Prof Lipumba na Mwigulu live on Star Tv leo 16/6/2012, mada ni bajeti 2012/2013

IGWE

JF-Expert Member
Feb 3, 2011
9,463
7,385
Namuona hapa Mwigulu na Lipumba wakiidadavua budget ya 2012/2013,..kwa kuanzia huyu mwana ccm anaitetea kwa nguvu zake zote...anasema baadhi ya wataalam wa uchumi wanaipotosha....ngoja tusubiri prof.atasemaje
 
kichuguu na mbuyu

Yeah mkuu..namuona prof.lipumba hapa akimbananisha mchemba mwigulu kwa yale madai yake ya kusema budget imejitosheleza kwa 100% kwa recurrent expenditure
 
wana Jf fungueni TV zenu hawa wadau wanajitahidi kuzungumzia bajeti ya 2012/2013. na wanasema unaweza changia kupitia fb
 
Nchemba kigugumizi kingi anaongea pumba na uwongo tu.....halafu siku hizi mtu akikosa pointi anakuwa na kigugumizi! Hasa watu wa magamba...
 
Huyu Mwigulu na kitambaa cha Taifa!
Anajifanya mzalendooo!
Hana lolote unafki 2.
 
jamani ninaomba mniambie hawa jamaa katika star tv watarusha saa ngapi ili niwe mdau wa kipindi hicho muda na wakati ukifika
 
Dr slaa ameshasema ni mbovu Mimi sina haja ya kuwa sikiliza hao ndugu wawili yani ccm na ccm-b labda waziri kivuli ndio na jiandaa kumsikiliza j3 kwa makini
 
Tanesco wamechukua umeme wao - jamani hamu kubwa ya kumsikia gwiji la uchumi prof lipumba - hakuna tanzania kama yeye.
 
mwigulu anashauri kuwa wataalamu falier wakabiliwe na kitisho cha kufungwa jela kuwa-replace vibaka ATUAMBIE CHAMA FAILIER CCM TUKIPE ADHABU GANI? (kimeanzisha na kuratibu uuzwaji wa mashirika yetu ya umma, kilipigiwa kelele kisibinafsishe shirika la reli, NBC wamewapa makaburu, ATC wameiua, wametumia wingi wao kwa kupitisha marekebisho ya sheria bungeni ili kujipa uhalali wa kisheria kuihujumu nchi)
 
Tatizo la Mwigulu ana mapenzi yaliyopitiliza na chama mpaka anashindwa kukosoa hata mambo yanayoonekana wazi kuwa yapo nje ya mstari.
Hii kwenye ndoa ndiyo ile unansikia watu wanasema mwanaume kalishwa limbwata yaani kila asemacho mkewe ye ni YES tu.
Sasa sijui kuna limbwata hata kwenye vyama au ni kutoshirikisha akili sawasawa.
 
kila siku kuanzia saa 1.30 asuuhi mpaka saa 3 asubuhi, wafuatilie pia kwenye FB kupitia tuingee asubuhi TV show. kila la kheri
 
Back
Top Bottom