Prof. Lwaitama njiani kujiunga na CHADEMA

hivi huyu ni prof au dk?

halafu huyu jamaa ni chadema pure si ndo huyu alisema siku ilekwenye mdahalo kuwa

yeye ni mwanachama mfu wa ccm?..... hata kura aliipa chadema
 
Nakwambia hawana lolote hao maprofesa wa kibongo. Kazi kunywa pombe na kula kiti moto Udasa bar na bar zingine huko uraiani. Hawafanyi tafiti zozote zile za maana na zenye manufaa kwa taifa na wananchi wake. Yaani hao maprofesa ni zero, nada, zilch!!!!

Ulichosema hapo juu kinajumuisha maprofesa hawa ambao huku nyuma ulikiri kuwakubali: Kaijage na Kimambo?

Na hawa je:

Academic Staff - Department of Economics

?
 
If you bring anything here without a source,i consider it as a dream or a gossip mkuu!
Toa habari,mwaga source ya habari then tugonge thanks kibao hapo juu otherwise hata mimi naweza kusema kesho mukandara anajiunga chadema au cuf mtaniamini???

Mukandara fisadi wa redet ajiunge na CHADEMA? haiwezekani. Mzee hakuna atakaye kuamini!
 
Ulichosema hapo juu kinajumuisha maprofesa hawa ambao huku nyuma ulikiri kuwakubali: Kaijage na Kimambo?

Na hawa je:

Academic Staff - Department of Economics

?

Ni kweli wapo wachache ambao ninawakubali na hao wawili ulioataja kwanza angalia credentials zao, halafu angalia resume zao uone wapi walifundwa....utaona Cantab, Northwestern, UCLA, Stanford, Dalhousie, etc......

Na hata kazi zao na michango yao hutapata shida kuipata. Na hao wawili wote ni old school.....
 
huyu msomi mwenye uwezo wa kumwaga cheche jiandaeni kumpokea kwa kishndo kuja kwa wana Chadema

Kapotea njia
Halafu huyu jamaa yupo kama chizi pamoja na uprof wake
Na kanifundisha DS pale Mlimani
Ni halali kwake kwenda huko ila akubaliane kuoa au kozesha ili awe na kasifa cha undugu ndiyo ataendelea vyema
 
Kapotea njia
Halafu huyu jamaa yupo kama chizi pamoja na uprof wake
Na kanifundisha DS pale Mlimani
Ni halali kwake kwenda huko ila akubaliane kuoa au kozesha ili awe na kasifa cha undugu ndiyo ataendelea vyema

Kimbweka hapo umeteleza ndugu yangu
 
Chagua....

b : to make public announcement of 2
a : to disseminate to the public b : to produce or release for distribution; specifically : print 2c c : to issue the work of (an authorintransitive verb
1
: to put out an edition

2
: to have one's work accepted for publication

Kwa hiyo uwezi kwenda mbali zaidi ya hapo? Wewe unaleta tabia za ndugu zake huyo Prof. Nshomile.
 
mi nadhani itakuwa vyema kama hatajiunga na chama chochote....abaki kuwaa msaada kwa jamii....wapo wasomi walipojiunga na vyama pindi vyama vipotezapo mwelekeo jamii nayo huwatosa ...PROF SAFARI...PROF BAREGU.....PROF H OTHMAN ET AL
 
=======
Source please. Nani kasema Kikwete hanywi pombe? Au ulimaanisha "hanyi" pombe?!
Au pombe ukizinywea sehemu nyingine isiyo bar zinabadilika na kutokuwa pombe?


Ulikunywa naye wapi, au unataka ujiko tu kuwa na wewe uko karibu na wakubwa......????
 
I like the guy cause, he is alwayz on truth, alisimama bila woga akasema yeye ni CCM mwanachama mfu hadharani hakutafuna maneno kama wengine wanazuoni walivyowanafiki.
 
Msomi ame publish nini ?

Nilikuwa sijui kama kuna watu wavivu wa kufikiri namna hii humu. Kama jambo hulijui nyamaza waachie wanaofahamu wacomment na sio ujidhalilishe hapa. Yule and Doctorate degree au Doctor of Philosopy. Ili uipate kwa zamani ilikuwa ni lazima upublish six papers kwenye journal za maana na defence ya Thesis. Siku hizi vyuo vingi vimeshusha mpaka upublish paper nne na defence ya Thesis. Kama ana PhD lazima kapitia kote huku. Wewe unayeuliza kapublish nini hujui hata unachoongea, unajidhalilisha tu hapa.
 
Ni mtu makini huyu jamaa lazima tumpe mtu sifa anazostahili sio kuponda tu.Mi nimekuwa nikifatilia sana mijadala yake kiukweli jamaa ni mchambuzi mzuri na anahitajika sana kuwaamsha watanzania waliolala wasijue kesho yao.Tunahitaji watu wengi wa mfano wake kwenye Nchi kama hii changa inayokabiliwa na changamoto nyingi sana.Naunga mkono hoja ingawa tunahitaji source usije ukawa uliota
 
pia waliojuunga hapo walipo ni Albert Einstein, Isaac Newton, Archimedes, Frederic Taylor, Chinua achebe, Mahatma ghandhi, Robert Ouko, Id Amin Dadaa... Yasar Arafat, Moringe Sokoine, Mobutu Seseseko Kuku wa Zabanga, Mao Tse Tung, Michael Jackson

Wengine ni... Jet Li, Ayman Al Zawahiri, Kofi Olomide, Mzee Ojwan`g na Papa Msofe
 
DR Azaveri Lweitama ni mtu ambaye ni critical, objective, asiyependa viongozi wabovu kwenye nchi, kubwa kuliko yoye ni mtu na anayesimamia kwenye ukweli tu.Na hizo ndizo sifa za msomi yeyote aliyeiva kisawasawa.Hivyo kuingia kwake chadema kutakuwa na mchango mzuri katika chama hicho .Chama bado kinahitaji contigent iliojaa vichwa vyenye watu wenye kufikiri na kubuni mbinu za kukabiliana na matatizo ya watanzania, na siyo watu wanaowaza kujineemesha wao na familia zao at the expense of a vast majority Tanzanians.
 
Back
Top Bottom