Prof. Tibaijuka: Rais aache kutumbua nyama akayaita majipu!

Huyu mama mmh, hausiki vipi na ufisadi

Anahusika, huoni tu kauli yake. Lakini kuna nyama, mifupa na usaha. Yeye ni sehemu ya wale Zito alio waita makuwadi wa ufisadi. Mtandao ni JS, R, MK, Standard na wengine wengi wa aina hiyo. Prof yupo group moja na akina Kiti na wenzake.
 
Kwani mkuu Magu kamaliza kutumbua? Yeye asubiri tu ni zamu kwa zamu manake kuna majipu mengine ni ya kutumbua kwa ustadi

Yes mkuu anawaandalia jela na vyoo mitaa ya kufanya usafi. Haaaaaaaaa!
 
ukabila unafahamu maana yake au umeamua kuongea tu.?yana watu wakipendana nyie kwenu ni ukabila kwahiyo mnataka tuchukiane?
"mara nyingi maskini huwa anahisi tajiri ndo mbaya wake,kumbe ni uzembe wake mwenyewe"
Kupendana ni kitu kizuri lakini bwana Wahaya nyinyi mna ukabila mbona najua unalielewa hilo sana.
 
Kakunja 1.6 billion halafu anasema muhanga wa ufisadi!? Halafu cha kushangaza katika hiyo bilioni 1.6 ya rushwa aliyopokea alitakiwa alipe kodi ya 586 million badala ya kufilisiwa pesa yote ili iingie hazina. Akaamua kufungua kesi ya kupinga kodi ya shilingi milioni 586 kwa kubwa ni kubwa sana, sijui hiyo kesi imeishia wapi au imeshaminywa kimya kimya.

TRA yamdai Profesa Tibaijuka Sh500 milioni za escrow, apinga
Nikuonyesha kuwa kuna waliokwiba nyingi na hazina maelezo. Waliobeba kwa magunia vp?
 
Yote hayo nayajua hata hao waliokwiba na kubeba na magunia wote waanikwe hadharani bila kujali nyadhifa zao zilizopita au za sasa ndani ya Serikali au CCM. Hapo ndipo Watanzania wengi tutaona kuna nia ya kweli ya kupambana na wezi, wapokea rushwa na mafisadi badala ya kuhangaika na vidagaa tu wakati mapapa hawaguswi.

Nikuonyesha kuwa kuna waliokwiba nyingi na hazina maelezo. Waliobeba kwa magunia vp?
 
Yes mkuu anawaandalia jela na vyoo mitaa ya kufanya usafi. Haaaaaaaaa!
Kuna majipu mengine haya tumbuliki kabisa ila tu unatakiwa kuyapasua tu. Kwa hiyo Mahakama ya mafisadi ndiyo itakuja kuyapasua hayo.
 
Hata mimi naanza kuafiki.maneno ya Tibaijuka. huu ndio ukweli wenyewe. Ukiona mwana CCM ana insinuate jambo kama hili ujue. Si Bure. Angesema mwana ukawa. Matusi wangesemwa wanaona wivu na wamekalia upinzani.
Sasa kasema msisiemu Nguli na profesa tibaijuka.
Magu anatumbua NYAMA.
Binafsi Sijaona usaha mpaka sasa
Ukweli mtupu
 
Mama baada ya kupigwa chini
.......u waziri akili yake haipogo sawa

Hapana usimshambulie /usimmbeze kwa nyadhifa alizowahi kuitumikia Nchi anayajua mengi kuliko wewe ,wewe jadili tu alicho kizungumza.Majipu ni yapi na nyama ni IPI!?Wale waibeba Mabilions ktk sakata la ESCROW kwa masandarusi na rumbesa na camera zikashindwa kuwanasa (ajabu)tunataka tuwajue..Msitumbue vipele na mkatu shawishi tuungane na nyie kuimba mapambio ya 'majipu'....Asante mama ,tumekusikia wakati ndio utaamua ni nani mnafiki na mkweli
 
Ingelikuwa jamaa alishinda kihalali, hapo angelikuwa na guts za kumtumbua Riz1 na baba ake.

Lakini hao jamaa ndio waliompa kiti, sasa inakuwa ngumu kuvurugana nao. Ndio maana kila siku utaona kama vile jamaa anazunguka zunguka tu.

Kwa mfano mdogo tu, ameshindwaje kufanya forensics investigation juu ya kampuni ya Home Shopping Centre na ufisadi walioufanya pale bandarini.

Mwisho wa siku tutambue tu kila kitu kina mipaka yake.
 
Ikiwa Tibaijuka ni fisadi basi maaskofu Kilaini na Nzigirwa na kanisa lao wote ni mafisadi.

Jee, Tibaijuka na hao maaskofu na kanisa lililowatetea wana tofauti ipi?
 
Akiongea na Count Down ya Clouds Fm Prof Tibaijuka amesema yeye ni muhanga wa ufisadi. Amesema kuna mtandao wa mafisadi unaotoa watu kafara na wenyewe hauguswi.

"Naafiki kuanzishwa kwa mahakama ya mafisadi, labda itasaidia kukamatwa na kushitakiwa mafisadi wenyewe. Maana wengine tunatolewa kafara na mtandao hauguswi, labda zitaachwa kukamuliwa nyama na kuziita majipu". Alisema Prof Tibaijuka.

My take:
Mtandao huu ni upi? Unalindwa na nani? Hivi Prof ni msafi au anajitetea?
Ritz : Ni Lowasa??
 
...... binafsi siyo mhaya ila huwa sipendi jinsi baadhi ya watu wanavyowasakama haya makabila mawili hasa wahaya na wachagga, utadhani siyo watanzania wenzetu, au hawakuumbwa na Mungu? , acheni hizo bhana....
nani anawasakama nyie? au unajishuku tu?
 
Ritz : Ni Lowasa??
Ikiwa Tibaijuka ni fisadi basi maaskofu Kilaini na Nzigirwa na kanisa lao wote ni mafisadi.

Jee, Tibaijuka na hao maaskofu na kanisa lililowatetea wana tofauti ipi?

Kila mmoja na ufisadi wake huyu Escrow mwingine Richmond.
 
Ikiwa Tibaijuka ni fisadi basi maaskofu Kilaini na Nzigirwa na kanisa lao wote ni mafisadi.

Jee, Tibaijuka na hao maaskofu na kanisa lililowatetea wana tofauti ipi?
Magu kakamua jipu la baQata. Sijasikia kama kuna jipu kwenye kanisa.

Vepe mbona siku hizi hamteq vituo vya polisi tena na kuchukua silaha.? Baba yenu kaondoka eeh?
 
Ikiwa Tibaijuka ni fisadi basi maaskofu Kilaini na Nzigirwa na kanisa lao wote ni mafisadi.

Jee, Tibaijuka na hao maaskofu na kanisa lililowatetea wana tofauti ipi?

Kila mmoja na ufisadi wake huyu Escrow mwingine Richmond.
Tangu nisikie bakharesa, HSC na baQaata wanatumbuliwa.majipu nyama.. Moyoni nikasema tajiri mcha Mungu ni Mengi peke yake.
Manake sijasikia akiguswa kwenye utumbuaji.

Mengi ndio hana figisufigisu kwenye biashara zake.
Wauza unga wote siku hizi adabu mbele. Wakina a.k.a El chapo wa tanzania.
Bado.@FaizaFoxy naye ni jipu. na mkonge..

Sikuhizi hadi makonda kaondoa ulinzi makanisani. Tunalala kwa raha hatusikii sijui polisi wameibiwa silaha na wasomali?.manake ulikua udanganyifu eti wasomali.
Mara arusha wamepiga Bomu...
Kuna fukuto linavuma kuhusu Dau lets wait and see
 
Mleta uzi.kaleta uzi poa sana. Cha kusikitisha wanakuja watu kutuvuruga kwa kuleta udini humu.
 
Kwa fairness yoyote ile... huyu mama ana ujumbe

Kumbeza haisaidii... si ajabu anamwamsha mkuu aamke zaidi

Hata mimi naamini kuna circle haijaguswa kabisaaaaaaa
Tatizo anataka kutuaminisha yeye ni msafi wakati pesa za Escrow ziliingizwa kwenye akaunti yake binafsi!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom