Prof. Lwaitama njiani kujiunga na CHADEMA

huyu msomi mwenye uwezo wa kumwaga cheche jiandaeni kumpokea kwa kishndo kuja kwa wana Chadema

If you bring anything here without a source,i consider it as a dream or a gossip mkuu!
Toa habari,mwaga source ya habari then tugonge thanks kibao hapo juu otherwise hata mimi naweza kusema kesho mukandara anajiunga chadema au cuf mtaniamini???
 
kaka huyu lwaitama ni noumer,me alinifundisha "introduction to critical thinking and argumentation" mwaka wa kwanza chuo, usimpimie kbs
 
Kama wanaoitwa wasomi pale UD, UDom, SUA, etc etcwote wangekuwa kama huyu Lwaitama laikini hamna kitu waoga nchi yetu nchi isingekuwa hivi wengi hawana mchango hata wa mawazo wa kujenga nchi yetu. Afadhali huyu Bwana na Chachage (RIP) tumemwona akisema bila woga juu ya uozo serkalini na kuelimisha jamii. Yeye ni professor siyo wa proboscis bali wa kuandika mapaper yenye akili. Angalia pale SUA kila mtu ni professor lakini amegundua nini hakuna ni pombe tu.
 
Angalizo: Azaveli bado ni Dakta sio Profesa na pia hafungamani na chama chochote cha siasa.
 
Mchangiaji wa kwanza unatia aibu! Ndo wale wakati tunafundisha enzi zile ukiuliza swali "makao makuu ya nchi?" anakuwa wa kwanza kuamsha mkono alaf anajibu "chalinze"! Hivi kwani si ukae chini ufikrie kwanza ndo uandike?au maana ya great thinker imebadilika siku hizi? Kwani kuwa msomi mpaka kila m2 ajue umepublish nini? Dr.jk kapublish nini? DR. Hosea? Au kumtaja Dr.LWAITAMA imekuwa nongwa? Wakuu kama kweli mko serious yani ata uki google tu kunakuja mambo makubwa ambayo huyu dr.akiyaandika kwenye Cv labda aje na bukulet au novel. Huyu babu ni mzito sana sema tu hakujitambua kuwa ni crucial! Au aliogopa dhana ya kuwa wahaya wanajidai ndo kaamua kuwa neutral ila kama angeropoka kama akina dr.banna,mvungi nk ndo wangemjua. Mi sio muumini wa uyu babu ila kwa msimamo wake na profile yake,namheshimu sana!
 
Pombe wote tunakunywa for leisure, ila akili na uwezo wa mtu unabaki pale pale. Kikwete hanywi pombe ameifikisha nchi wapi hii?
=======
Source please. Nani kasema Kikwete hanywi pombe? Au ulimaanisha "hanyi" pombe?!
Au pombe ukizinywea sehemu nyingine isiyo bar zinabadilika na kutokuwa pombe?
 
Wajemeni acheni kuusudisha maprofessa. Mtu anaweza kuwa professa mzuri lakini asiwe pragmatic katika masuala ya uongozi.
 
Back
Top Bottom