Prof. Lipumba anavyodhalilishwa

Cybercrime

JF-Expert Member
Feb 14, 2014
3,246
1,113
Baada ya alikuwa Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF) na mwenyekiti wa wenyeviti wa Umoja wa Katiba ya Wananchi(UKAWA) , Prof. Ibrahim Harouna Lipumba kujiuzulu nafasi yake ya mwenyekiti wa CUF kutokana na kutokubaliana na viongozi wengine wa chama hicho na wale wa UKAWA kuhusu kuruhusiwa kwa EDWARD LOWASSA kujiunga na Umoja huo na hatimaye kuteuliwa kupeperusha bendera ya UKAWA kwenye nafasi ya Urais, wamejitokeza watu na baadhi ya vyombo vya habari kujaribu kumdhalilisha kiongozi huo ambaye alikijengea heshima kubwa Chama chake cha CUF.

Bahati mbaya kabisa, pamoja na kwamba watu hawa wanamlengo mmoja, wanatoka chama kimoja na wanafahamiaana na hata kuwa na mawasiliano ya moja kwa moja, bado wameshindwa kujipanga na kuandika angalau kitu kinachofaana ili fitina zao kwa LIPUMBA ziweze kuwa na ukweli wowote.

YERIKO NYERERE anasema account ya prof. Lipumba iliyoko NMB Tawi la TEGETA kwenye jengo la AKIBA Complex imewekea pesa bil.3.5 . nilitegemea kama anajua aina ya benki, Tawi na hata jengo ambalo Prof. amewekewa pesa, basi ni dhahiri hata namba ya Account atakuwa anaijua, jina la AKAUNTI, siku na hata muda ambao pesa hizo ziliwekwa. Kutaja tu NMB , sijui tawi la Tegeta ni kutuchota akili watanzania kwa vile ni kweli kwenye jengo lile kuna benki ya NMB basi tuwamini kuwa anachoksema ni kweli.

Ni uzushi uleule ambao Yeriko alitaka kumzushia Dr. SLAA kuwa anajiandaa kukutana na secretarieti ya CHADEMA ili kupanga mikakati ya ushindi, uzushin ambao Dr. aliukanusha na kumuonya YERIKO asithubutu kuchezea jina lake.

SAID KUBENEA naye anajikanyaga na SABABU lukuki za kwanini Prof. LIMPUMBA amejiuzulu.
Mara oh, amejiuzulu ili kulinda ajira ya mmoja wa maswahiba wake serikalini, mara amejiuzulu kwa sababu ameahidiwa madaraka makubwa katika serikali ijayo endapo CCM itashinda, mara Prof. amejiuzulu kwa sababu UKAWA wamemkaribisha LOWASSA ndani ya Umoja huo. Anajikanyagakanyaga tu huku watu anaowatuhumu kufanya hivyo ni wale wale aliokuwa akiwashambulia bila ushahidi wowote tangu enzi ziiile za kmwagiwa tindikali, tangu enzi ziile za ugomvi wake na Zitto Kabwe.

Kwa kifupi kubenea hana jipaya. eti haijulikani LIPUMBA kahongwa shilingi ngapi ila inasemekana ni bil.3.7. Uongo uliokomaa, huna uhakika sasa hicho kiasi anakitoa wapi, au kwa sababu YERIKO na uzushi wake kasema bil.3.5 basi anaona naye akaribie kiasi hicho ili kutuaminisha hivyo? account ipi zimewekwa, saa ngapi, lini? na nani?
KUBENEA kama siasa zake ni nyepesi kiasi hiki atamuweza kweli DIDAS MASABURI pale Ubungo?

GAZETI LA DIRA YA MTANZANIA, leo 10/08/2015 (nadhani nalo linamilikiwa na haohao), eti Prof. Lipumba alifuatwa na viongozi wa dini ya Kiislamu akishinikizwa kugombea urais kupitia CUF kwa kile kilichoelezwa kuwa na kundi hilo kuwa kuokoa kura za Waislamu zisipotee bure kwa madai kuwa vyama vya CCM na CHADEMA vimeteua wagombea Makafiri yaani Wakristo.

Hivi huku siyo kuwatukana Wailamu kweli? Ikumbukwe kuwa ujio wa LOWASSA ndani ya UKAWA umefuatiwa na TUHUMA za baadhi ya viongozi wa UKAWA kununuliwa na LOWASSA ili akubaliwe kujiunga na umoja huo.

Kutaka kufunika tuhuma hizo kwa kuwachafua Dr. SLAA na Prof. LIPUMBA ni kutowatendea haki viongozi hao ambao leo hii umaarufu wa vyama vyao unatokana na juhudi zao za kuvijenga.
 
Huu Uzi comment peke yako na u.p.u.u.z.I. wako. Sisi tupo bize na maandano ya kufuru. Yaan ya magufuli yanaingia Mara tano. Ya Leo balaa tupu. Kazi kwako na umbea wa taarabu
 
Baada ya alikuwa Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF) na mwenyekiti wa wenyeviti wa Umoja wa Katiba ya Wananchi(UKAWA) , Prof. Ibrahim Harouna Lipumba kujiuzulu nafasi yake ya mwenyekiti wa CUF kutokana na kutokubaliana na viongozi wengine wa chama hicho na wale wa UKAWA kuhusu kuruhusiwa kwa EDWARD LOWASSA kujiunga na Umoja huo na hatimaye kuteuliwa kupeperusha bendera ya UKAWA kwenye nafasi ya Urais, wamejitokeza watu na baadhi ya vyombo vya habari kujaribu kumdhalilisha kiongozi huo ambaye alikijengea heshima kubwa Chama chake cha CUF.

Bahati mbaya kabisa, pamoja na kwamba watu hawa wanamlengo mmoja, wanatoka chama kimoja na wanafahamiaana na hata kuwa na mawasiliano ya moja kwa moja, bado wameshindwa kujipanga na kuandika angalau kitu kinachofaana ili fitina zao kwa LIPUMBA ziweze kuwa na ukweli wowote.
YERIKO NYERERE anasema account ya prof. Lipumba iliyoko NMB Tawi la TEGETA kwenye jengo la AKIBA Complex imewekea pesa bil.3.5 . nilitegemea kama anajua aina ya benki, Tawi na hata jengo ambalo Prof. amewekewa pesa, basi ni dhahiri hata namba ya Account atakuwa anaijua, jina la AKAUNTI, siku na hata muda ambao pesa hizo ziliwekwa. Kutaja tu NMB , sijui tawi la Tegeta ni kutuchota akili watanzania kwa vile ni kweli kwenye jengo lile kuna benki ya NMB basi tuwamini kuwa anachoksema ni kweli. Ni uzushi uleule ambao Yeriko alitaka kumzushia Dr. SLAA kuwa anajiandaa kukutana na secretarieti ya CHADEMA ili kupanga mikakati ya ushindi, uzushin ambao Dr. aliukanusha na kumuonya YERIKO asithubutu kuchezea jina lake.
SAID KUBENEA naye anajikanyaga na SABABU lukuki za kwanini Prof. LIMPUMBA amejiuzulu. mara oh, amejiuzulu ili kulinda ajira ya mmoja wa maswahiba wake serikalini, mara amejiuzulu kwa sababu ameahidiwa madaraka makubwa katika serikali ijayo endapo CCM itashinda, mara Prof. amejiuzulu kwa sababu UKAWA wamemkaribisha LOWASSA ndani ya Umoja huo. Anajikanyagakanyaga tu huku watu anaowatuhumu kufanya hivyo ni wale wale aliokuwa akiwashambulia bila ushahidi wowote tangu enzi ziiile za kmwagiwa tindikali, tangu enzi ziile za ugomvi wake na Zitto Kabwe. Kwa kifupi kubenea hana jipaya. eti haijulikani LIPUMBA kahongwa shilingi ngapi ila inasemekana ni bil.3.7. Uongo uliokomaa, huna uhakika sasa hicho kiasi anakitoa wapi, au kwa sababu YERIKO na uzushi wake kasema bil.3.5 basi anaona naye akaribie kiasi hicho ili kutuaminisha hivyo? account ipi zimewekwa, saa ngapi, lini? na nani? KUBENEA kama siasa zake ni nyepesi kiasi hiki atamuweza kweli DIDAS MASABURI pale Ubungo?
GAZETI LA DIRA YA MTANZANIA, leo 10/08/2015 (nadhani nalo linamilikiwa na haohao), eti Prof. Lipumba alifuatwa na viongozi wa dini ya Kiislamu akishinikizwa kugombea urais kupitia CUF kwa kile kilichoelezwa kuwa na kundi hilo kuwa kuokoa kura za Waislamu zisipotee bure kwa madai kuwa vyama vya CCM na CHADEMA vimeteua wagombea Makafiri yaani Wakristo. hivi huku siyo kuwatukana Wailamu kweli?

Ikumbukwe kuwa ujio wa LOWASSA ndani ya UKAWA umefuatiwa na TUHUMA za baadhi ya viongozi wa UKAWA kununuliwa na LOWASSA ili akubaliwe kujiunga na umoja huo. Kutaka kufunika tuhuma hizo kwa kuwachafua Dr. SLAA na Prof. LIPUMBA ni kutowatendea haki viongozi hao ambao leo hii umaarufu wa vyama vyao unatokana na juhudi zao za kuvijenga.

ww ---- sasa unabisha nn wakat lipunba kaend msikiti wa idrisa kkoo shekh alibasaleh akimnadi lipumba kuwa ndiye mgombea wa waislam hivyo waislam wampe kura zao atetee uislam,lakin matarajio hayo yakaj tofaut na wafia dini wa idrisa walivyokuwa wanataka;hakuna namna ikabidi ajiengue
#youtube angalia siasa za udini na lipumba utaona
 
PROF.LIPUMBA AKILA BATA JANA NCHINI RWANDA KATIKA HOTELI YA SHERATON DEVELO

n.jpg
 
Lipumba wanamuonea kwa kuwa anapenda kusema ukweli amewananga sasa wanamzuria uongo kitu ambacho ni ujinga mtupu.
 
LIPUMBA anavyodhalilishwa na YERIKO NYERERE na SAID KUBENEA na magazeti ya CHADEMA. siyo tabia nzuri kabisa.

Were hebu amka usingizini kumekucha acha ndoto! Wanaomdhalilisha sio hao uliotaja bali ni wale malaki ya watu wanaoandamana sasa hivi kutoka Buguruni.
Kwani alitegemea wangemuunga mkono na kususia kama yeye.
Amekaa CUF miaka 20 lini aliwahi kusindikizwa kwa namna ile?
 
wachukue ukanywe nao chai !! kumbuka kwa mwoga huenda kebehi na dharau.CUF imeimarika sasa kuliko wakati mwingine wowote.
 
Lipumba amekataa kununuliwa ndiyo maana anaonekana mbaya kwao kwakuwa wale wote mbowe na selfu wamenunuliwa.
 
Back
Top Bottom