Prof. Tibaijuka: Rais aache kutumbua nyama akayaita majipu!

Yaani hapa ndio nawashangaa wana ccm ,Mama wa hela za mboga kasema ukweli badala ya kujiuliza kwanini kasema hivyo ,anapondwa yeye ,hela zilizobebwa sijui kwa sandarusi ni za kina nani ??

apo kuna ukweli gani wew nyumbu hawa kuanzia kina sefue , osea bandari kitila na wew unaona ni vijinyama au umevaa miwani ya mbao
 
Mama alitegwa na akategeka sasa akili zimerudi, mbona Pinda alishasema wakiguswa nchi inayumba na Mwakyembe naye a kasema wanaisitiri serikali.
Mbona hilo liko wazi mafisadi ni CCM na serikali yake.
 
Ni wenye mapungufu tu ndio wanaikubali CCM!

Tukisema Magu ana double standard kuna watu hawatuelewi ila muda ndio utakuja kuwaumbua.
Ni wapumbavu na malofa kama wewe ndiyo wako Chadema,ni wapumbavu kama wewe amabo walisema hazarani kwamaba Fisadi lowassa asipoingia ikulu watageuzwa kinyume na maumbile...na lowassa urasi kaisha kosa..kinachofuata ni utekelezaji wa ahadi..kwa hiyo walioko wote CDM ni mashoga.
 
Amefariki Muhaya mmoja na habari ziwafikie Wahaya wote walioko Afrika. Jamaa wanaukabila kupita maelezo.
Ndiyo hicho tu kinachomsumbua huyu mama kwa sababu ya kuachishwa kazi kwa MS. Kairuki. Magenda Mu University wanateteana tu hapo.
 
Mhh! Hivi huyu alisalimika vipi na vile vijisenti vya mboga? Au keshasau kwamba jinai haina ukomo.
Kwanza huyu mama huwaga hana busara ya kujua wakati wa kuongea pumba zake. Unakumbuka wakati wa ile issue ya Escrow alijichanganya akaweka news conference kwamba hata jiuzuru, ikabidi raisi Kikwete amtoe tu. Hivi huyu mama kiburi hiki anakipata wapi?
 
fuch
Amefariki Muhaya mmoja na habari ziwafikie Wahaya wote walioko Afrika. Jamaa wanaukabila kupita maelezo.
ficha upumbavu wako wewe unaongea kwa jumla jumla tu kana kwba wahaya wote unawafahamu.
mods tafadhari hawa makanjanja kwanini amuwapigi lifetime ban..?wanachafua maana halisi ya GT.yani mtu anakurupuka tu na kuandika ilimradi..***** sana.
 
Huyu mama kwa Magufuli wala hahitaji ustadi wowote.Mahakama ya mafisadi itaanza kazi July mwaka huu huu ataanza kuifungua yeye.Tena asitake kuongeza makosa mengine angejikalia tu kwake kimya kama kasuku kwenye tundu lake.Huu ujuaji wa kilangira unaweza kumletea madhara huku umri ukiwa saa kumi na moja tayari.
Sasa anaishi kwa huruma ya nani unashindwa kukamata b300.za kwenye magunia unaangaika na b1.6 ya kulipia Mkopo wa shule.
 
..... akili za kawaida.... kwa hiyo aliposema membe naye ni muhaya kama julieth na tibaijuka?
nakuona muhaya uko bize kumtetea na kuwatetea muhaya mwenzako na wahaya wenzako. pole.
usisahau jana magufuli kumtumbua kairuki.
 
Ndiyo hicho tu kinachomsumbua huyu mama kwa sababu ya kuachishwa kazi kwa MS. Kairuki. Magenda Mu University wanateteana tu hapo.
hivi unauhakika yule dada ni muhaya? tumia kichwa chako kufikiri sio kufugia nywere tu.
 
fuch

ficha upumbavu wako wewe unaongea kwa jumla jumla tu kana kwba wahaya wote unawafahamu.
mods tafadhari hawa makanjanja kwanini amuwapigi lifetime ban..?wanachafua maana halisi ya GT.yani mtu anakurupuka tu na kuandika ilimradi..***** sana.
Kweli bwana usitukane Wahaya ni watu wenye ukabila sana. Hamna mfano wake kabisa.
 
hivi unauhakika yule dada ni muhaya? tumia kichwa chako kufikiri sio kufugia nywere tu.
Hata kama siyo muhaya ukiolewa na Muhaya wewe ni Muhaya tu kwa lugha na kila kitu vinginevyo nongwa moja kwa moja. Wahaya ndiyo kabila pekee linaloongoza Tanzania kwa Ukabila.
 
nakuona muhaya uko bize kumtetea na kuwatetea muhaya mwenzako na wahaya wenzako. pole.
...... binafsi siyo mhaya ila huwa sipendi jinsi baadhi ya watu wanavyowasakama haya makabila mawili hasa wahaya na wachagga, utadhani siyo watanzania wenzetu, au hawakuumbwa na Mungu? , acheni hizo bhana....
 
Kweli bwana usitukane Wahaya ni watu wenye ukabila sana. Hamna mfano wake kabisa.
ukabila unafahamu maana yake au umeamua kuongea tu.?yana watu wakipendana nyie kwenu ni ukabila kwahiyo mnataka tuchukiane?
"mara nyingi maskini huwa anahisi tajiri ndo mbaya wake,kumbe ni uzembe wake mwenyewe"
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom