Prof Lipumba kupokewa (KIA) ARUSHA akitokea Brussels.

tatizo unamlinganisha Dr slaa mtaalamu wa biblia na Prof nguli wa uchumi Duniani hilo ni kosa la jinai mkuu.

kati ya bible na uchumi wa dunia ipi bora na muhimu...UTAPIGA CHINI USINGIZINI Chezea mungu wewe.
 
acha ujinga wewe, anaenda kushughulikia kuanguka kwa sarafu ya euro!!!!!

Kwa niliyoyashuhudia huku Charambe-Mbagala siku ya mkutano wa CUF jangwani ndipo nilipogundua hapo hakuna chama bali kuna genge la wahuni, walikodi malori 5 na kubeba kina mama na watoto kwenda Jangwani.

Kwa kijana uliepost huo upuuzi hapo juu acha kabisa kujidanganya kuwa kuna chama kinaitwa CUF huku Tanzania bara, CUF alishakufa na matanga tayari yashaisha.

R.I.P CUF
 
tatizo unamlinganisha Dr slaa mtaalamu wa biblia na Prof nguli wa uchumi Duniani hilo ni kosa la jinai mkuu.
mkigoma, mbona unamshambulia Dr. Slaa badala ya kujibu hoja?
mjinga mimi au wewe mkuu unayekuwa na wivu wa kike, lipumba mungu ndiye aliyembariki kumpa akili nyingi, kwanza utambue ni mwenyekiti wa jopo la uchumi Duniani, usimlinganishe Dr wa biblia unafanyd kosa mkuu.
Usiwe na chuki na Dr. Slaa, kwani yeye hajawahi kumbeza profesa wako, wachambue wanaoonesha wasiwasi na prof wako.
 
wakazi wa mji wa Arusha wanatarajia kujitokeza kwa wingi kumpokea Prof Lipumba tarehe 30/09/2012 akitokea brussels- ubelgiji. ambako anatarajiwa kuondoka tarehe 22/09/2012, ambako anakwenda kushughulikia kuanguka kwa sarafu ya EURO barani ulaya. Chanzo. Prof lipumba jangwani.

==========================================================================

Ni nani amekudanganya kwamba Lipumba atapokewa na watu wengi!? Mji wa Arusha hauna wafuasi wa Lipumba, afterall ameonesha kuwa KIBARAKA wa CCM, ndiyo maana CCM inamfadhili kuimarisha CUF ili kura za 2015 wapinzani waelemewe kwa kugawana kati ya CUF na CDM.

Prof. gani huyu bila hata aibu ana-copy na ku-paste vya wengine!!!!!! (Refer: M4C versus V4C). Asijisumbue, waisting time.
 
Kuna mwenyekiti wao hapa Ar anasema namnukuu,siunaona matembezi dar ilipatikana zaid ya m 120 sasatarehe 30 arusha itakua zaid na mimi kama mwenyekiti mpya lazima nivute changu mapema.sasa apo kuna chama kweli?et v4c hawa vipiii jamani ndoa ndoano kwel washindwe
 
wakazi wa mji wa Arusha wanatarajia kujitokeza kwa wingi kumpokea Prof Lipumba tarehe 30/09/2012 akitokea brussels- ubelgiji. ambako anatarajiwa kuondoka tarehe 22/09/2012, ambako anakwenda kushughulikia kuanguka kwa sarafu ya EURO barani ulaya. Chanzo. Prof lipumba jangwani.

Sasa sio siri tena, cuf ni ccm b
 
mjinga mimi au wewe mkuu unayekuwa na wivu wa kike, lipumba mungu ndiye aliyembariki kumpa akili nyingi, kwanza utambue ni mwenyekiti wa jopo la uchumi Duniani, usimlinganishe Dr wa biblia unafanyd kosa mkuu.

religous masquaraings have eatten all your mind.
 
Prof Nguli wa uchumi Duniani kwa nini ashiriki siasa, anataka kupata nini kwenye siasa? hapo ndo anapotia aibu huyo prof. wako. Mchumi wa dunia unazomewa na watoto kwenye kampeni, unapanda mkokoteni wa punda(Igunga)

LIPUMBA NI MCHUMI ALIYEPITWA NA WAKATI.
Eti haoi ili abane matumizi.
Hataki kununua nguo ndio maana anahangaika na midabwada ya cuf
 
Si R chugga.. hatujawa wapumbavu kiasi hicho eti tuende kumpokea prof....Labda wale maustadh wa pale Bondeni.
 
Hao majuha watakaompokea ni akina nani,yaani mtu atoke kupiga dili zake ili kushibisha tumbo lake halafu eti wawepo watu wa kumpokea?!!! Only in Tz this can happen!
Wanatia huruma CUF.CUF ina watu vimeo mbaya,wanaufeel uprof wa Lipumba kuliko yeye mwenyewe.Siku hizi si wanawake tuu hudanganywa n awaume zao kuhusu madili hewa,hata wanaume hudanyika.
 
tatizo unamlinganisha Dr slaa mtaalamu wa biblia na Prof nguli wa uchumi Duniani hilo ni kosa la jinai mkuu.

hakuna nguli wa uchumi dunia ambaye hajawahi itwa wall street zaidi ya mara moja.Huyu atakuwa kama wale waswahili waliofika form 6 halafu mama zao wakabaki pita mitaanai kuwa mtoto wao kasoma san ila hapewi kazi, sijui kun aubaguzi sijui nini.Na mitoto yao ilivyo mijina haimshtui mama kuwa hiyo elimu si kubwa kihivyo.
 
wakazi wa mji wa arusha wanatarajia kujitokeza kwa wingi kumpokea prof lipumba tarehe 30/09/2012 akitokea brussels- ubelgiji. Ambako anatarajiwa kuondoka tarehe 22/09/2012, ambako anakwenda kushughulikia kuanguka kwa sarafu ya euro barani ulaya. Chanzo. Prof lipumba jangwani.
mkuu nani kaibuka kidedea uchaguzi wa bububu zanzibar matokeo please!!!!!!!!!!!!
 
Prof Nguli wa uchumi Duniani kwa nini ashiriki siasa, anataka kupata nini kwenye siasa? hapo ndo anapotia aibu huyo prof. wako. Mchumi wa dunia unazomewa na watoto kwenye kampeni, unapanda mkokoteni wa punda(Igunga)

Kwani uchumi sio siasa?..Amka kutoka usingizini tafadhali..Labda tukuulize,ili mtu ashiriki siasa au mwanasiasa,ni nini qualifications: ni mchumi au PADRI,au..??
 
Back
Top Bottom