Prof. Tibaijuka: Rais aache kutumbua nyama akayaita majipu!

Huyu mama ana chuki maana alikosa uwaziri kwa hiyo na yeye kwa sasa anauliza maswali ya Nyongeza.

Huyu naye anaidhalilisha taaluma yake binafsi sikuwahi kufikiria kama angekuja kutumika kama kopo ukizingatia nafasi alizoshika kabla ya kukumbwa na kashfa

Jambo la kujiuliza ni kuwa je kama asingedunguliwa leo angejitokeza kuyasema hayo?

Pamoja na usomi wake na imani yake hakuweza kujua kuwa alikuwa amechomekwa kwenye ndoana ili atumike kama chambo...si alijua wanaomtumia ni watu wema hata kama walikuwa wanatenda dhambi?

Kama kweli kaumizwa basi atumie ufahamu wake na imani yake kuuthibitishia umma kuwa yaliyofanyika hayakuwa mema na yeye alidanganywa akakubali bila kujua kuwa ametumika kama kopo kule kwenye smallest room in a house

Imani zetu zinafundisha kuwa waaminifu mpaka kufa, aliingia na msemo wa "...siwezi kuchezewa na watoa rushwa kwakuwa fedha ya mboga ninayo..." kumbe hovyo kabisa
 
Nakuonna mtetezi wa mafisdi katika ubora wako..hahaha vijana wa ufipa yaani toka Lowassa aingie kwenye chama chenu mmegeuka kuwa watetezi wa mafisada,haya mkubwa endeleeni kutetea ufisadi.
Kusema kwamba kuna watu walibeba hela kwenye mifuko ya sandarusi ndio kutetea ufisadi?
 
Heri mimi sijasema!

IMG_0497.JPG
 
Huyu naye anaidhalilisha taaluma yake binafsi sikuwahi kufikiria kama angekuja kutumika kama kopo ukizingatia nafasi alizoshika kabla ya kukumbwa na kashfa

Jambo la kujiuliza ni kuwa je kama asingedunguliwa leo angejitokeza kuyasema hayo?

Pamoja na usomi wake na imani yake hakuweza kujua kuwa alikuwa amechomekwa kwenye ndoana ili atumike kama chambo...si alijua wanaomtumia ni watu wema hata kama walikuwa wanatenda dhambi?

Kama kweli kaumizwa basi atumie ufahamu wake na imani yake kuuthibitishia umma kuwa yaliyofanyika hayakuwa mema na yeye alidanganywa akakubali bila kujua kuwa ametumika kama kopo kule kwenye smallest room in a house

Imani zetu zinafundisha kuwa waaminifu mpaka kufa, aliingia na msemo wa "...siwezi kuchezewa na watoa rushwa kwakuwa fedha ya mboga ninayo..." kumbe hovyo kabisa

umesahau mmoja "sijaja huku tanzania kuganga njaa kama ni pesa ya mboga ninayo" by tibaijuka huyu mama ni mwizi sana kule mwanza nako kajenga shule kutoa ile ya dar sijui fedha anapata wapi
 
Kwanini unapenda kuwa na ID mbili? Wewe ni Lizaboni au mwanamtandao mmoja na hao wenzako wa buku saba. Upo hapa Jamii na kwingineko kwa kazi maalumu.
Wewe ni jipu. Kuna team inaweza kukugundua mpka upo wapi. Unabisha?
Unataka kunifahamu ili ikusaidie nini?

Unapoteza muda wako, Jikite kwenye mada badala ya kutaka kunifahamu.

Never argue with stupid people, they will drag you down to their level and then beat you with experience―Mark Twain

I'm outa here!
Sorry!
 
Ni wapumbavu na malofa kama wewe ndiyo wako Chadema,ni wapumbavu kama wewe amabo walisema hazarani kwamaba Fisadi lowassa asipoingia ikulu watageuzwa kinyume na maumbile...na lowassa urasi kaisha kosa..kinachofuata ni utekelezaji wa ahadi..kwa hiyo walioko wote CDM ni mashoga.
Povu la nini?Keshawaambia mumpeleke mahakani nini kinawashinda?
 
Tibaijuka anatakiwa atuambie huo mtandao ni upi na una kina nani na si kuendelea kutuweka kwenye mabano. Kwa jinsi alivyoongea inaonesha yeye anaujua mtandao hivyo wao kujiita nyama tafsiri yake ni kwamba jipu huota kwenye nyama, sasa wao nyama watueleze hayo majipu yaliyoota juu yao ni yapi.

Ukisema serikali haijui mtandao wa mafisadi na anajua Tibaijuka pekee,basi hatuna haja ya kuwa na TISS maana wale ndo wanatakiwa wanuse harufu ya hela yoyote ya serikali inapokatiza na kulinda maslahi ya nchi yasipotee.Iweje TISS wasiwe na taarifa ila wakaitaka hiyo taarifa kwa Tibaijuka ambaye si profesional katika mambo ya ku-dig secret information.
 
Huyu mama yko sahihi kabisa kwani mpaka sasa hakuna jipu hata moja ambalo lime tumbuliwa, wanahangaika na vipele uchungu tu.... Hii nchi wanasiasa wanaojiita vigogo wa ccm ndyo uliotufikisha hapa, wamagawana visima vyote vikuu vya kuliingizia taifa kipato....
 
Mama Prof.Anna Tiba msaidie mhe.Rais kwa kumtajia majina ya huo mtandao....Rais ni jasiri atawatumbua bila woga!
 
Atakapotiwa kizuizini kwenye mahakama ya mafisadi ndo atakuwa shahidi mzuri wa kuisaidia mahakama kuupata huo mtandao. La msingi tumwombe atunze tu maneno.
hakuna wa kumfanya hivyo bosi alomtuma ndio kamanda wa mtandao wa ufisadi na yuko ngazi ya juu chamani
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom