Prof. Muhongo aita waandishi wa habari leo

Status
Not open for further replies.
jf imebadilika sana aisee....dah!miaka ile ya ka-nzi sio hii tena.!tulikuwa tunapata live coverage za press conferences..live..na picha juu...!what happened
 
ni saa 5:35 tupe updates

Usitegemee mwandishi wa habari wa TZ aka-keep time, au hata kukumbuka alichoandika muda mchache huko nyuma.

Subiri jioni kila kitu kikiisha ndio utapewa taarifa.

Hawa watu wako analojia bado
 
Usitegemee mwandishi wa habari wa TZ aka-keep time, au hata kukumbuka alichoandika muda mchache huko nyuma.

Subiri jioni kila kitu kikiisha ndio utapewa taarifa.

Hawa watu wako analojia bado
Sababu kubwa wanaandika kisiasa zaidi, mpaka waende waongeze chumvi zao kama ambavyo watakuwa wametumwa na wakubwa zao ndipo waipeleke kwa wananchi ili kuupotosha umma.
 
Manyerere Jackton unazingua! sasa ndo nini kutuacha hivi kama vifaranga waliokosa mama? kwanini husemi kinachoendelea? kama bado kikao bado hakijaanza, si useme bado hakijaanza? Mbona upo kimya tatizo nini? kama umepata dharura si useme kwamba umepata dharura hivyo tusitegemee chochote kutoka kwako! hututendei haki tulio mbali.
 
Last edited by a moderator:
Leo nchi inatetemeka alisema nitaitetemesha sasa leo panachimbika.
Huyo Profesa hana ubavu huo wa kumwaga mboga,kwa kulipiza kutokana na kumwagiwa ugali wake.

Akithubutu kufanya hivyo, naye asije shangaa anageuka kuwa 'living ghost' kama alivyo hivi sasa yule Mnyalukolo aliyekuwa bosi mkubwa kabisa pale BoT, ambaye huwa anaonekana mara kwa mara 'akitweet' kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii!
 
kaka wee ni mgeni tanzania?anaweza prf akaamua kuwapiga watu kaki kaki alafu akawaambia i love you wakaondoka
 
Huyo Profesa hana ubavu huo wa kumwaga mboga,kwa kulipiza kwa kunwagiwa ugali wake.

Akithubutu kufanya hivyo, naye asije shangaa anageuka kuwa 'living ghost' kama alivyo hivi sasa yule Mnyalukolo aliyekuwa bosi mkubwa kabisa pale BoT, ambaye huwa anaonekana 'akitweet' kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii!
Ni mjinga tu ambaye hajui maana ya mitandao ya kijamii ndo anaweza kuandika ujinga kama wewwe. KWANI wewe jina la Mystery ni lako au umetumia tu ID feki? You can use person's name as twitter' s acount. Wewe mburura kweli.
 
hivi kweli hakuna yeyote anayejua kinachoendelea aje kutuhabarisha hapa jamvini? Au Leporofeseri kahairisha mpango wake wa kutetemesha nchi?
 
Profesa Sospeter Muhongo yupo na waandishi wa habari muda huu kutoa yake ya moyoni kuhusiana na sakata la escrow na kuhusishwa kwake. Najua kila mtu anahamu ya kujua nini kaongea waziri huyo wa nishati na madini ambaye aliwekwa kiporo toka mwaka jana.
Kwa yeyote aliyekuwepo kwenye eneo la tukio atuwekee updates hapa tafadhali. Akhsanteni!
 
Leo Hamna Live Updates..??
.wadau hili tukio ni la mhimu sana kwa Taifa..
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom