b:

a) A train leaves Singida headed for Dodoma traveling at an average speed of 90 miles per hour. Another train leaves Dodoma headed for Singida at the same time as the first train. The train leaving Dodoma is traveling at an average speed of 60 miles per hour. Both trains are traveling along the same route (but in opposite directions). How far apart will the two trains be one hour before they meet?

b) Two air planes leave at the same time traveling in the same direction. After six hours they are 1,530 miles apart. If the first plane is 4 times faster than the second plane, how fast is each plane is going?

Goodluck
Namimi ngoja nimfanyie usahili. Qn1. Two glasses A and B filled with water to the same level: glass A's water has room temperature, that of glass B was heated to 80 degree centrigrade. The glasses were then placed in a freezer. Which water froze first, explain your answer.
 
Head teacher;
In order that your question becomes valid and unambiguous, you necessarily MUST add to it the following (two) important conditions:
(a) The two glasses A and B are identical (in size and shape)
(b) Water taken for the experiment is fetched from the same container of from the same water tape
 
Head teacher;
In order that your question becomes valid and unambiguous, you necessarily MUST add to it the following (two) important conditions:
(a) The two glasses A and B are identical in size and shape
(b) Water taken for the experiment is fetched from the same container of from the same water tape
Two identical glasses. water from the same tape. Acha kuruka ruka mkuu. Swali limeeleweka
 
Namimi ngoja nimfanyie usahili. Qn1. Two glasses A and B filled with water to the same level: glass A's water has room temperature, that of glass B was heated to 80 degree centrigrade. The glasses were then placed in a freezer. Which water froze first, explain your answer.

Glass B will freeze first, reason reffer MPEMBA EFFECT.
 
MENISON:
Ebu tufanye interview kidogo tuone kama unaweza kujibu swali hili lenye vipengele a na b:

a) A train leaves Singida headed for Dodoma traveling at an average speed of 90 miles per hour. Another train leaves Dodoma headed for Singida at the same time as the first train. The train leaving Dodoma is traveling at an average speed of 60 miles per hour. Both trains are traveling along the same route (but in opposite directions). How far apart will the two trains be one hour before they meet?

b) Two air planes leave at the same time traveling in the same direction. After six hours they are 1,530 miles apart. If the first plane is 4 times faster than the second plane, how fast is each plane is going?

Goodluck
Bwana Makanyaga sorry for delay nilikua busy sikuwepo net naona member wanahisi nimepotea
mie nipo hayo ni mambo ya kufikirir faster hata bila kufanya majibu yanaonekana ,haya hapa
(a)150 miles
(b)340 and 85 in miles per hour
 
Mimi hata majibu yake kichani siyajui, na sipendelei sana kuyajua kichwani. Nionyeshe njia umeyapataje, otherwise ukinitajia majibu, itakuwa ni sawa tu na yule ambaye hajafanya, unless kama ingekuwa ni swali la multiple choice
 
Hahahahahahaha mkuu! Ticha anakimbia swali la form 2 motion akitumia concept za kipengele cha collision pale form 2 anatoka fresh tu.tichaeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee shuka formular tuone hapo jibu limetoka vp
 
Mkuu majibu amepatia, na yupo sahihi kwa maswali yote mawili.

Swali # 1.

Assumptions,
*Each car will be 1 hour away from meeting point.
*Their distance of separation to meeting point in 1 hour time let be D.
*Distance of Gari B from meeting point is P

Case A, Gari A: Gari lenye mwendo wa 60M/h
Velocity = distance / time
60 = (D-P) / 1
D - P = 60................................ eqn 1.

Case B, Gari B: Gari lenye mwendo wa 90M/h
Velocity = Distance / time
90 = (P) / 1
P = 90.................................... eqn 2

Substitute eqn 2 in eqn 1
D - P = 60
D - 90 = 60

D = Distance = 150 miles

Swali # 2,
Assumptions,
*Let velocity of plane 1 be V.
* velocity of plane 2 be V2
*Distance covered by plane 2 after 6 hour mark be Y
*Distance covered by plane 1 after 6 hour mark be X

Solution,
V2 = 4V,
Velocity = distance / Time
V = X/6
X = 6V ........................eqn 1
v2 = Y/6
4V = Y/6
Y = 24V...................... eqn 2

Again,
Y-X = 1530
24V - 6V = 1530
18V = 1530
V= 85 M/h

V2 = 4V = 4*85
V2 = 340.

hence,

speeds of planes are 85miles/hour and 340 miles/hour
 
Mkuu majibu amepatia, na yupo sahihi kwa maswali yote mawili.

Assumptions,
*Each car will be 1 hour away from meeting point.
*Their distance of separation to meeting point in 1 hour time let be D.
*Distance of Gari B from meeting point is P

Case A, Gari A: Gari lenye mwendo wa 60M/h
Velocity = distance / time
60 = (D-P) / 1
D - P = 60................................ eqn 1.

Case B, Gari B: Gari lenye mwendo wa 90M/h
Velocity = Distance / time
90 = (P) / 1
P = 90.................................... eqn 2

Substitute eqn 2 in eqn 1
D - P = 60
D - 90 = 60

D = Distance = 150 miles

Mkuu nashukuru kwa majibu yako ila kuna kosa la msingi kwenye swali limefanywa makusudi ambalo kwa yeyote anayejua hesabu alitakiwa alione. Umbali kati ya Dodoma na Singida haujatajwa, wakati katika hali ya kawaida ulitakiwa utajwe. Kwa mfano tuseme kama ungekuwa umetajwa kuwa maili 600, baada ya saa moja hizo train mbili zingekuwa umbali wa maili 600-150=450. Labda sasa nibadilishe swali, tuseme sasa umbali kati ya Dodoma na Singida ni maili 600, je baada ya muda gani, au umbali gani hizi train mbili zitapishana? Kazi kwako
 
Mkuu hilo kosa nimeliona na iliniwia vigumu kulisolve kwa kutumia approach ya kuassume na kutilia maanani magari yalipoanza safari, ndio maana unaona nimetumia approach ya meeting point na kuassume kuwa gari hizo zimeshachapa mbuga kiasi kwamba zimebakiza lisaa limoja kukutana. kitu ambacho ni sahihi kabisa kwa mtazamo wangu.

kipengele cha swali ulichoongezea kazi ya kukokotoa imekuwa ni rahisi zaidi na majibu yake ni
*Gari inayoenda 60miles/h itakuwa imesafiri miles 240
*Gari inayoenda 90miles/h itakuwa imesafiri miles 360
*Muda wa kupishana utakuwa ni 4 hours baada ya kuanza safari.

N.B, kuhusu njia kama utakuwa muelewa utadeduce mwenyewe toka assumptions na concept zangu za juu.
 
Hahahahahahaha mkuu! Ticha anakimbia swali la form 2 motion akitumia concept za kipengele cha collision pale form 2 anatoka fresh tu.tichaeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee shuka formular tuone hapo jibu limetoka vp
Sheko, acha kucheka, wewe kama una swali lolote nafasi yako ndiyo hii. Uko form gani?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom