ni saa 5:35 tupe updates
Sababu kubwa wanaandika kisiasa zaidi, mpaka waende waongeze chumvi zao kama ambavyo watakuwa wametumwa na wakubwa zao ndipo waipeleke kwa wananchi ili kuupotosha umma.Usitegemee mwandishi wa habari wa TZ aka-keep time, au hata kukumbuka alichoandika muda mchache huko nyuma.
Subiri jioni kila kitu kikiisha ndio utapewa taarifa.
Hawa watu wako analojia bado
Who is that?Nahisi ni mambo ya kaki yameipitia jamii forum au ..........hajaja ukumbini????
Huyo Profesa hana ubavu huo wa kumwaga mboga,kwa kulipiza kutokana na kumwagiwa ugali wake.Leo nchi inatetemeka alisema nitaitetemesha sasa leo panachimbika.
Muhongo hana hatia na hata akijiuzulu atafanya hivyo kisiasa, kisheria hana hatia.Anatakiwa awe muungwana akubari ya ishe pia akubari kwenda mahakamani arudishe pesa
Ni mjinga tu ambaye hajui maana ya mitandao ya kijamii ndo anaweza kuandika ujinga kama wewwe. KWANI wewe jina la Mystery ni lako au umetumia tu ID feki? You can use person's name as twitter' s acount. Wewe mburura kweli.Huyo Profesa hana ubavu huo wa kumwaga mboga,kwa kulipiza kwa kunwagiwa ugali wake.
Akithubutu kufanya hivyo, naye asije shangaa anageuka kuwa 'living ghost' kama alivyo hivi sasa yule Mnyalukolo aliyekuwa bosi mkubwa kabisa pale BoT, ambaye huwa anaonekana 'akitweet' kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii!
Kumbe wewe haujawajua wandishi wa ki- tz . Ni weupe sana katika kutoa updates sana lazima wazipeleke kwa mabosi wao kama akina MENGI ili awambie namna ambavyo anapenda iende kwenye public.update please, ni zaid ya saa tano.