Tangu umeingia Wizara ya Nishati na Madini kero za mgao au kukatika mara kwa mara kwa umeme kumepungua sana.
Najua umechafuliwa kwasababu ulikuwa na malengo mazuri ya kuimarisha sekta ya nishati hususan umeme.
Nani asiyejua kwamba kuwepo kwa mgao wa umeme ulikuwa ni mpango wa watu wachache ambao walikuwa wakipiga dili zao?
Nani asiyejua kwamba harakati zilizokuwa zikiendeshwa dhidi yako hazikutokana na utendaji wako mbovu au kashfa yoyote ya ufisadi bali ni kwa sehemu kubwa ilitokana na kuwazibia mirija ya ulaji?
Nani asiyejua kwamba issue ya ESCROW wewe uliikuta tayari na kwamba hukuwa na mamlaka yoyote juu ya jambo hilo?Ila kwasababu imetokea wizarani kwako,maadui wako wakatumia mwanya huo kukumaliza.
Acha tumpate Waziri mpya wa Nishati na Madini lakini Watanzania tusianze kulalamika pale mgao wa umeme utakaporudi tena kwa nguvu mkubwa,Maana wote mliunga mkono Prof Muhongo kutimuliwa.
Breaking news...mhungo ameteuliwa kuwa naibu waziri mkuu
too much waiting no serious updates like april fools day.
mkuu napata mashaka na taaluma yako ya habari
Watanzania na waafrika kwa ujumla ni wakati wa kubadirika kuamua kama wazungu wanavyoishi la sivyo suala la Maendeleo litakuwa ndoto. Kwa mzungu ukiharibu hawaangalii umefanya mema gani ila unawajibika kwa madoa yako basi . Kuharibu ni kuharibu haijalishi umefanya mangapi . Mnashuhudia makocha wa mpira wakati mwingine wanapigwa chini Hadi washabiki wanatamani kujitundika ila dhana inabaki pale pale
sababu?
Kuna uzi humu humu umeletwa na mdau mwingine kwamba ameshajiuzuru.
Tangu umeingia Wizara ya Nishati na Madini kero za mgao au kukatika mara kwa mara kwa umeme kumepungua sana.
Najua umechafuliwa kwasababu ulikuwa na malengo mazuri ya kuimarisha sekta ya nishati hususan umeme.
Nani asiyejua kwamba kuwepo kwa mgao wa umeme ulikuwa ni mpango wa watu wachache ambao walikuwa wakipiga dili zao?
Nani asiyejua kwamba harakati zilizokuwa zikiendeshwa dhidi yako hazikutokana na utendaji wako mbovu au kashfa yoyote ya ufisadi bali ni kwa sehemu kubwa ilitokana na kuwazibia mirija ya ulaji?
Nani asiyejua kwamba issue ya ESCROW wewe uliikuta tayari na kwamba hukuwa na mamlaka yoyote juu ya jambo hilo?Ila kwasababu imetokea wizarani kwako,maadui wako wakatumia mwanya huo kukumaliza.
Acha tumpate Waziri mpya wa Nishati na Madini lakini Watanzania tusianze kulalamika pale mgao wa umeme utakaporudi tena kwa nguvu mkubwa,Maana wote mliunga mkono Prof Muhongo kutimuliwa.
Si bora angekuwa mwingine ni yeyey huyohuyo MANYEREre jackson ameshindwa kuweka update kwenye uzi wake wa awali anakimbilia kuleta uzi mwingine.
tangu umeingia wizara ya nishati na madini kero za mgao au kukatika mara kwa mara kwa umeme kumepungua sana.
Najua umechafuliwa kwasababu ulikuwa na malengo mazuri ya kuimarisha sekta ya nishati hususan umeme.
Nani asiyejua kwamba kuwepo kwa mgao wa umeme ulikuwa ni mpango wa watu wachache ambao walikuwa wakipiga dili zao?
Nani asiyejua kwamba harakati zilizokuwa zikiendeshwa dhidi yako hazikutokana na utendaji wako mbovu au kashfa yoyote ya ufisadi bali ni kwa sehemu kubwa ilitokana na kuwazibia mirija ya ulaji?
Nani asiyejua kwamba issue ya escrow wewe uliikuta tayari na kwamba hukuwa na mamlaka yoyote juu ya jambo hilo?ila kwasababu imetokea wizarani kwako,maadui wako wakatumia mwanya huo kukumaliza.
Acha tumpate waziri mpya wa nishati na madini lakini watanzania tusianze kulalamika pale mgao wa umeme utakaporudi tena kwa nguvu mkubwa,maana wote mliunga mkono prof muhongo kutimuliwa.
The Citizen
BREAKING NEWS
ESCROW SAGA: The Minister for Energy and Minerals, Prof Sospeter Muhongo resigns this morning in Dar es Salaam following Escrow saga.
Like · · Share · 3 mins