Prof Lipumba kupokewa (KIA) ARUSHA akitokea Brussels.

Anaongoza chama kiuchumi ebu ona hapa (Igunga Tshs Mil 150 = Kura 2000) @ Kura Tshs 75,000/=

Unataka kutushawishi nini..kuwa Mil 150 ilitakiwa inunue kura ngapi? Na vyama vingine vilitumia shilingi ngapi kununua kura ngapi!!
 
tatizo unamlinganisha Dr slaa mtaalamu wa biblia na Prof nguli wa uchumi Duniani hilo ni kosa la jinai mkuu.

Nadhani wewe ndio umewalinganisha hivi huyo LIPUMBA ambae hajawahi kuchaguliwa na wananchi ata kuwa mwenyekiti wa MTAA utamlinganisha na Dr Slaa emu acha kujaribu kututafutia BAN kwa lazima.
 
wakazi wa mji wa Arusha wanatarajia kujitokeza kwa wingi kumpokea Prof Lipumba tarehe 30/09/2012 akitokea brussels- ubelgiji. ambako anatarajiwa kuondoka tarehe 22/09/2012, ambako anakwenda kushughulikia kuanguka kwa sarafu ya EURO barani ulaya. Chanzo. Prof lipumba jangwani.


Aaaaaaaaaaaaaaah! amezidi bana naye, mbona wengine huwa hatupokelewi, siku hizi kwenda ulaya ni kama unakunywa maji, au ye kaona dili? mbona kina Mbowe na slaa huwa hawaombi kupokelewa japokuwa wanasafiri kila mara. ni Yeye tu na Kikwete ndio wanaomba kupokelewa. acheni watu wafanye kazi msiwasumbue kuja kuwapokea, onyesheni mfano wa time management bwana.

Halafu kinachosikitisha zaidi huyu profesa wa uchumi, yaani mke wako anaugua jipu, badala ya kumkamua, we unakwenda kukuna kipele cha mke wa jirani. Eti kuanguka kwa Euro!! ina maana shilingi haioni?
 
mjinga mimi au wewe mkuu unayekuwa na wivu wa kike, lipumba mungu ndiye aliyembariki kumpa akili nyingi, kwanza utambue ni mwenyekiti wa jopo la uchumi Duniani, usimlinganishe Dr wa biblia unafanyd kosa mkuu.
We mtoto, biblia ndio kitabu pekee chenye hazina za ufalme wa Mungu, uchumi unaishia mtu anapokufa, lakini za kibiblia ni za milele mbinguni kwenye raha isiyo na mwisho. Kwa hiyo, wa biblia yupo juu ya kila kitu hata huo uchumi unaosema misingi yote imechukuliwa kwenye biblia hiyohiyo. Lakini pia huyo Prof. anaenda kutafuta mshiko wa kwake na wala haendi kunusuru kitu chochote cha euro ambacho wao wameshindwa. Au twambia kama yeye ni bora amedevelop economic theory au school of thought so far na imetumika wapi kuleta mafanikio ya maana?
 
hakuna nguli wa uchumi dunia ambaye hajawahi itwa wall street zaidi ya mara moja.Huyu atakuwa kama wale waswahili waliofika form 6 halafu mama zao wakabaki pita mitaanai kuwa mtoto wao kasoma san ila hapewi kazi, sijui kun aubaguzi sijui nini.Na mitoto yao ilivyo mijina haimshtui mama kuwa hiyo elimu si kubwa kihivyo.
I like you thinking on this
 
Prof Nguli wa uchumi Duniani kwa nini ashiriki siasa, anataka kupata nini kwenye siasa? hapo ndo anapotia aibu huyo prof. wako. Mchumi wa dunia unazomewa na watoto kwenye kampeni, unapanda mkokoteni wa punda(Igunga)
:A S 465:political economy katika taaluma yake inamruhusu kuingia katika siasa,lakini kwa ulivyohoji sijajua unataka nani awe anafaa kushiriki siasa tukianzia mwl Nyerere,ambaye ni Mwalimu kitaaluma,Dr Slaa ni Mchungaji kitaaluma nk,,Hivyo labda unamaanisha siasa wawepo wakina Kingunge wenye political sayansi?wafikirie majembe wa chadema wote taaluma zao halafu utaelewa vizuri,Karibu msibani huku Tegeta bana! Mbunge wetu mwanasheria wetu kafiwa na babaye.:A S 465:
 
Mwe MI Chadema damu lakini kumwambia Lipumba hajawahi kuchaguliwa na wananchi sikuungi mkono kwa sababu hajawahi kugombea nafasi za chini ya URaisi na pia CV yake kiuchumi iko juu sana mshikaji,Mwenyekiti wa jopo la uchumi Duniani huchaguliwa na wananchi wasomi mbalimbali duniani.Naipenda Chadema si mchukii Lipumba na cv yake.
 
mjinga mimi au wewe mkuu unayekuwa na wivu wa kike, lipumba mungu ndiye aliyembariki kumpa akili nyingi, kwanza utambue ni mwenyekiti wa jopo la uchumi Duniani, usimlinganishe Dr wa biblia unafanyd kosa mkuu.

NDIYO MKUU HUYO NDO ANAYEMSAIDIA MWENYE M NDOGO! WAKWETU ANA M KUBWA ndugu!
 
Labda sio arusha niijuayo mimi!

Kuna akina Nkamia kibao pale mjini Arusha na wengine wanaingia kwa fujo huku wakilala ktk nyumba za ibada,hawa bado wanaamini Kondoa ina wasomi wakubwa tuu ni serikali ya MoU ndio inawabania.Bado wanaamini kuwa Westerna civilization imeiba sana elimu yao na kuwaacha chini.Sijui waliiba vitabu vyote au walitoa Copy, Hawa ukiwaambia Prof kamaliza degree zote hawapati usinginzi wakisubiri afike.
 
haya sasa... karibu wanatoboana macho! hapa nakumbuka hadithi za kwenye alfulela ulela! Maskini na mwanawe... walikuwa wakienda sokoni kuuza .... wakaanza mradi, tukishauza tutanunua... tukishanunua ... kisha tutamuuza... kisha wakasema TUTANUNUA PUNDA!ndipo wakaanza NTAMPANDA, HUMPANDI... NTAMPANDA HUMPANDI! Mwishowe wakatoboana macho na punda hawajamunua wala kufika sokoni kwenyewe kisa MANENO!
 
Back
Top Bottom